Unachokoza wanaume halafu unakimbia kujificha nyuma ya mkeo na watoto, Hamas Wanachekesha sana

hata kinjekitile ngwale hakuvamia raia bali aliwalenga wajeruman
 
Ujinga ni mzigo pole sana
 
dunia ya sasa hivi inajua usicheke cheke na magaidi otherwise utavuna mabua....ndo maana idf anamplekea moto mpalestina aisee dahh...inasemekana harufu ya nyamachoma imetanda pale gazaaa[emoji91][emoji91]
Pole sana
 
Vip mbona huzungumzii Arab Sudan wanachowafanyia waafrica weusi hapo Darfur Sudan
 
Vip mbona huzungumzii Arab Sudan wanachowafanyia waafrica weusi hapo Darfur Sudan
nani alikudanganya Uaabu ni rangi au kabila ya mtu?

Mnasikitisha sana vijana wa Kitanzania kwa kukosa "general knowledge".

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 

Sikatai wao kupigania uhuru wao. Ishu inakuja wanapigania uhuru wao kwa kujificha nyuma ya wanawake na watoto.
Sijawahi kuona wapiganaji tangu kuumbwa kwa dunia kama wa aina hiyo,
Wao ndio wamekuwa wakwanza.
 
Sikatai wao kupigania uhuru wao. Ishu inakuja wanapigania uhuru wao kwa kujificha nyuma ya wanawake na watoto.
Sijawahi kuona wapiganaji tangu kuumbwa kwa dunia kama wa aina hiyo,
Wao ndio wamekuwa wakwanza.
Hiyo ni tafsiri yako, upo huru na mtazamo wako hasi.

Nakusikitikia sana uelewa wako, nilikuwa naona ni mtu mwenye uelewa mpana.

Hivi huelewi kuwa Hamas wenyewe wengi wao ni wanawake na watoto? Jionee:



 

Mimi sina ushabiki na hayo mambo. Ninachojadili ni kile kinachoonekana.

Sasa kama jeshi la Hamas ni la wanaona watoto, ni kitu gani kinafanya Watu wapige kelele kuwa wahurumiwe wakati badala ya wanaume kupambana wamewaachia Wanawake na watoto?

Kwa nini Mataifa rafiki Palestina yasiungane kupambana na Uvamizi wa Israel?
 
Hamas ninwapigania uhuru wewe kunguni? Unaweza kutuonesha kambi yao!!?

Hao ni magaidi wanaojificha nyuma ya Wanawake na watoto. Hao ni waoga na ni wapumbavu.

Halafu wewe na ushungi wako unaleta story za kusadikika. This time around ni kupigwa tu... ukijificha nyuma ya Wanawake na watoto wote mnapigwa! Nyambafu
 
Iran anasubiri nini kuwakabili Wayahudi.
Unafiki ni jambo baya sana
Iran atawaweza wayahudi wenye nuclear? Iran amepigana vita vingapi akashinda? Iran hawezi kuingia vitani moja kwa Moja ana hofu na uchumi wa nchi yake, pia anajiuliza mara 2, akiingia vitani na Israel ataweza kumshinda? Yasije yakajirudia Yale ya SIX DAY WAR 1967.
 
nani alikudanganya Uaabu ni rangi au kabila ya mtu?

Mnasikitisha sana vijana wa Kitanzania kwa kukosa "general knowledge".

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Uarabu nini kama sio race au unataka kudanganya
 

View: https://youtu.be/UlXpdJo7E4s?si=IpbpK6V7DzxBbECs
Unaona wanaume vitu vyao vinavyo toka kama wanaume unavyo taka kupiga mnofu.

Sa we unao waita wanaume mpaa wa fake mapitcure ya watoto wa Gaza kuwa waisrael ili wasaidiwe na europe, hawataki kuonyesha maiti za kambi 4 wameuliwa 5000 kama si zaidi.

Wamechukuliwa Mageneral 4 kama ni matekwa hivi hao ndio wanaume.


Hamasi anapigana na nchi karibu 10 Israel, America, UK, France, Germany. Canada, Australia, Poland, Netherlands na United Arab Emirates 😄



Hao ndio wanaume? Tunaona uwanaume wao wakuvunja majumba, kuwauwa wanawake na watoto wengine hata hawafiki miezi 6



Kweli wanaume wanapiga hata wagonjwa 😄 kwenye mahospital, hi ni super power ya kishoga kweli.



Hamasi wanawapiga wao wanapiga kwingine wanapiga Baker. Schools, Super markets, na hata masoko ya matunda.



We kama unaona huo ni wanaume wengine wanaona ni ushoga kabisa wanaume hawarushi maboom kuwauwa watoto, wagonjwa, wanawake, na vizee wasio na hatia.

Uwanaume ni kwenye uwanja wa vita, Hamasi atawafundisha nani Mwanaume
 
Banadri unaletewa uchumi mkubwa hujielewi.

Ikiwa huuelewi hata ugomvi wa wapalestina kwa wayahudi ni upi utaelewa kweli faida ulizoletewa na DP World za bandari? Maaawee.

Umeshawahi kuiona bandari?
We unaijia bandari weyee!?
 
Gaza pamegeuka kuwa jehanamu kwa muda mfupi, sipati picha watu wanavyoteketea [emoji26]
Vita tuishie kusikia tu, vita inatisha wazee acheni tu!. Mimi naamini katika dunia hii ukitoka kwenye uwanja wa vita uko hai hakuna kitakachokutisha tena.
Hofu pekee ya kiwango cha juu kwa kiumbe chochote kilicho hai basi ni kutoa roho yake,sasa kama utabahatika kutoka kwenye eneo la Gaza salama wakati huu aisee!
Hutasahau milele wakati uliopitia ukanusurika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…