Unabii wa Godbless Lema unazidi kuwatia hofu wanasiasa wanaopindisha sheria na kutenda maovu katika jamii

Unabii wa Godbless Lema unazidi kuwatia hofu wanasiasa wanaopindisha sheria na kutenda maovu katika jamii

Unabii hauko hivyo, bhana! Yaani ukweli kwamba cheo ni dhamana au kusema ipo siku mimi, wewe au mtu mwingine atakufa nao ni unabii? You must be kidding! Kila mtu analijua hili. Tusilolijua ni timing yake, na hiki ndicho kinachohitaji unabii.

Nabii anazungumzia timing ya jambo kwa kubainisha vitu ambavyo ndivyo vitakuwa ishara kwamba muda wa jambo fulani kutokea umewadia!
Acha wivu wa kike.ulitaka tuseme polepole ndo nabii ufurahi???
 
Acha wivu wa kike.ulitaka tuseme polepole ndo nabii ufurahi???

Sijaona nabii yeyote wa kweli. Babu wa Loliondo alikuwa fake prophet and so are all other loonies (including Lema) that call themselves (or would like us to regard them as) prophets!
 
Huyu hana unabii wowote ni chokora, mwizi na mgongaji. Tafuta post zangu humu JF kuhusu huu unabii bandia. Mimi ndiye mtu wa kwanza niliye mfumbua kuwa huyu anataka kuotumia dini kisiasa na kimanufaa.

Ile asilia yake ya ujambazi na ulaghai ndio utampeleka hadi aamue kufungua kanisa lake na aanze kuzoa 10% kutoka kwa wananchi masikini.
Wivu sio mtaji
 
Kwano unabii wa Biblia ulishawahi ona unatabiria matajiri wa dhahabu?? Tendeni wema mstabiriwe mabaya

Kwani Bikra Maria alitabiriwa mabaya? Sijaona mtenda mema aliyetabiriwa mema na huyo satanic prophet!
 
Agano la kale la biblia. Samweli 2:1-23.

Nabii Nathani alimtabiria mtoto wa Daudi aliezaa na mtoto wa mke wa Uria atakufa baada ya kumpeleka Uria mstari wa Mbele vitani kisha kumtwaa Mke wake.
mtoto hakumaliza ht wiki...
Daudi akafunga siku wiki nzima akisali na kuomba ili mwanae asife na still aka r.i.p.

Huu sasa ndo unabii, sio unabiri wa kutabiri kitu mpaka watu wanasahau then kinakuja kutokea then unasema ni unabiii...
Unataka Hangaya atabiriwe yatakayomkuta kabla ya 2025??
 
Back
Top Bottom