Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Well, ni hakika USA inakwenda kumkataa mwanamke kwa mara ya pili, Surprisingly walimpa Biden.
That means angewekwa Harris na jiwe, USA wangechagua jiwe. It is not that wanampenda sana Trump, it is because wanajua woman was never made to lead. Kuongoza nchi na kuwa mlezi ni vitu 2 tofauti.
Kinachoendelea hapo TZ ni evidence kuwa wanawake ni walezi wazuri na sio viongozi wazuri , nchi haina adabu wala woga, wizi na ufisadi upo kwenye level ya juu hatari, hayo ma barabara ya mwendokasi, SGR , bandari, taasisi za umma etc, ukiambiwa upigaji wake utalia machozi ya damu, no control and mama does not know what else to do.
Ameacha maisha yaende tu. Fanya kinachokupa flavor. Hayo maujenzi ya magorofa ya KKO ni hatari, gorofa inabomolewa leo, in two weeks kitu kimeshasimama, i wonder kama hata Quality Assurance and Standard zinafuatiliwa kweli, kakitokea tetemeko kidogo tu, tutatafutana sana ; nchi imeoza under woman leadership!
U. S can not accept a shame of Being led by woman, Harris anakufa kifo cha mende asubuhi na mapema just as Hillary Clinton and the list will go on in the future
Je, wewe unadhan tungekuwa na tume ya Uchaguzi as independent entity ya USA, Samia angetoboa hata 10% ? 😹
Ukiona mwanamke amekuwa Rais, ujue kuna namna mwanamme alishindwa kufanya wajibu wake vizuri women were never created to lead, unless man loses his sight—— alisikika Mchokonozi