Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Kwema Wakuu!
Mchezo anaotumia Hamas na magaidi ni mchezo wa kitoto ambao hutumiwa na Lastborn wengi au watoto wakike.
Unachokoza wanaume alafu unatoka nduki kujificha nyuma ya matako ya mkeo unategemea wanaume wafanye nini?
Ukipigwa wewe na mkeo na watoto unaanza kulialia.
Wanawake ndio hujificha kwa wanaume lakini kwa Hamas imekuwa tofauti. Wao ndio wanajificha nyuma ya Wanawake na watoto. Ili kelele za wanawake na watoto zichochee huruma.
Kama kuna Watu waoga basi ni Watu wanaotumia mbinu hiyo. Huo ndio uoga namba moja.
Wanaume tupo kwaajili ya kuwalinda Wanawake zetu, watoto wetu, Wazee na wagonjwa wetu. Badala yake Hamas badala ya kulinda Makundi hayo wao wanawatumia kama kinga. Kwa kweli siwapendi Israel kwa tabia zao za dhulma lakini nachukizwa na tabia za Hamas za kioga, tabia za kikekike.
Wekeni kambi ijulikane hii ni kambi ya Hamas, wekeni jeshi, lijulikane hili ni jeshi la Hamas, kama ni vita piganeni ninyi wanajeshi kuonyesha uonaume wenu. Na sio mjifanye hamuogopi kufa wakati ninyi ni waoga ndio maana mnajificha nyuma ya Wanawake na watoto. Huo sio uanaume.
Uoga ni dalili ya kushindwa. Na siku zote mtazidi kushindwa kwa sababu ya mbinu za kike mnazotumia.
Dawa ya kudili na wadhulumati wa kiyahudi ni kupambana nao face to face, waarabu wote waungane kukabiliana na hao Israel. Kama kweli wanamkataa huyo Myahudi hapo mashariki ya kati.
Wale wote walioupande wa Hamas unganisheni nguvu, mkapambane na yahudi dhalimu. Lakini kutaka huruma kama wanawake au watoto hiyo sio tabia ya kiume. Huyo mnayemuunga mkono ndiye anawatumia watoto na wanawake kama kinga unategemea Israel awakumbatie. Lazima awapasue.
Acheni tabia za kimama, nendeni mka-join muongeze nguvu. Muone kama hamtamshinda huyo USA na Israel.
USA na Waisraeli mbona wao hawatafuti huruma za kimama. Umempiga memba wake wao wanakuja bila kificho kuongeza na kumsapoti ndugu yao. Ninyi kipi mnashindwa?
Umoja ndio nguvu bila kujali umaskini wenu.
Haya endeleeni kutafuta huruma za kimama duniani. Wanaume wataendelea kuwatawala karne na karne mpaka mtajapojitambua.
Wenzenu wanawapiga ninyi mnaleta hadithi za kusadikika sijui za Allah, hivi mnaakili ninyi. Kwenye ulimwengu wa teknolojia nafasi ya Allah sijui Yahweh sijui Budha, sijui Yesu haipo. Acheni akili za kitoto.
Sishangai hizo dini zilianzishwa na haohao wayahudi ili kupumbaza Watu kama hivi leo.
Wewe unapigwa ati unasema Allah, sijui Mungu, sijui Yesu akusaidie. Tumewezwa!
Jumapili njema