Unadhani kama tungekuwa na tume ya uchaguzi kama ya USA, Samia angeweza kutoboa hata kwa 10%?

Udhaifu wa katiba yetu pamoja na usawa wa jinsia ndiyo umetufikisha hapa leo,kama miradi mingi inayofanyika imejaa ufisadi kwanini serikali isisitishe kwanza hiyo miradi ili upembuzi yakinifu ufanyike? Ina maana serikali yetu haijali kodi za raia wananchi?
 
Naweka hii post kwa rejea yako. Dkt. Samia atashinda vikubwa mno.
Atashinda endapo kama wapiga kula wake mtakuwa ni nyie mafisadi na wezi na watumishi wazembe... Maana uwepo wake kwenye kile kiti ni nafuu ya kwenu.

Lakin tukisema watanzania wote tupige kura basi hata 6% tu ya kura zote hapati.... Na hata hizo atapewa na nyie wezi na ndugu zake
 
Udhaifu wa katiba yetu pamoja na usawa wa jinsia ndiyo umetufikisha hapa leo,kama miradi mingi inayofanyika imejaa ufisadi kwanini serikali isisitishe kwanza hiyo miradi ili upembuzi yakinifu ufanyike? Ina maana serikali yetu haijali kodi za raia wananchi?
Samia mwenyewe wanaompangia bajeti ya hiyo miradi ni hao hao madalali na majizi Sasa unategemea nini hapo?
 
of all the things vya ku copy USA nadhani tungeiga mfumo wao wa kuweka watu madarakani. Badala yake sisi tumeiga ujinga worst nightmare in Africa.
 
Kabisa tungeiga uwazi walionao na kuheshimu maamuzi ya wapiga kura....

Mimi naamini kwa jinsi Trump alivyokuwa anapigwa vita na ma celebrities, wanasiasa wakiwemo wa chama Chake pamoja na mabilionea wenzake huko Marekani, ingekuwa ndio kwa afrika ambako hakuna uwazi asingetoboa hata kidogo... Huo ushindi aliupata ni kwa sababu ya wapiga kura tu basi.
 
Well, ni hakika USA inakwenda kumkataa mwanamke kwa mara ya pili, Surprisingly walimpa Biden.

That means angewekwa Harris na jiwe, USA wangechagua jiwe. It is not that wanampenda sana Trump, it is because wanajua woman was never made to lead. Kuongoza nchi na kuwa mlezi ni vitu 2 tofauti.

Kinachoendela hapo TZ ni evidence kuwa wanawake ni walezi wazuri na sio viongozi wazuri , nchi haina adabu wala woga, wizi na ufisadi upo kwenye level ya juu hatari, hayo ma barabara ya mwendokasi, SGR , bandari, taasisi za umma etc, ukiambiwa upigaji wake utalia machozi ya damu, no control and mama does not know what else to do.

Ameacha maisha yaende tu. Fanya kinachokupa flavor. Hayo maujenzi ya magorofa ya KKO ni hatari, gorofa inabomolewa leo, in two weeks kitu kimeshasimama, i wonder kama hata Quality Assurance and Standard zinafuatiliwa kweli, kakitokea tetemeko kidogo tu, tutatafutana sana ; nchi imeoza under woman leadership!

U. S can not accept a shame of Being led by woman, Harris anakufa kifo cha mende asubuhi na mapema just as Hillary Clinton and the list will go on in the future

Je, wewe unadhan tungekuwa na tume ya Uchaguzi as independent entity ya USA, Samia angetoboa hata 10% ? 😹

Ukiona mwanamke amekuwa Rais, ujue kuna namna mwanamme alishindwa kufanya wajibu wake vizuri women were never created to lead, unless man loses his sight—— alisikika Mchokonozi
Surprisingly ulichotakiwa kujiuliza ni ilikuwaje wewe mwanaume ukaishia kuwa "mwanaume suruali" halafu huyo mwanamke unayedai kuwa hana uwezo wa kuongoa akakuongoza?
 
Kabisa tungeiga uwazi walionao na kuheshimu maamuzi ya wapiga kura....

Mimi naamini kwa jinsi Trump alivyokuwa anapigwa vita na ma celebrities, wanasiasa wakiwemo wa chama Chake pamoja na mabilionea wenzake huko Marekani, ingekuwa ndio kwa afrika ambako hakuna uwazi asingetoboa hata kidogo... Huo ushindi aliupata ni kwa sababu ya wapiga kura tu basi.
wananchi ndio wamemuweka pale ila bongo wajumbe na kamati kuu ndio final say 😀
 
Well, ni hakika USA inakwenda kumkataa mwanamke kwa mara ya pili, Surprisingly walimpa Biden.

That means angewekwa Harris na jiwe, USA wangechagua jiwe. It is not that wanampenda sana Trump, it is because wanajua woman was never made to lead. Kuongoza nchi na kuwa mlezi ni vitu 2 tofauti.

Kinachoendela hapo TZ ni evidence kuwa wanawake ni walezi wazuri na sio viongozi wazuri , nchi haina adabu wala woga, wizi na ufisadi upo kwenye level ya juu hatari, hayo ma barabara ya mwendokasi, SGR , bandari, taasisi za umma etc, ukiambiwa upigaji wake utalia machozi ya damu, no control and mama does not know what else to do.

Ameacha maisha yaende tu. Fanya kinachokupa flavor. Hayo maujenzi ya magorofa ya KKO ni hatari, gorofa inabomolewa leo, in two weeks kitu kimeshasimama, i wonder kama hata Quality Assurance and Standard zinafuatiliwa kweli, kakitokea tetemeko kidogo tu, tutatafutana sana ; nchi imeoza under woman leadership!

U. S can not accept a shame of Being led by woman, Harris anakufa kifo cha mende asubuhi na mapema just as Hillary Clinton and the list will go on in the future

Je, wewe unadhan tungekuwa na tume ya Uchaguzi as independent entity ya USA, Samia angetoboa hata 10% ? 😹

Ukiona mwanamke amekuwa Rais, ujue kuna namna mwanamme alishindwa kufanya wajibu wake vizuri women were never created to lead, unless man loses his sight—— alisikika Mchokonozi
Tunawasubiri CCM mwaka 2025 kama watashindwa kutuletea mgombea mwanaume tujue moja!
 
wananchi ndio wamemuweka pale ila bongo wajumbe na kamati kuu ndio final say 😀
Kabisa huku kwetu miyeyusho sana, hao wajumbe wenyewe wa kama kuu wanaangalia mtu mwenyewe kama atalinda maslahi ya vizazi vyao kwanza kabla ya kuangalia kama ana uwezo wa kuliogoza taifa.

Ila huko kwa wenzetu wanainchi wakiamua tunamktaka Fulani haijalishi hata kama amechafuliwa vipi ni huyo huyo ndio anakuwa kiongozi wao
 
Well, ni hakika USA inakwenda kumkataa mwanamke kwa mara ya pili, Surprisingly walimpa Biden.

That means angewekwa Harris na jiwe, USA wangechagua jiwe. It is not that wanampenda sana Trump, it is because wanajua woman was never made to lead. Kuongoza nchi na kuwa mlezi ni vitu 2 tofauti.

Kinachoendela hapo TZ ni evidence kuwa wanawake ni walezi wazuri na sio viongozi wazuri , nchi haina adabu wala woga, wizi na ufisadi upo kwenye level ya juu hatari, hayo ma barabara ya mwendokasi, SGR , bandari, taasisi za umma etc, ukiambiwa upigaji wake utalia machozi ya damu, no control and mama does not know what else to do.

Ameacha maisha yaende tu. Fanya kinachokupa flavor. Hayo maujenzi ya magorofa ya KKO ni hatari, gorofa inabomolewa leo, in two weeks kitu kimeshasimama, i wonder kama hata Quality Assurance and Standard zinafuatiliwa kweli, kakitokea tetemeko kidogo tu, tutatafutana sana ; nchi imeoza under woman leadership!

U. S can not accept a shame of Being led by woman, Harris anakufa kifo cha mende asubuhi na mapema just as Hillary Clinton and the list will go on in the future

Je, wewe unadhan tungekuwa na tume ya Uchaguzi as independent entity ya USA, Samia angetoboa hata 10% ? 😹

Ukiona mwanamke amekuwa Rais, ujue kuna namna mwanamme alishindwa kufanya wajibu wake vizuri women were never created to lead, unless man loses his sight—— alisikika Mchokonozi
Braza tuweke utani pembeni hatoboi.
 
mwanamke hafai madaraka makubwa
 
Hawajamkataa sabbau ni mwanamke ila ni sera mbovu za Democrats that's all. Mama samia tutamkataa sio kwa sababu ya jinsia yake ila uongozi mbovu. Tuache mindset mbovu namna hii, tumeshakua na marais 5 wanaume ila bado nchi ni maskini so hakuna connection ya jinsia na uongozi.
Tunachotakiwa ni kuikataa CCM kwani ndiyo ipo madarakani tangu tupate Uhuru na hatuoni mwanga wa Tanzania kuondokana na umasikini licha ya utajiri mkubwa sana wa maliasili tulizowekewa na Mwenyezi Mungu hii ikimaanisha kuwa tumekosa Uongozi na Siasa safi.
 
Acha kuwasemea watu,Dkt. Samia atashida vikubwa sana, ingawa ni habari usiyoipenda lakini ndio ukweli huo.
Atashinda na njaa lakini sio uchaguzi mkuu.

1.Mosi kura za waislamu wengi wanaume hapati.
2.Kura za akina mama wengi hapati,

3.kura za vijana wengi hapati.
4.Jinsia yake nani akubali kuongozwa na mwanamke??

Marekani wamekataa , sisi ni nani??

Mwenzake kanyolewa na yeye atie maji.
Rejea pia issue ya Joyce Banda Malawi.

5.Kura za wapinzani plus other factors

Saa💯 must go her home Kizimkazi.
 
Well, ni hakika USA inakwenda kumkataa mwanamke kwa mara ya pili, Surprisingly walimpa Biden.

That means angewekwa Harris na jiwe, USA wangechagua jiwe. It is not that wanampenda sana Trump, it is because wanajua woman was never made to lead. Kuongoza nchi na kuwa mlezi ni vitu 2 tofauti.

Kinachoendela hapo TZ ni evidence kuwa wanawake ni walezi wazuri na sio viongozi wazuri , nchi haina adabu wala woga, wizi na ufisadi upo kwenye level ya juu hatari, hayo ma barabara ya mwendokasi, SGR , bandari, taasisi za umma etc, ukiambiwa upigaji wake utalia machozi ya damu, no control and mama does not know what else to do.

Ameacha maisha yaende tu. Fanya kinachokupa flavor. Hayo maujenzi ya magorofa ya KKO ni hatari, gorofa inabomolewa leo, in two weeks kitu kimeshasimama, i wonder kama hata Quality Assurance and Standard zinafuatiliwa kweli, kakitokea tetemeko kidogo tu, tutatafutana sana ; nchi imeoza under woman leadership!

U. S can not accept a shame of Being led by woman, Harris anakufa kifo cha mende asubuhi na mapema just as Hillary Clinton and the list will go on in the future

Je, wewe unadhan tungekuwa na tume ya Uchaguzi as independent entity ya USA, Samia angetoboa hata 10% ? 😹

Ukiona mwanamke amekuwa Rais, ujue kuna namna mwanamme alishindwa kufanya wajibu wake vizuri women were never created to lead, unless man loses his sight—— alisikika Mchokonozi
Hii ni kweli na Hakika,basi tuu!
 
Uchambuzi mwananaaaana
 
Kwa sababu idadi ya watu wanaojitambua bado ni ndogo mno hakika atashinda.
 
Hawajamkataa sabbau ni mwanamke ila ni sera mbovu za Democrats that's all. Mama samia tutamkataa sio kwa sababu ya jinsia yake ila uongozi mbovu. Tuache mindset mbovu namna hii, tumeshakua na marais 5 wanaume ila bado nchi ni maskini so hakuna connection ya jinsia na uongozi.
Naungana na wewe,kumekua na viongozi wanawake shupavu ktk mataifa makubwa mfano Margaret Thatcher kwa Uingereza na pia kansela wa Ujerumani Angela Merkel
 
Back
Top Bottom