ngalelefijo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 3,966
- 2,596
AmenHata Yesu (kupitia wazazi wake) alimkimbia mfale Herode!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AmenHata Yesu (kupitia wazazi wake) alimkimbia mfale Herode!
Acha wivu wa kike.ulitaka tuseme polepole ndo nabii ufurahi???Unabii hauko hivyo, bhana! Yaani ukweli kwamba cheo ni dhamana au kusema ipo siku mimi, wewe au mtu mwingine atakufa nao ni unabii? You must be kidding! Kila mtu analijua hili. Tusilolijua ni timing yake, na hiki ndicho kinachohitaji unabii.
Nabii anazungumzia timing ya jambo kwa kubainisha vitu ambavyo ndivyo vitakuwa ishara kwamba muda wa jambo fulani kutokea umewadia!
Acha wivu wa kike.ulitaka tuseme polepole ndo nabii ufurahi???
Wivu sio mtajiHuyu hana unabii wowote ni chokora, mwizi na mgongaji. Tafuta post zangu humu JF kuhusu huu unabii bandia. Mimi ndiye mtu wa kwanza niliye mfumbua kuwa huyu anataka kuotumia dini kisiasa na kimanufaa.
Ile asilia yake ya ujambazi na ulaghai ndio utampeleka hadi aamue kufungua kanisa lake na aanze kuzoa 10% kutoka kwa wananchi masikini.
Kwano unabii wa Biblia ulishawahi ona unatabiria matajiri wa dhahabu?? Tendeni wema mstabiriwe mabaya
Unataka Hangaya atabiriwe yatakayomkuta kabla ya 2025??Agano la kale la biblia. Samweli 2:1-23.
Nabii Nathani alimtabiria mtoto wa Daudi aliezaa na mtoto wa mke wa Uria atakufa baada ya kumpeleka Uria mstari wa Mbele vitani kisha kumtwaa Mke wake.
mtoto hakumaliza ht wiki...
Daudi akafunga siku wiki nzima akisali na kuomba ili mwanae asife na still aka r.i.p.
Huu sasa ndo unabii, sio unabiri wa kutabiri kitu mpaka watu wanasahau then kinakuja kutokea then unasema ni unabiii...
Chuki zako utakonda bure.Kwani Bikra Maria alitabiriwa mabaya? Sijaona mtenda mema aliyetabiriwa mema na huyo satanic prophet!
Chuki zako utakonda bure.
Alishatubu mbele ya umma..'mnisamehe , nimekosa, nimekosa mimi nimekosa sana!Ndugai aliambiwa atubu akapuuza. Sasa hivi anaokota korosho Kongwa wakati Tulia kakalia kiti.
Na Samia naye hatoboi[emoji16]Anafuatia Sirro
Wivu utakuuaSina sababu ya kumchukia binadamu aliyeumbwa na Mungu yule yule aliyeniumba mimi. That’s why I don’t embrace those hate-filled false prophecies!
Wivu utakuua
Ile ni toba kwa hangaya. Yale aliyokua anafanya bungeni kwa sababu ya cheo hajawahi sikika.Alishatubu mbele ya umma..'mnisamehe , nimekosa, nimekosa mimi nimekosa sana!
Sent using Jamii Forums mobile app