Unachokoza wanaume halafu unakimbia kujificha nyuma ya mkeo na watoto, Hamas Wanachekesha sana

Acha upotoshaji wewe
Wapiginia Uhuru Kama kinjekitile walikuwa wanaweka jitihada wanahakikisha familia zao ziko salama Kwanza

Kisha wanatoka front kukabiliana na adui
Hata wakizidiwa walikuwa wanakimbia mbali na familia zao ili kinusuru kizazi Chao
Sio kuwatanguliza mbele

Ushauri wa Mtoa MADA badla ya marafiki wa Palestine Kama Iran nk kupiga kelele mitandaoni Kama wewe
Waungane wote waizunguke Israeli pande zote mpaka waombe wenyewe meza ya mazungumzo
Out of that hao Ni wanafiki tu
INGAwa Mimi naunga mkono
mazungumzo ya amaani pande zote
 


Tatizo la Faiza ni kufikiri kila jambo kwa akili ya Udini. Hapo ndipo anakwama.

Mimi nimeelezea hapo kuwa Israel inaweza kuwa inafanya dhulma ya ardhi ya wapalestina lakini hao wapalestina mbinu wanayotumia kupambana na waisraeli ni mbinu inayowaathiri wao wenyewe.

Badala ya mwanaume kulinda wanawake na watoto yeye ndio anawatumia kama kinga/ulinzi wake. Ajabu hii
 
Halafu Kama!; Wakipigwa wanasema wanatuonea!
Wakiwaacha mnatuogopa![emoji15][emoji12]
 
View attachment 2796584
Usharudi hapa kanisani? Au unashinda jf?
Unaumia Ukiwa wapi dogo!
Wanapelekewa Mziki WA sponge bombs! [emoji24][emoji24]
Hata baadhi ya Vikosi vya Ulinzi vya Israel (IDF) vimesalia midomo wazi kuhusu matumizi ya "mabomu haya!" inaripotiwa kuwa silaha hizi zinaweza kuziba njia za kuingilia na kusaidia kuzuia mashambulizi ya kushtukiza kutoka kwa wanamgambo wa Hamas.
 
Acha wapewe kichapo,waliwachokoza wenyewe kwa akili zao πŸ˜€
 
Mkuu hiyo nchi inayoitwa israel achana nayo, hao wayahudi achana nao.. hao jamaa ni versatile generation achana nayo kabisaa ..
 
We ni choko kabisa
 
Mkuu hiyo nchi inayoitwa israel achana nayo, hao wayahudi achana nao.. hao jamaa ni versatile generation achana nayo kabisaa ..
Ona choko mwingine huyu kwahiyo biblia ndiyo inasema hivyo?
 
Nimesoma mara mbili mpaka tatu nikarudia alafu nikaenda kuangalia ID ya nani hii, nikaishia na kichekoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sana kwa hiyo unataka waweke kambi ili wafutiliwe mbali kabisaa, najua ulichoandika sivyo uwazavyo kwa namna nakufahamu na ufahamu wako ila unachotaka kusema kuwa wakitaka waishe wote Hamas basi waanzishe kambi zao nje ya raia litatumwa jiwe moja tu kutoka kusikojulikana ibaki majivu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…