Hyrax
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 964
- 2,675
Ni kweli 100%Wanawaonea Waarabu kwa sababu muarabu na Muafrika wanafanana akili na tabia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli 100%Wanawaonea Waarabu kwa sababu muarabu na Muafrika wanafanana akili na tabia
Serious jamaa huna akili kama wapalestina.. na ulivyo huna akili zaidi utarudia kutukanaOna choko mwingine huyu kwahiyo biblia ndiyo inasema hivyo?
Pole sanaSerious jamaa huna akili kama wapalestina.. na ulivyo huna akili zaidi utarudia kutukana
Mbona unacheka cheka kama malaya jichunge hizo sio tabia za wanaume.Mkuu umecatch feelings 🤣🤣🤣 pole
Mkuu hasira za nn?Mbona unacheka cheka kama malaya jichunge hizo sio tabia za wanaume.
WAARABU WAKISHINDWA HOJA HUISHIA KUTUKANA KUJIFARIJISerious jamaa huna akili kama wapalestina.. na ulivyo huna akili zaidi utarudia kutukana
Ukiona mti anawachukia wayahudi bas ujue kuna udini au ukabila ndani yake mkuu.Kwa jinsi miaka inavyokwenda, Kuna siku dunia nzima itamuelewa Hitler. Kwa bahat mbaya sana hakua muislamu, hivyo akaitwa Dikteta.. kwa maana ili uwe gaidi sharti kwanza uwe muislamu.
Hii post haihusiani na udini, kasome historia ya Hitler.
Wanawakejeli wapigania uhuru wa Ukraine, kama taifa tumeshindwa kuunga mkono azimio la kulaani uvamizi wa Urusi!Mwafrika kuukejeli upigania uhuru wa Mpalestina leo hii ni kama kuikejeli vita ya maji maji ni kama kumkejeli Mkwawa ni kama kuwakejeli maumau ya Kenya na ANC ya Afrika Kusini,
Ni kuusahau Uafrika wako na kuwakumbatia wakoloni.
Hivi leo Mwafrika una kipi zaidi cha kuwakejeli wapigania Uhuru wa Palestina, mimi naona ni ujinga wako tu.
Usisahau, mpaka leo hii una uhuru wa kwenye makaratasi tu lakini huna uhuru wa Kiuchumi wala Kifikra.
Hao unaowakejeli na kuwacheka leo hii, wana uhuru wa kifikra ambao wewe hauna.
Wakati Mayahudi wameuliwa sikumuona anatoa tamko humu.Kwake kuwaua wasio wa dini yake ni halaliAcha upotoshaji wewe
Wapiginia Uhuru Kama kinjekitile walikuwa wanaweka jitihada wanahakikisha familia zao ziko salama Kwanza
Kisha wanatoka front kukabiliana na adui
Hata wakizidiwa walikuwa wanakimbia mbali na familia zao ili kinusuru kizazi Chao
Sio kuwatanguliza mbele
Ushauri wa Mtoa MADA badla ya marafiki wa Palestine Kama Iran nk kupiga kelele mitandaoni Kama wewe
Waungane wote waizunguke Israeli pande zote mpaka waombe wenyewe meza ya mazungumzo
Out of that hao Ni wanafiki tu
INGAwa Mimi naunga mkono
mazungumzo ya amaani pande zote
Wewe ni choko ? Mwanaume kamili una hifadhi vipi picha na video za machoko kwenye simu yako au nawe ni jamii moja.Mkuu hasira za nn?
Matusi ya nini?
Au kichapo cha Gaza kimekutia sononona 🤣🤣.View attachment 2800565
Hilo sambwanda hatariii!.View attachment 2796584
Usharudi hapa kanisani? Au unashinda jf?
Mkuu nimekuonyesha picha uone jinsi waarabu waislamu wa riyadh walivyo mashoga kuliko wayahudi wa tel aviv.Wewe ni choko ? Mwanaume kamili una hifadhi vipi picha na video za machoko kwenye simu yako au nawe ni jamii moja.
Na kwa jinsi ulivyo mpumbavu unafikiri mimi sijui muislam kwamba ukinitumia huo uchafu wa hao machoko wenzio wa kiarabu nitaumia ?
Nimekwisha kuambia toka mwanzo linda huo uanaume acha kuchekacheka hovyo hovyo kama malaya na acha kutumia wanaume mapicha na videos za hao machoko wenzio mpuuzi wewe.
Sasa mimi masuala ya waarabu na watu wa tel aviv kuzidiana uchoko yana nihusu nini ? Wewe mpumbavu unaleta mazoea ya kifala fala.Mkuu nimekuonyesha picha uone jinsi waarabu waislamu wa riyadh walivyo mashoga kuliko wayahudi wa tel aviv.
NB: MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMAView attachment 2801369
Huyo Iran kashindwa mwenyewe kudhibiti maandamano ya kike ya ijabu ataweza kuzuia Israeli yenye mibomu mpaka ya nyukliaIran anasubiri nini kuwakabili Wayahudi.
Unafiki ni jambo baya sana
Iran anasubiri nini kuwakabili Wayahudi.
Unafiki ni jambo baya sana
Wanaume gani hao wakati TelAviv ndo capital of gays huko middle eastKwema Wakuu!
Mchezo anaotumia Hamas na magaidi ni mchezo wa kitoto ambao hutumiwa na Lastborn wengi au watoto wakike.
Unachokoza wanaume alafu unatoka nduki kujificha nyuma ya matako ya mkeo unategemea wanaume wafanye nini?
Ukipigwa wewe na mkeo na watoto unaanza kulialia.
Wanawake ndio hujificha kwa wanaume lakini kwa Hamas imekuwa tofauti. Wao ndio wanajificha nyuma ya Wanawake na watoto. Ili kelele za wanawake na watoto zichochee huruma.
Kama kuna Watu waoga basi ni Watu wanaotumia mbinu hiyo. Huo ndio uoga namba moja.
Wanaume tupo kwaajili ya kuwalinda Wanawake zetu, watoto wetu, Wazee na wagonjwa wetu. Badala yake Hamas badala ya kulinda Makundi hayo wao wanawatumia kama kinga. Kwa kweli siwapendi Israel kwa tabia zao za dhulma lakini nachukizwa na tabia za Hamas za kioga, tabia za kikekike.
Wekeni kambi ijulikane hii ni kambi ya Hamas, wekeni jeshi, lijulikane hili ni jeshi la Hamas, kama ni vita piganeni ninyi wanajeshi kuonyesha uonaume wenu. Na sio mjifanye hamuogopi kufa wakati ninyi ni waoga ndio maana mnajificha nyuma ya Wanawake na watoto. Huo sio uanaume.
Uoga ni dalili ya kushindwa. Na siku zote mtazidi kushindwa kwa sababu ya mbinu za kike mnazotumia.
Dawa ya kudili na wadhulumati wa kiyahudi ni kupambana nao face to face, waarabu wote waungane kukabiliana na hao Israel. Kama kweli wanamkataa huyo Myahudi hapo mashariki ya kati.
Wale wote walioupande wa Hamas unganisheni nguvu, mkapambane na yahudi dhalimu. Lakini kutaka huruma kama wanawake au watoto hiyo sio tabia ya kiume. Huyo mnayemuunga mkono ndiye anawatumia watoto na wanawake kama kinga unategemea Israel awakumbatie. Lazima awapasue.
Acheni tabia za kimama, nendeni mka-join muongeze nguvu. Muone kama hamtamshinda huyo USA na Israel.
USA na Waisraeli mbona wao hawatafuti huruma za kimama. Umempiga memba wake wao wanakuja bila kificho kuongeza na kumsapoti ndugu yao. Ninyi kipi mnashindwa?
Umoja ndio nguvu bila kujali umaskini wenu.
Haya endeleeni kutafuta huruma za kimama duniani. Wanaume wataendelea kuwatawala karne na karne mpaka mtajapojitambua.
Wenzenu wanawapiga ninyi mnaleta hadithi za kusadikika sijui za Allah, hivi mnaakili ninyi. Kwenye ulimwengu wa teknolojia nafasi ya Allah sijui Yahweh sijui Budha, sijui Yesu haipo. Acheni akili za kitoto.
Sishangai hizo dini zilianzishwa na haohao wayahudi ili kupumbaza Watu kama hivi leo.
Wewe unapigwa ati unasema Allah, sijui Mungu, sijui Yesu akusaidie. Tumewezwa!
Jumapili njema
Mkuu umeniambia nisipanikiSasa mimi masuala ya waarabu na watu wa tel aviv kuzidiana uchoko yana nihusu nini ? Wewe mpumbavu unaleta mazoea ya kifala fala.
Zoea hao wachoko wenzio sio unanileta pigo za kimama fala wewe