ipo loyal!?? Do you know the meaning of been loyal mkuu? Mtu m'binafsi hajawahi kuwa loyal sema kwamba ni mwanamke ambae anadanga kwa kujificha sema inampa taabu kujificha ndo maana anatumia udhaifu wako kukufanya uwe kama sababu ya yeye kutafuta njia mbadala.... Nisikilize mimi ninaekuambia kwamba achana na mademu tengeneza maisha yakoAlafu unakuta ni pisi ya kwenda si mchezo, ipo loyal kwako tu.
dahAchana na pisi inayokuomba zaidi ya uwezo wako!
Mchumba angu ni bodaboda halafu nimuombe aninunulie ndege??