Unadhani kwanini Tanzania hii, safu ya matajiri imetawaliwa na waajemi?

NYOLODO

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2020
Posts
12,206
Reaction score
27,987
Wakuu kwema? Nimepata mada fulani nzuri sana kupima uelewa, mawazo na mitazamo tofauti tofauti ya watu kuhusu nchi yetu. Matajiri wengi nchii hii ni watu wenye asilia Asia. Nini mtazamo wako kuhusu hili!? Watanzania tunakwama wapi?
Screenshot_20260503_092535_Facebook.jpg
 
Baadhi ya koment kutoka kwa wadau mbali mbali mitandaoni

"'Wamatumbi' hamna kifua,na ndio maana wamatumbi wenzio walio madarakani connection zote za michongo wanapeleka kwa 'waajemi'. Na hii mara nyingi utokea kwenye nchi zilizogubikwa kwa wizi,ufisadi na rushwa ambapo wanasiasa na watawala hutumia 'waajemi' kupitisha na kufanya mambo.
Nafikiri jambo lengine ni UBINAFSI, wamatumbi tu wabinafsi sana kwenye level zote,yaani kuanzia kwenye family hadi jamii. Ukiwa nacho wewe unataka uwe nacho wewe tu pekee ili wengine wakusujudie ili mjini na mitaani uitwe 'mwamba', taita, tajiri,kigogo n.k. uku umezungukwa na 'chawa'.
Labda jambo lengine linalowapa mafanikio hawa 'waajemi' ni uwezo wa kukusanya nguvu za pamoja wanapotaka jambo lao lifanikiwe, na hili wale wa madarakani wanalipenda sana kwani jamaa kutoa mzigo upfront hawaoni shida iwapo wamehakikishiwa wanachokitaka watakipata. Si mnaona mali za tazarau zilivyo megwa au zile za nyoka wa kati? Mali ya billion 300 inauzwa kwa billion 20 ambaayo italipwa kidogo kidogo kwa 30yrs , huku wanene wameshakula 5B au 10B yao upfront. Huh! nimechoka mie mjukuu wa 'climate' mwa-double 🤣🤣🤣"
 
Waarabu na Waajemi Huwa wanajikita katika sekta za kutengeneza pesa nyingi kwa haraka, wanajua kushirikiana kifamilia katika biashara, wanajua vizuri kucheza na siasa za nchi au mamlaka kujipatia utajiri.
Enrich that arguement by details.
1. Sekta za kutengeneza pesa kwa haraka ni zipi? Tupe mfano mmoja unaoishi hapa tanznia kati ya hao waliojikita nayo

2. Ushirikiano ni kitu kinachozungumzwa sana, watu wa kaskazini wana hiyo kasumba. Hasa wachaga na wameru, kwa nn wasitoe na wao?

3. Mamlaka? Je kuna waziri katika hao?
 
Wakuu kwema? Nimepata mada fulani nzuri sana kupima uelewa, mawazo na mitazamo tofauti tofauti ya watu kuhusu nchi yetu. Matajiri wengi nchii hii ni watu wenye asilia Asia. Nini mtazamo wako kuhusu hili!? Watanzania tunakwama wapi?View attachment 3583111
  • Sababu za kihistoria.
  • Wanasiasa waswahili wapenda rushwa wanawazesha
  • Wanajiongeza kibiashara. Nyie mafisadi yenu meusi kama kina Samia, Mkunda, Abdul, Lugumi, Kikwete yanaiba na kununua Mabugatti na kupora vyeo vya kisiasa. Hayawezi kuendesha hata kiwanda cha Biscuit.

Cheki Lugumi anaiba ananunua magari, ****.za kinyarwanda, anayawekea kiyoyozi na kununua majumba.

Ili kuwa na lifestyle hiyo inabidi aibe kila mwaka.
- Wana mitaji mikubwa
 
  • Sababu za kihistoria.
  • Wanasiasa waswaholo wapemda rushwa wanawazesha
  • Wanajionheza kibiashara. Nyie mafisadi yenu meusi kama kina Samia, Mkunda, Abdul, Ligumi, Kikwete yanaiba na kunua Mabugatti na kupora vyeo vya kisiasa. Hayawezi kuendesha hata kiwanda cha Biscuit.

Cheki Lugumi anaoba anaunua magari, anayawekea kiyoyozi na kununua majumba. Ili kuwa na lifestyle hiyo inabidi aibe kila mwakaa.
- Wana mitaji mikubwa
Kihistoria unataka kufanan na mawazo ya huyu mtoa hoja?

Jibu ni historia, si uzembe.
Wakati wa ukoloni, sheria zilizuia Waafrika kupata mikopo, kumiliki biashara kubwa, na kushiriki katika biashara kuu — wakati Wahindi na Waarabu walipewa nafasi hiyo kwa miaka 75. Baadaye Ujamaa wa Nyerere uliharibu wafanyabiashara wachache wa Kiafrika waliokuwepo. Na ubinafsishaji wa miaka 1990 ulitoa viwanda vya serikali kwa bei nafuu — lakini ni nani aliyekuwa na pesa za kununua? Wahindi na Waarabu waliokuwa wamehifadhi mtaji wao.
Orodha hii si bahati mbaya. Ni matokeo ya mfumo uliojengwa kwa makusudi. Swali la kweli si “kwa nini hawako?” — bali “sisi tunaanza lini?”
 
  • Sababu za kihistoria.
  • Wanasiasa waswaholo wapemda rushwa wanawazesha
  • Wanajionheza kibiashara. Nyie mafisadi yenu meusi kama kina Samia, Mkunda, Abdul, Ligumi, Kikwete yanaiba na kunua Mabugatti na kupora vyeo vya kisiasa. Hayawezi kuendesha hata kiwanda cha Biscuit.

Cheki Lugumi anaoba anaunua magari, anayawekea kiyoyozi na kununua majumba. Ili kuwa na lifestyle hiyo inabidi aibe kila mwakaa.
- Wana mitaji mikubwa
Kwa Lugumi mkuu huwez kusema sio tajri sabab anafanya mpaka PR, analea yatima mamia na kuwasomesha wengine marekani huko. Inasemekena alikopeshwa pesa na tajiri wa KIHINDI
 
Waarabu na Waajemi Huwa wanajikita katika sekta za kutengeneza pesa nyingi kwa haraka, wanajua kushirikiana kifamilia katika biashara, wanajua vizuri kucheza na siasa za nchi au mamlaka kujipatia utajiri.
Watu wameanza kutengeneza pesa tangu enzi za Uhuru wewe unasema habari za kutengeneza pesa haraka? Hapo kwenye list unafikiri ni wangapi wameanza shughuli zao baada ya 1990?
 
Kuna mtu ansema hivi

"Utajiri ni series ya kujitoa Toka kizazi Cha mababu..
Kama Babu yako hakufanya kazi,maana yake wewe unapaswa uanze Leo kwa niaba ya wajukuu zako.
Na kwa lugha rahisi hao kipindi Cha Mwinyi wengi walibakizwa na kupewa mikopo mingi Sana ili kuruhusu private sectors"

Swali : UJAMAA ulishindwa kun'goa private interest kuwa common interest?. Mana tunachoambia na kuamini ni kuwa ujamaa matajiri walifilisiwa na ukubwa wa idea ile ulikuwa ni kupunguza gep kati ya maskini na tajiri. Hawa walipona vipi?
 
Hawa enzi za utaifishaji hawakuwa wakubwa kama hivi walivyo sasa kiuchumi.
 
What happened there? Maana wamejaa kwenye ngaz ya juu kabisa. Zama za laizez fare 1990s mpaka leo ni miaka 30 sasa. Sekta binafsi ikaanza kuwa na nguvu n vita ya private interest vs common one ikaanza kushika hatamu.

Swali je! Kwa nn hao watu wamibuka kinara kuliko watanzania asilia? Nini kilitokea na kinachoendelea mpaka leo?
 
What happened there? Maana wamejaa kwenye ngaz ya juu kabisa. Zama za laizez fare 1990s mpaka leo ni miaka 30 sasa. Sekta binafsi ikaanza kuwa na nguvu n vita ya private interest vs common one ikaanza kushika hatamu.

Swali je! Kwa nn hao watu wamibuka kinara kuliko watanzania asilia? Nini kilitokea na kinachoendelea mpaka leo?
Baadhi ya koment kutoka kwa wadau mbali mbali mitandaoni

"'Wamatumbi' hamna kifua,na ndio maana wamatumbi wenzio walio madarakani connection zote za michongo wanapeleka kwa 'waajemi'. Na hii mara nyingi utokea kwenye nchi zilizogubikwa kwa wizi,ufisadi na rushwa ambapo wanasiasa na watawala hutumia 'waajemi' kupitisha na kufanya mambo.
Nafikiri jambo lengine ni UBINAFSI, wamatumbi tu wabinafsi sana kwenye level zote,yaani kuanzia kwenye family hadi jamii. Ukiwa nacho wewe unataka uwe nacho wewe tu pekee ili wengine wakusujudie ili mjini na mitaani uitwe 'mwamba', taita, tajiri,kigogo n.k. uku umezungukwa na 'chawa'.
Labda jambo lengine linalowapa mafanikio hawa 'waajemi' ni uwezo wa kukusanya nguvu za pamoja wanapotaka jambo lao lifanikiwe, na hili wale wa madarakani wanalipenda sana kwani jamaa kutoa mzigo upfront hawaoni shida iwapo wamehakikishiwa wanachokitaka watakipata. Si mnaona mali za tazarau zilivyo megwa au zile za nyoka wa kati? Mali ya billion 300 inauzwa kwa billion 20 ambaayo italipwa kidogo kidogo kwa 30yrs , huku wanene wameshakula 5B au 10B yao upfront. Huh! nimechoka mie mjukuu wa 'climate' mwa-double 🤣🤣🤣"
Hio post ina majibu mazuri.
 
Back
Top Bottom