Unadhani kama tungekuwa na tume ya uchaguzi kama ya USA, Samia angeweza kutoboa hata kwa 10%?

Unadhani kama tungekuwa na tume ya uchaguzi kama ya USA, Samia angeweza kutoboa hata kwa 10%?

Punguza chuki za kishamba. Dr Samia ndo rais wako hadi 2030 taka usitake.
Tatizo unanilazimisha,

Kama unanilazimisha hivi, ujue kuna mahali ipo shida, it has to come from my consent

Neno Utake usitake usingeweza kulitumia na mdomo wako mpana kama tungekuwa na NEC ambayo ni independent entity

It is stupid that NECs DG achaguliwe na Rais , DED anachaguliwa na Rais , Mkuu wa wilaya anachaguliwa na Rais , Mkuu wa Mkoa anachaguliwa na Rais …… mfumo ambao unaenda kuhakikisha CCM inaiba kura, na mkuu wa wilaya eneo lake chama kikishindwa huwa anafukuzwa, najiuliza DED, mkuu wa wilaya na mkoa ni wanapaswa kuwa watumishi au wafanya kaki wa CCM ?

Mambo ya hovyo kama hayo halafu eti Utake Usitake, ….. are you mad ?
 
Unaongelea jinsia ?

Je hao viongozi watano wa kiume wamefanikiwa Kwa asilimia ngapi kuondoa umasikini Tanzania .!?

Hapo ni Sera mbovu za either za ccm au Democratic ambazo na sio jinsia .

Unaongelea jinsia ?

Je hao viongozi watano wa kiume wamefanikiwa Kwa asilimia ngapi kuondoa umasikini Tanzania .!?

Hapo ni Sera mbovu za either za ccm au Democratic ambazo na sio jinsia .
Kuna tofauti Sera ya biden na harris ?
 
Kama ni Sera…… Harris was a continuation of Biden, i am prety sure kwa sera hizo hizo angesimama Obama au Biden Over trump… wangeshinda
Acha uongo biden was losing this time around, tatizo sio jinsia ila inflation, immigration crisis, middle east, Ukraine war na mengineyo ndio kifo cha Democrats sio jinsia stop being delusional. Kwamba CCM ikiweka rais mwanaume ndio maendeleo yatakuja au CCM ni ile ile?
 
Mkuu hilo mbona ni swali tu ndugu? Nikitegemea urejee wanaojiteka au hata kufumaniwa?
gentleman,
mie nashughulika na kuelezea masuala ya kitaifa na kimataifa yenyewe maslahi mapana ya umma...

hayo ya kibinafsi sijui ya kufumaniana, kutoana kafara au kuchukuana misukule muyafanye huko huko kibinafs kwenye vyama vyenu tafadhali 🐒
 
Mkuu si ndimo powerfulness na au forcefulness zinamo dwell?

Kumbuka international or national, chimbuko ni personal. Ndiyo maana urongo na janja janja mingi tu, si wanaume si wanawake!

Au nasema uongo ndugu yangu?
 
Watu wanaakili wanachagua mtu mwwenyenguvu ya akili na ushawishi duniani...
Hapa machawa nikuimba tuu kama mazuzu 🎶mama-mama-mama!!!
Yanataka huruma na kulelewa nasio kupambania maisha.... pumba full
 
Mkuu si ndimo powerfulness na au forcefulness zinamo dwell?

Kumbuka international or national, chimbuko ni personal. Ndiyo maana urongo na janja janja mingi tu, si wanaume si wanawake!

Au nasema uongo ndugu yangu?
tamaa zanu binafsi kwa wake za watu na kuonja sumu kwa ulimi huku ikiwa mmekatazwa na kupewa angalizo kabisa na mmiliki wa chama, vimbelembele vyenu vitawamaliza wenyewe, shauri zenu 🐒
 
Hawajamkataa sabbau ni mwanamke ila ni sera mbovu za Democrats that's all. Mama samia tutamkataa sio kwa sababu ya jinsia yake ila uongozi mbovu. Tuache mindset mbovu namna hii, tumeshakua na marais 5 wanaume ila bado nchi ni maskini so hakuna connection ya jinsia na uongozi.
Acha ujinga
 
tamaa zanu binafsi kwa wake za watu na kuonja sumu kwa ulimi huku ikiwa mmekatazwa na kupewa angalizo kabisa na mmiliki wa chama, vimbelembele vyenu vitawamaliza wenyewe, shauri zenu 🐒

Kwani yule bilionea aliwahi kusema yaliyojiri?

Si kuwa kuna hayo ya forcefulness au na powerfulness zinazowaacha wachache mno kuusema ukweli ule wenyewe?
 
Well, ni hakika USA inakwenda kumkataa mwanamke kwa mara ya pili, Surprisingly walimpa Biden.

That means angewekwa Harris na jiwe, USA wangechagua jiwe. It is not that wanampenda sana Trump, it is because wanajua woman was never made to lead. Kuongoza nchi na kuwa mlezi ni vitu 2 tofauti.

Pamoja na sura ya yule mama wa bungeni, hata afoke vipi, no body scares or cares, but akifoka mwanaume you can feel it.

Kinachoendela hapo TZ ni evidence kuwa wanawake ni walezi wazuri na sio viongozi wazuri , nchi haina adabu wala woga, wizi na ufisadi upo kwenye level ya juu hatari, hayo ma barabara ya mwendokasi, SGR , bandari, taasisi za umma etc, ukiambiwa upigaji wake utalia machozi ya damu, no control and mama does not know what else to do.

Ameacha maisha yaende tu. Fanya kinachokupa flavor. Hayo maujenzi ya magorofa ya KKO ni hatari, gorofa inabomolewa leo, in two weeks kitu kimeshasimama, i wonder kama hata Quality Assurance and Standard zinafuatiliwa kweli, kakitokea tetemeko kidogo tu, tutatafutana sana ; nchi imeoza under woman leadership!

U. S can not accept a shame of Being led by woman, Harris anakufa kifo cha mende asubuhi na mapema just as Hillary Clinton and the list will go on in the future

Je, wewe unadhan tungekuwa na tume ya Uchaguzi as independent entity ya USA, Samia angetoboa hata 10% ? 😹

Ukiona mwanamke amekuwa Rais, ujue kuna namna mwanamme alishindwa kufanya wajibu wake vizuri women were never created to lead, unless man loses his sight—— alisikika Mchokonozi
Labda hiyo 10% itakuwa wanaopewa fedha. Trump anashinda Marekani itakuwa ujumbe Tanzania kuwa anahitajika Rais Mwanaume na awe kijani mwenye nguvu mzee ili awezane na mikiki ya kuiongoza nchi kupambana na ufisadi ulikithiri.
 
Kwani yule bilionea aliwahi kusema yaliyojiri?

Si kuwa kuna ni hayo ya forcefulness au na powerfulness zinazowaacha wachache mno kuusema ukweli ule wenyewe?
masuala sijui ya bilionea nani kasema bado ni ni mambo binafsi ambayo siwezi kuyasemea.

na kama ni kuhusu ukweli mchungaji msigwa hapa kausema ukweli wote na kuumaliza kabisa 🐒
 
Attachments

  • downloadfile-15.jpg
    downloadfile-15.jpg
    366.2 KB · Views: 2
Back
Top Bottom