Unadhani kwanini Tanzania hii, safu ya matajiri imetawaliwa na waajemi?

Unadhani kwanini Tanzania hii, safu ya matajiri imetawaliwa na waajemi?

Private interest! Ambayo kwa lugha ya kawaida ni selfishnes. Ni vigum sana jambo moja liendeshwe na watu wengi kwa common interest Afrika. Ngum mnooo, mm pia shuhuda wa hili. Bora tukose wote kuliko tufanye kwa faida ya wote
Hiyo bora tukose wote ndio inaturudisha nyuma, kwahivyo tuwaache waajemi waendeleze biashara zao na kukuza pato la nchi tu! Maana kujumuika wenyewe kwa wenyewe hatuwei zaidi ya kuitana wezi au tumetoa kafara! Nchi ngumu sana hii..
 
Uzamani ni mwingi! Nakomaa sio siri!simuombi mia yake!!
Huyo amerithi mawazo ya mababu, hiyo inaitwa long term fatalism. Hata mm mzee wangu ana mawazo kama hayo!. Sehem kama hizo umaskini na hisia za uchawi ni kubwa sana kwa vijana wa kizazi kipya
 
Basi labda ana ile dhana ya wakike hupeleka uumeni mali.... Ila komaa muoneshe kama unaweza
Kama hahis kuwa anaqeza kuwa na shauku ya kukontoo maisha yake aendelee kupruvu. Ila kama anahisi hamuelewi elewi ajikatae kabisa wasionane
 
Hiyo bora tukose wote ndio inaturudisha nyuma, kwahivyo tuwaache waajemi waendeleze biashara zao na kukuza pato la nchi tu! Maana kujumuika wenyewe kwa wenyewe hatuwei zaidi ya kuitana wezi au tumetoa kafara! Nchi ngumu sana hii..
We fight against posibilities
 
Huyo amerithi mawazo ya mababu, hiyo inaitwa long term fatalism. Hata mm mzee wangu ana mawazo kama hayo!. Sehem kama hizo umaskini na hisia za uchawi ni kubwa sana kwa vijana wa kizazi kipya
Mungu aniepushie mbali! Nimewahama kabisa wakae huko kivyao watajua wenyewe!
 
wasomali pale Kenya!!!tatizo la ukabila pale Kenya ilibidi wageni wapewe uchumi kupush uchumi wa nchi!!na mambo hayo ni sera Siri za pale Kenya tangu wapate uhuru!!!pia wezi wanawatumua kutakatisha mapesa hapo kenya!!

Nafikiri TU!!!
 
Bakhresa anakopeshwa Sana na world bank, ni rahisi kwa haya mashirika makubwa kukukopesha kama Una Shea faida yako na wananchi. Like world bank hawawezi kukukopesha then Ile hela ukawekeze kwenye hisa ama ukanunue Vodacom na Tigo ufaidike wewe, ila watakupa hela kama biashara yako inaweza toa maelfu kwenye umasikini na vifananiavyo.

Mfano biashara ya Bakhresa ya Ice cream wakati inaanza ilikua ni pasu kwa pasu MTU akiuza ice cream 500 anachukua 250 na Bakhresa 250, ukienda omba mkopo wa baiskeli na distribution logistics nyengine kama madeli ni rahisi kupata sababu moja kwa moja inamgusa masikini wa Chini.
Unajua kwann kampuni zinavalue Coorporate social responsibility?. Unataka kusema CSR plan inaweza kutumika kama sifa ya kupata mkopo au mm sijaelewa hoja yako?

Yani bahresa akopeshwe kirahisi sababu anatoaga kisaada kwa maskini kwani kakopa kama NGO?

WHO ELSE ARGUE WITH YOU?
 
And we end up limiting ourselves!
😁 mama kapiga hesabu zake anaona kabisa anapata jibu '2' sasa mbili huu hajajua vizuri kama ni hasi au chanya ndo kaamua kuachana na hesabu yenyewe
 
Baadhi ya koment kutoka kwa wadau mbali mbali mitandaoni

"'Wamatumbi' hamna kifua,na ndio maana wamatumbi wenzio walio madarakani connection zote za michongo wanapeleka kwa 'waajemi'. Na hii mara nyingi utokea kwenye nchi zilizogubikwa kwa wizi,ufisadi na rushwa ambapo wanasiasa na watawala hutumia 'waajemi' kupitisha na kufanya mambo.
Nafikiri jambo lengine ni UBINAFSI, wamatumbi tu wabinafsi sana kwenye level zote,yaani kuanzia kwenye family hadi jamii. Ukiwa nacho wewe unataka uwe nacho wewe tu pekee ili wengine wakusujudie ili mjini na mitaani uitwe 'mwamba', taita, tajiri,kigogo n.k. uku umezungukwa na 'chawa'.
Labda jambo lengine linalowapa mafanikio hawa 'waajemi' ni uwezo wa kukusanya nguvu za pamoja wanapotaka jambo lao lifanikiwe, na hili wale wa madarakani wanalipenda sana kwani jamaa kutoa mzigo upfront hawaoni shida iwapo wamehakikishiwa wanachokitaka watakipata. Si mnaona mali za tazarau zilivyo megwa au zile za nyoka wa kati? Mali ya billion 300 inauzwa kwa billion 20 ambaayo italipwa kidogo kidogo kwa 30yrs , huku wanene wameshakula 5B au 10B yao upfront. Huh! nimechoka mie mjukuu wa 'climate' mwa-double 🤣🤣🤣"
Point namba moja kama ulivopanga is the main point . Bongo akipiga utajuan tu , kwa usawa huu wa mitandao lazima wapost wana pesa ..Bongo washamba sana , akiwa na pesa anajulikana wakati wenzie wanaficha kwenye inestments .
 
😁 mama kapiga hesabu zake anaona kabisa anapata jibu '2' sasa mbili huu hajajua vizuri kama ni hasi au chanya ndo kaamua kuachana na hesabu yenyewe
Mkuu, we acha tu nakwmabia!
 
Wanatunza siri, wanawalinda wale wanaowapa koneksheni-kutoa salio, wanajua kutembea kwenye mfumo uliopo au utakaokuja, wanawatunzia mali waliopo kwenye mamlaka, sisi kwa sisi hatutaki wewe upate- unawekewa mazingira magumu ya biashara.​
 
Back
Top Bottom