Unachokoza wanaume halafu unakimbia kujificha nyuma ya mkeo na watoto, Hamas Wanachekesha sana

Unachokoza wanaume halafu unakimbia kujificha nyuma ya mkeo na watoto, Hamas Wanachekesha sana

Nimesoma mara mbili mpaka tatu nikarudia alafu nikaenda kuamgalia ID ya nani hii, nikaishia na kicheko sana kwa unataka waweke kambi ili wafutiliwe mbali kabisaa, najua ulichoandika sivyo uwazavyo kwa namna nakufahamu na ufahamu wako ila unachotaka kusema kuwa wakitaka waishe wote Hamas basi waanzishe kambi zao nje ya raia

Kwani Palestina hana ndugu? Mbona hawamsaidii waziwazi. Au ndugu zake ni mafukara
 
Mwafrika kuukejeli upigania uhuru wa Mpalestina leo hii ni kama kuikejeli vita ya maji maji ni kama kumkejeli Mkwawa ni kama kuwakejeli maumau ya Kenya na ANC ya Afrika Kusini,

Ni kuusahau Uafrika wako na kuwakumbatia wakoloni.

Hivi leo Mwafrika una kipi zaidi cha kuwakejeli wapigania Uhuru wa Palestina, mimi naona ni ujinga wako tu.

Usisahau, mpaka leo hii una uhuru wa kwenye makaratasi tu lakini huna uhuru wa Kiuchumi wala Kifikra.

Hao unaowakejeli na kuwacheka leo hii, wana uhuru wa kifikra ambao wewe hauna.
UHURU WA KUJIPATIA HAKI YA KUWAUA WAYAHUDI ETI KISA SIO WAISLAMU.
HAPANA
 
Pole sana Choko wa Lumumbashi
Hoja yake ni ya msingi. Hamas wanawachokonoa nyuki kwenye mzinga na kurudi kujificha kwa wanawake na watoto. Hasara yake ni kubwa kuliko faida. Kama Hamas anataka kupambana na mYahudi wapambane kwenye uwanja wa vita. Siyo kutumia families kama nao.

Japan wamewambieni waarabu na waislamu. "Wapendeni watoto wenu kuliko mnavyowachukia wa Israel". Ni ushauri mzuri
 
Bandari unaletewa uchumi mkubwa hujielewi.

Ikiwa huuelewi hata ugomvi wa wapalestina kwa wayahudi ni upi utaelewa kweli faida ulizoletewa na DP World za bandari? Maaawee.

Umeshawahi kuiona bandari?
Acha unafiki.
Sababu bandari ni waarabu hapo sawa.
Ila wangekua wazungu au wachina ungewaponda
 
Hoja yake ni ya msingi. Hamas wanawachokonoa nyuki kwenye mzinga na kurudi kujificha kwa wanawake na watoto. Hasara yake ni kubwa kuliko faida. Kama Hamas anataka kupambana na mYahudi wapambane kwenye uwanja wa vita. Siyo kutumia families kama nao.

Japan wamewambieni waarabu na waislamu. "Wapendeni watoto wenu kuliko mnavyowachukia wa Israel". Ni ushauri mzuri

Wapalestina ni waoga sana
 
Kwani Palestina hana ndugu? Mbona hawamsaidii waziwazi. Au ndugu zake ni mafukara
😂😂😂😂 ndio maana nikasema ulichoandika sicho unachowaza, unataka nani ajitokeze hadharani kusaidia alafu yamkute kila mmoja ale kulingana urefu wa kamba yake😂😂😂 au tutamsaidia kisirisiri tu ila sio kwa uwazi
 
Nimesoma mara mbili mpaka tatu nikarudia alafu nikaenda kuangalia ID ya nani hii, nikaishia na kicheko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sana kwa hiyo unataka waweke kambi ili wafutiliwe mbali kabisaa, najua ulichoandika sivyo uwazavyo kwa namna nakufahamu na ufahamu wako ila unachotaka kusema kuwa wakitaka waishe wote Hamas basi waanzishe kambi zao nje ya raia litatumwa jiwe moja tu kutoka kusikojulikana ibaki majivu tu
Sasa kama unajuwa unamchokoza anayeweza kukufutilia na kubaki majivu. Njia ya kupambana ni pamoja na mazungumzo kuliko kumchokonoa nyoka shimoni kwake kwa kutegemea utamkemea aheshimu.

Mbona Palestina upande wa Rais Lt Arafat na sasa Abas hakuna hizi sekeseke. Misri wamewapa mfano wa kuishi na adui yako. Ni pamoja na kuheshimu haki za kila moja.

Wafilisti wakubali kuishi pamoja na maYahudi. Kwani hakuna atakaeacha historia yake ifutike.
 
Waarabu wapalestina sio wayebusi wafikisti mkuu
 
Tumewahi kuambiwa kuwa Mandela, na Jomo Kenyatta ni magaidi kwa sababu mmoja alikuwa kiongozi wa Umunkhonto we Sizwe na mwingine alikuwa kiongozi wa MauMau. Kwa hiyo hii ya kuwaita wapigania uhuru jina baya ili kuharibu course yao halijaanza leo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio maana nikasema ulichoandika sicho unachowaza, unataka nani ajitokeze hadharani kusaidia alafu yamkute kila mmoja ale kulingana urefu wa kamba yake[emoji23][emoji23][emoji23] au tutamsaidia kisirisiri tu ila sio kwa uwazi
Kwa hiyo mmemfanya chambo ?!.

Jiulizeni kwanini kule Ramallah hakuna hizi sekeseke bali Gaza !!
 
Shida ni kwamba hawataki kuonekana wanyonge😂😂😂
Sasa kama unajuwa unamchokoza anayeweza kukufutilia na kubaki majivu. Njia ya kupambana ni pamoja na mazungumzo kuliko kumchokonoa nyoka shimoni kwake kwa kutegemea utamkemea aheshimu.

Mbona Palestina upande wa Rais Lt Arafat na sasa Abas hakuna hizi sekeseke. Misri wamewapa mfano wa kuishi na adui yako. Ni pamoja na kuheshimu haki za kila moja.

Wafilisti wakubali kuishi pamoja na maYahudi. Kwani hakuna atakaeacha historia yake ifutike.
 
Kwa hiyo mmemfanya chambo ?!.

Jiulizeni kwanini kule Ramallah hakuna hizi sekeseke bali Gaza !!
Tena ni chambo mkubwa tu, ila wenye akili wamelijua ndio maana wapo kimya wanaishia kutoa matamko na ukiyaangalia matamko menyewe yamekaa kimtego hayanyooki , sasa anasubiriwa mtu aingie kwenye 18 ndio ataelewa kwa nini wimbo wa taifa la Tanzania hawatoi video yake na serikali ina hela
 
Back
Top Bottom