That’s my mom😩Asili yetu ya kiafrica ndo tatizo, wenzetu hao huwa wana tabia kwanza ya kurithishana mali,kutoka kizazi kimoja kwenda kingine bila migogoro ya kifamilia alafu huwa wanawapa au kusoma kuhusiana na biashara au kazi wanazotaka kufanya njoo kwetu kwanza Africa 😀mzazi ana mawe mtoto anaambiwa tafuta vyako mm nilipambana, umeona tofauti hiyo.
Hana, tayari kajipata huyo!Cold hearted mom. Hanaga shida ya kutaka kusaidiwa?
Hatuna resources za kutosha😎Nje ya mada,
Hivi kwa nini mada kama hizi,hawa Dada zetu wa JF hua sio wachangiaji?
Mkuu,nimemaanisha kwamba wao wanasomesha watoto wao shule na vyuo vizuri ili baadae waje kuendeleza vitu vya familia wakiwa na maarifa zaidi ya kuinua biashara za wazazi wao pale walipozikuta. Niliowatolea mfano wote wamesomeshwa nje ,wakapata elimu iliyosaidia kuinua biashara za wazazi wao kuzipeleka mbele zaidi ya zilipokuwa.Hizo Nongwa mzee 😁
There is something we lack, elimu ya kusomesha vijana wetu nchi hii ili waje wafanye mabadiliko bado haijawa na maono. Hivyo vitu vyenyew vya kuendelezwa navyo mnavyo au mnawaandalia maneno na mitaji ya kuwa wamachinga.
Mtoto anasomea kilimo, akirudi anataka akae mjini, familia yote inakaa mjini. Hawana mashamba ngazi ya familia, mashamba yaliyopo ngazi ya ukoo Mbeya huko. Mzee wake na wana ukoo hawaelewani, waligombana siku nyingi. Kijana anaweka plan mezan hesabu zinakuja milions kf money ikiwemo kununua mashamba
Mwanajeshi wa kazi gani?Akili zao huwa zinanishangaza sana. Akishajua yeye ni pisi kali yuko radhi kujitangaza kuwa anataka mwanajeshi.😉
Ni mkoloni tu hakuna nini wala nini, pia wasukuma wana ile mwanamke ataolewa kwahiyo yuko busy na madogo ni wa kiume tupu!Subiria urithi hapo! Ana mawazo ya kibepari au masharti 😀
Huwezi amini mama yangu huwa ananiambia hivi, eti ukitesekea unafanikiwa, Mungu anakuona!Hii nayo ni point kubwa. Malezi, mtu mweusi anaelea mtoto hampi skills za kurun mali au biashara, anamuacha mtoto apitie magumu kama aliyopitia akiamini ndio yatampa akili. Wakati wenzetu wanampa mtoto elimu kwa vitendo
Kwanini matajari weusi wakiondoka utajiri nao unafifia au kwisha kabisa. ? Watoto hawajaandaliwa
Dahh umenikumbusha kuna mabasi yamepakiwa mpaka yameharibika pale Mwanza, walimuua mmiliki sasa hawataki yafanye kazi mpaka wagawane, kama wangelikuwa na akili timamu unakubali ata bus moja tu mengine waachie unataka kuniambia asingerudisha pesa nyingi kutokana na hiyo biashara? Ila tamaa ndio inatangulizwa kuliko akili!Someone experience
"Wengi wa hao angalia historia yao, vizazi vyao vilikuwa na mali na wao wakaendeleza na kufikisha hapa walipo. Hata baada ya hawa utaona watoto na wajukuu zao wakiendeleza haya yaliyofanyika.
Sisi watu weusi hatuna huu utamaduni wa kuendeleza miradi ya familia. Wazee wakifariki tunagawana mali inakuwa ni ugomvi mkubwa kwa sababu kila mtoto anataka yeye ndio aonekane na mwishowe miradi inàkufà kwa kutawanyishwa. Tumeshuhudia hili kwa wafanyabiashara wakubwa weusi hapa wanapoondoka duniani basi na mali zinakufa.
Jambo lingine biashara nyingi za watu weusi hazina mfumo rasmi unaonekana wa uendeshaji wa kampuni. Yaani kampuni inakuwa inamtegemea Baba au mama pekee na watoto hawajui hata kinachoendelea wao ni kutumia tu na hawajui biashara inavyoendeshwa.
Suala lingine elimu, wahindi, waarabu wanajikita kwenye elimu ya biashara na hauwezi kukuta mtoto wao ameenda kusomea sociology au ualimu n.k. Wanaenda kusomea kile familia watafaidika nacho.
Wanawaanda watoto wao mapema sana na hapa natoa mifano miwili👇👇
Mwaka 2022 tuliwahi kuzunguka hapa mjini na tajiri malori wa kiarabu kwa ajili ya fulani hapa mjini lakini aliyekuwa anatuendesha kwenye gari yake ni mtoto wake aliyekuwa na miaka 14 wakati huo huku sisi tukiendelea na mazungumzo yetu. Huyu mtoto alikuwa anaenda hadi Tunduma kwa gari akiendesha au iwapo kama kuna lori limepata shida.
Tukiwa njia sasa tumekaribia Kibada safari mtoto akaona lori limepaki pembeni ya barabara akasimama ghafla na kumwambia baba, ile ni gari yetu na naona kama wanavuta mafuta. Aliyeitambua gari ni mtoto na sio baba.
Ile kampuni ipo mikono salama hata ikitokea mzee wao akaondoka kwa sababu licha ya huyu mtoto lakini tayari mtoto mwingine mkubwa ni Mkurugenzi tayari.
Mfano mwingine ni kampuni kubwa ya bidhaa fulani hapa Tanzania. Hawa nimefanya nao kazi kwa miaka kama 10 hivi. Miaka hiyo nilipokuwa naenda ofisini kwao mbozi road pale chang'ombe nilikuwa nakutana na mtoto wa kiume ambaye alikuwa anatoka shule anapitia kwa baba yake na leo hii ni Mkurugenzi wa hiyo kampuni.
Sisi watangulizi hata kabla hawajaondoka tunakuwa tunawaza namna ya kugawana na kuuza kila kitu ili tukatambe mitaani.
Angalia wamiliki wa mabasi, wamiliki wa biashara za hotel za kitalii n.k."
Kwamba tuwapeleke watoto wetu ist? Unajua kama chekechea tu ada ni 30m?Hapo kwenye kuweka wasomi kuendesha biashara zao hawana utani. Picha linaanza watoto wao wanasoma shule na vyuo vya viwango mfano angalia kina MO wamesoma IST na Georgetown University Marekani. Watoto wa Jambo yule wa Shinyanga pia kawasomesha vyuo vya maana na ndo kizazi kilichokuja kuinua Jambo hadi bidhaa zake kupatikana nchi nzima tofauti na mwanzo zilivyokuwa zinapatikana kanda ya ziwa pekee. So na sisi wamatumbi tujifunze kuwekeza kwenye elimu za watoto wetu na kuajiri watu kwa uwezo sio kwa kujuana au kubebana.
Picha linaanza kwenye kupata kazi kwa wamatumbi kuna mara rushwa ya ngono, hapo mtatoboa kweli kwa kuajiri mtu kisa tu ni demu wa Boss ?
Mbona wengi wanapelekwa shule za international na wanasoma nje pia!Mkuu,nimemaanisha kwamba wao wanasomesha watoto wao shule na vyuo vizuri ili baadae waje kuendeleza vitu vya familia wakiwa na maarifa zaidi ya kuinua biashara za wazazi wao pale walipozikuta. Niliowatolea mfano wote wamesomeshwa nje ,wakapata elimu iliyosaidia kuinua biashara za wazazi wao kuzipeleka mbele zaidi ya zilipokuwa.
Je sisi matajiri wetu wanawapa watoto wao elimu bora ili waje waendeleze pale wazazi wao walipoishia? Siongelei kijana anaetoka familia maskini ambaye yeye ndio anaanza,shida yetu sisi ni kuwa utajiri hauvuki kwenda kizazi kijacho,kila kizazi kinaanza from zero,wao baba akianza from zero,mwanae haanzii from zero.
Private interest! Ambayo kwa lugha ya kawaida ni selfishnes. Ni vigum sana jambo moja liendeshwe na watu wengi kwa common interest Afrika. Ngum mnooo, mm pia shuhuda wa hili. Bora tukose wote kuliko tufanye kwa faida ya woteDahh umenikumbusha kuna mabasi yamepakiwa mpaka yameharibika pale Mwanza, walimuua mmiliki sasa hawataki yafanye kazi mpaka wagawane, kama wangelikuwa na akili timamu unakubali ata bus moja tu mengine waachie unataka kuniambia asingerudisha pesa nyingi kutokana na hiyo biashara? Ila tamaa ndio inatangulizwa kuliko akili!
Tusisahau, wanatumia sana rushwa pia.
Huyo Myemeni alitoa bilioni kumi mchana kweupe Mlimani City kuchangia kampeni ya Samia. Chochote anachotaka sasa hv anapata. Ukikataa kuondoa kodi ambayo hakubaliani nayo unaondoka wewe TRA. Samia alimfuta kazi kamishna wa TRA ambae alikataa rushwa iliyoletwa ofisini. Anakwamisha madili ya watu. Mnakumbuka ???
Hawa Wa Asia wanamiliki serikali pia.
MTU na kaka yake mmoja alikuwa BOT, MKT chadema, mkuu wa uDSMBomani wale wa Ilala?
Badala ya kutafuta…. Sisi tunapiga mudomoMifumo Mibovu ya NCHI ,
Bakhresa anakopeshwa Sana na world bank, ni rahisi kwa haya mashirika makubwa kukukopesha kama Una Shea faida yako na wananchi. Like world bank hawawezi kukukopesha then Ile hela ukawekeze kwenye hisa ama ukanunue Vodacom na Tigo ufaidike wewe, ila watakupa hela kama biashara yako inaweza toa maelfu kwenye umasikini na vifananiavyo.Bahresa kwemye biashara ni extra ordinary man and half, wazo la azam pesa kalinunua kwa kijana mdogo sana tena jobless aliepambana kumpata for couple months. Mm wazo lile nimeanza kulisikia mwaka mmoja kabla Halijafika hapo kwa bahresa mwenyew. Nina rafiki yangu nae ana vimiradi vya hivyo kama proposala fulani fulani za kibiashara nazo anahangaikaga kuwafikia madoni
Ina mana kukopa nje ni rahisi sana?
Pesa za ndagu hazirisishiki......!!That’s my mom😩
Hakupi mia mbovu!
Anakwambia mimi nilipambana nikapata kwahiyo na wewe tafuta chako😆