Ukweli usiopingikaWabongo ndiyo tunajifunza biashara leo, jamani. Babu zao hawa jamaa walifanya mpaka biashara za kuuza Babu zetu utumwani na kabla ya hapo walikuja hapa Tanganyika na Zanzibar kufanya biashara. Hivyo, hawa jamaa wana uzoefu wa Karne na karne za biashara.