Unadhani kama tungekuwa na tume ya uchaguzi kama ya USA, Samia angeweza kutoboa hata kwa 10%?

Well, ni hakika USA inakwenda kumkataa mwanamke kwa mara ya pili, Surprisingly walimpa Biden.

That means angewekwa Harris na jiwe, USA wangechagua jiwe. It is not that wanampenda sana Trump, it is because wanajua woman was never made to lead. Kuongoza nchi na kuwa mlezi ni vitu 2 tofauti.

Kinachoendela hapo TZ ni evidence kuwa wanawake ni walezi wazuri na sio viongozi wazuri , nchi haina adabu wala woga, wizi na ufisadi upo kwenye level ya juu hatari, hayo ma barabara ya mwendokasi, SGR , bandari, taasisi za umma etc, ukiambiwa upigaji wake utalia machozi ya damu, no control and mama does not know what else to do.

Ameacha maisha yaende tu. Fanya kinachokupa flavor. Hayo maujenzi ya magorofa ya KKO ni hatari, gorofa inabomolewa leo, in two weeks kitu kimeshasimama, i wonder kama hata Quality Assurance and Standard zinafuatiliwa kweli, kakitokea tetemeko kidogo tu, tutatafutana sana ; nchi imeoza under woman leadership!

U. S can not accept a shame of Being led by woman, Harris anakufa kifo cha mende asubuhi na mapema just as Hillary Clinton and the list will go on in the future

Je, wewe unadhan tungekuwa na tume ya Uchaguzi as independent entity ya USA, Samia angetoboa hata 10% ? 😹

Ukiona mwanamke amekuwa Rais, ujue kuna namna mwanamme alishindwa kufanya wajibu wake vizuri women were never created to lead, unless man loses his sight—— alisikika Mchokonozi
Kama ana mikakati inayoeleweka kwa wananchi kwanini asitoboe?
 
Ni dhahili kwetu huku siyo sera bali ni chama mhusika anachotoka na affliation yake na vyombo vya ulinzi na usalama. Dkt Samia ili ashinde basi vyombo vya ulinzi na usalama vimkubali (kitu ambacho mpaka sasa hana maelewano navyo-ushahidi kabadili DG Tiss mara kazaa), maana yake ni dhahili kuna vitu alitaka kulazimisha TISS wakakataa kata kata akafukuza DG, na maana yake uchaguzi utakuwa huru na haki na hivyo kupelekea kushindwa uchaguzi. Kosa lake kubwa Dkt Samia ni kuacha kutumia mfumo halali na kujitengenezea wake, sasa hivi CCM hawatembei na image ya rais bali wanaimarisha brand ya CCM
Amka upo Usingizini
 
We umemtukana ht mamako, umelelewa hovyo ndio maana umeandika huu uchafu. Wameongoza wanawake hii dunia were very strong, umeshawahi sikia iron lady? Au Magreth Thatcher, Angela Merkel, Hellen Johson Sirleaf kutaja wachache, we lofa sijui ni wa wapi. Uko nyuma miaka 100
Hizo
Nchi unazotajia Rais sio priority, Tayari zina mifumo thabiti. Ukija kupata akili as a grown man utanielewa
 
Kama ana mikakati inayoeleweka kwa wananchi kwanini asitoboe?

Chukua hii itakusaidia. Mwenyekiti wa CCM ndiye anateua wafuatao;
1. Mkuu wa majeshi (CDF)
2. Inspekta Jenerali wa polisi (IGP)
3. Jaji mkuu
4. Kamishna wa TAKUKURU
5. Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi
6. Mkurugenzi wa uchaguzi
7. Kamishna wa idara ya uhamiaji
8. Mkuu wa usalama wa taifa (TISS)
9. Wakurugenzi wa wilaya ambao pia ndo wasimamizi wa uchaguzi majimboni
10. Msajili wa vyama vya siasa.

Mwenyekiti wa CCM ni mhimili wa mihimili mingine.
Kwa hii list , anashinda ama anapewa!

Hata hao uliowataja are not happy na mama yako, ni suala la muda

Wake up
 
Hivyo vyama pinzani viko wapi!?
Kati ya samia na jiwe

Nitachagua jiwe. Kungekuwa na tume huru ningekuja kupiga kura TZ kwa hata ma yoyote. Kushirikiana na watanzania kukataa kuongozwa na wafia tumbo
 
Angalau mmeanza kufikiri vizuri! No fair competition no winner! Mama atapewa urais
Sahihi lakini ndani ya CCM hawqmtaki hata kumsikia na kuna move nyingi za kumuweka kando, or else miaka 5 ya umasikini wa kutupwa ipo njiani

Watanzania watakula mbwa na pets
 
Kama Kungekuwa na tume huru Samia agepata kura za watoto wake tu basi.
 
Well, ni hakika USA inakwenda kumkataa mwanamke kwa mara ya pili, Surprisingly walimpa Biden.

That means angewekwa Harris na jiwe, USA wangechagua jiwe. It is not that wanampenda sana Trump, it is because wanajua woman was never made to lead. Kuongoza nchi na kuwa mlezi ni vitu 2 tofauti.

Kinachoendela hapo TZ ni evidence kuwa wanawake ni walezi wazuri na sio viongozi wazuri , nchi haina adabu wala woga, wizi na ufisadi upo kwenye level ya juu hatari, hayo ma barabara ya mwendokasi, SGR , bandari, taasisi za umma etc, ukiambiwa upigaji wake utalia machozi ya damu, no control and mama does not know what else to do.

Ameacha maisha yaende tu. Fanya kinachokupa flavor. Hayo maujenzi ya magorofa ya KKO ni hatari, gorofa inabomolewa leo, in two weeks kitu kimeshasimama, i wonder kama hata Quality Assurance and Standard zinafuatiliwa kweli, kakitokea tetemeko kidogo tu, tutatafutana sana ; nchi imeoza under woman leadership!

U. S can not accept a shame of Being led by woman, Harris anakufa kifo cha mende asubuhi na mapema just as Hillary Clinton and the list will go on in the future

Je, wewe unadhan tungekuwa na tume ya Uchaguzi as independent entity ya USA, Samia angetoboa hata 10% ? 😹

Ukiona mwanamke amekuwa Rais, ujue kuna namna mwanamme alishindwa kufanya wajibu wake vizuri women were never created to lead, unless man loses his sight—— alisikika Mchokonozi
weka mbali tume huru, hata ndani ya ccm ukiruhusu katiba na kanuni ndani ya ccm zitumike samia anaweza kushika namba moja toka mwisho. Ruhusu mwenye uwezo achukue form ya kugombea urais uone.
 
tafadhali bhana ,RUDISHA upanga wako alani,🤣😀🤣😀 kweli kweli tupu!!
 
Hivyo vyama pinzani viko wapi!?
Jiulize Polisi walikuwa wanafanya Nini mabarabarani wakati yalipotaka kufanyika maandamano???
Ukijua sababu utakuwa umepata jibu la swali, na utakuawa unajua kwanini polisi walikuwa busy!

Kama huelewi hili itakuwa wewe una akili "ZA KUVUKIA BARABA"🤣😀🤣😀
 
spiritually, ni makosa makubwa sana kwa mwanamke kumuongoza na kumtawala mwanaume. Hakunaga mfalme wa kike! Ni kwa vile tu dunia imepinduka na kukaliwa na uasi. Bwana Yesu alichagua mitume 12, usifikiri alisahau kumuwekamo mwanamke.
 
Well, ni hakika USA inakwenda kumkataa mwanamke kwa mara ya pili, Surprisingly walimpa Biden.

That means angewekwa Harris na jiwe, USA wangechagua jiwe. It is not that wanampenda sana Trump, it is because wanajua woman was never made to lead. Kuongoza nchi na kuwa mlezi ni vitu 2 tofauti.

Kinachoendela hapo TZ ni evidence kuwa wanawake ni walezi wazuri na sio viongozi wazuri , nchi haina adabu wala woga, wizi na ufisadi upo kwenye level ya juu hatari, hayo ma barabara ya mwendokasi, SGR , bandari, taasisi za umma etc, ukiambiwa upigaji wake utalia machozi ya damu, no control and mama does not know what else to do.

Ameacha maisha yaende tu. Fanya kinachokupa flavor. Hayo maujenzi ya magorofa ya KKO ni hatari, gorofa inabomolewa leo, in two weeks kitu kimeshasimama, i wonder kama hata Quality Assurance and Standard zinafuatiliwa kweli, kakitokea tetemeko kidogo tu, tutatafutana sana ; nchi imeoza under woman leadership!

U. S can not accept a shame of Being led by woman, Harris anakufa kifo cha mende asubuhi na mapema just as Hillary Clinton and the list will go on in the future

Je, wewe unadhan tungekuwa na tume ya Uchaguzi as independent entity ya USA, Samia angetoboa hata 10% ? 😹

Ukiona mwanamke amekuwa Rais, ujue kuna namna mwanamme alishindwa kufanya wajibu wake vizuri women were never created to lead, unless man loses his sight—— alisikika Mchokonozi
Tanzania kosa lilianzia kimpa magufuri, nasema kumpa sababu hakuchaguliwa.

Jitahidini sana CCM iondoke madarakani. Tutakuwa zaidi ya America
 
Huo ndio uhalisia katika jamii za watu Duniani,hata wewe leo hii sio chochote kukiwa na uchaguzi wa haki katika hii nchi tukiwasimamisha one to one na SAMIA ambaye ni maarufu na kila kitu,wewe utashinda.
Acha uongo mbona kina Hellen Johnson, thatcher, liz truss wamekua viongozi wakuu wa nchi zao!! Huyo Clinton mwenyewe alishinda popular vote kuliko Trump in 2016. Mind you hata Tanzania wanawake ni wengi kuliko wanaume so wakiamua wapitishe jinsia yao nani atashindwa? Acha akili mgando, Trump angempiga biden mbali kabisa nafiu hata huyu mama
 
Well, ni hakika USA inakwenda kumkataa mwanamke kwa mara ya pili, Surprisingly walimpa Biden.

That means angewekwa Harris na jiwe, USA wangechagua jiwe. It is not that wanampenda sana Trump, it is because wanajua woman was never made to lead. Kuongoza nchi na kuwa mlezi ni vitu 2 tofauti.

Kinachoendela hapo TZ ni evidence kuwa wanawake ni walezi wazuri na sio viongozi wazuri , nchi haina adabu wala woga, wizi na ufisadi upo kwenye level ya juu hatari, hayo ma barabara ya mwendokasi, SGR , bandari, taasisi za umma etc, ukiambiwa upigaji wake utalia machozi ya damu, no control and mama does not know what else to do.

Ameacha maisha yaende tu. Fanya kinachokupa flavor. Hayo maujenzi ya magorofa ya KKO ni hatari, gorofa inabomolewa leo, in two weeks kitu kimeshasimama, i wonder kama hata Quality Assurance and Standard zinafuatiliwa kweli, kakitokea tetemeko kidogo tu, tutatafutana sana ; nchi imeoza under woman leadership!

U. S can not accept a shame of Being led by woman, Harris anakufa kifo cha mende asubuhi na mapema just as Hillary Clinton and the list will go on in the future

Je, wewe unadhan tungekuwa na tume ya Uchaguzi as independent entity ya USA, Samia angetoboa hata 10% ? 😹

Ukiona mwanamke amekuwa Rais, ujue kuna namna mwanamme alishindwa kufanya wajibu wake vizuri women were never created to lead, unless man loses his sight—— alisikika Mchokonozi
Well said, Samia kukiwa na demokrasia ya kweli, hata ndani ya CCM, havuki 20%. Anadanganywa na machawa waganga njaa, na yeye anaamini kuwa watanzania wanamtaka aendelee kuongoza nchi.
 
spiritually, ni makosa makubwa sana kwa mwanamke kumuongoza na kumtawala mwanaume. Hakunaga mfalme wa kike! Ni kwa vile tu dunia imepinduka na kukaliwa na uasi. Bwana Yesu alichagua mitume 12, usifikiri alisahau kumuwekamo mwanamke.
Damu Aziz ya Yesu, upo sahihi sana katika spiritual aspect,umenena kweli kabisa!!
 
Well, ni hakika USA inakwenda kumkataa mwanamke kwa mara ya pili, Surprisingly walimpa Biden.

That means angewekwa Harris na jiwe, USA wangechagua jiwe. It is not that wanampenda sana Trump, it is because wanajua woman was never made to lead. Kuongoza nchi na kuwa mlezi ni vitu 2 tofauti.

Kinachoendela hapo TZ ni evidence kuwa wanawake ni walezi wazuri na sio viongozi wazuri , nchi haina adabu wala woga, wizi na ufisadi upo kwenye level ya juu hatari, hayo ma barabara ya mwendokasi, SGR , bandari, taasisi za umma etc, ukiambiwa upigaji wake utalia machozi ya damu, no control and mama does not know what else to do.

Ameacha maisha yaende tu. Fanya kinachokupa flavor. Hayo maujenzi ya magorofa ya KKO ni hatari, gorofa inabomolewa leo, in two weeks kitu kimeshasimama, i wonder kama hata Quality Assurance and Standard zinafuatiliwa kweli, kakitokea tetemeko kidogo tu, tutatafutana sana ; nchi imeoza under woman leadership!

U. S can not accept a shame of Being led by woman, Harris anakufa kifo cha mende asubuhi na mapema just as Hillary Clinton and the list will go on in the future

Je, wewe unadhan tungekuwa na tume ya Uchaguzi as independent entity ya USA, Samia angetoboa hata 10% ? 😹

Ukiona mwanamke amekuwa Rais, ujue kuna namna mwanamme alishindwa kufanya wajibu wake vizuri women were never created to lead, unless man loses his sight—— alisikika Mchokonozi
That means angewekwa Harris na jiwe, USA wangechagua jiwe. It is not that wanampenda sana Trump, it is because wanajua woman was never made to lead. Kuongoza nchi na kuwa mlezi ni vitu 2 tofauti.
 
Kinachoendela hapo TZ ni evidence kuwa wanawake ni walezi wazuri na sio viongozi wazuri , nchi haina adabu wala woga, wizi na ufisadi upo kwenye level ya juu hatari, hayo ma barabara ya mwendokasi, SGR , bandari, taasisi za umma etc, ukiambiwa upigaji wake utalia machozi ya damu, no control and mama does not know what else to do.
 
Hata kesho ukiitwa uchaguzi turnout itakuwa ndogo, ila Samia atashinda (aina maana ni jambo jema kwa nchi).

Simply because hakuna mtu wa kumpigia kura Lissu zaidi ya wachangiaji wa JF mnaemkuza.
Mwaka 2020 Lissu alipata kura ngapi??
 
Back
Top Bottom