Unadhani kwanini Tanzania hii, safu ya matajiri imetawaliwa na waajemi?

Vyama vya ushirika si tokelo la Nyerere la idea za kijamaa? Alichoangalia sana pale ni majority ambao ni peasant na workers class. Enzi za ukoloni Wahindi walikuwa tabaka la pili wale, katika vyanzo vyako vya maarifa ilikuaje hawa watu wakadominate biashara na kutajirika nazo katika nyakat tofauti

Leo hii hata ukiangazia, vyama vya ushirika vinashindwa kuitetea bei ya mbele ya midle man. Mhindi anapanga bei anaondoka na mzigo kwa mkopo. Vyama vya ushirika vilisaidia nn zama hizo katika kumuinua mtu mweusi
Hoja yako sijaielewa. Mimi naungabmkono vyama vya ushirika.

Ila vilikosa nguvu kwasababu ya rushwa na ukabila.

Vyama vya ushirika ni muhomu kwasababu vinaunganisha nguvu na mitaji
 
Wengi wanaosema hovyo ni wahuni tu.

TZ siyo sleeping giant, ila nadhani haitaki kukurupuka.

Ukifika Afrika Kusini, Kenya ndio utajua kwanini ni sahihi TZ kuwa ilivyo
Mkuu nikisema mtazamo wa kufikiri najiuliza tu maswali, ndani ya wiki hii kuna marais wawili wa nchi jirani wana ziara hapa kwetu Tanzania na wengi wetu hatujiulizi wamekuja kufanya nini? Hii inatosha kusema bado tumelala.
 
Kenya matajri wakubwa wengi ni wazawa wenye asili ya kenya?
Kenya matajiri wakubwa ni wanasiasa waliogawana keki ya nchi baada ya uhuru.

Ni saw ana leo useme kwanini familia ya Nyerere siyo matajiri.

Matajiri wa kenya siyo wavumbuzi, wafanyabiashara wala wana sayansi.

Ni utajiri wa Kikikwete, kibashite na kilugumi na kikizigha
 
Hao jamaa nasikia kwao huko wanapewa mtaji wachague nchi za Africa kuja kuuzalisha na kuuzidisha na wakishindwa wananyongwa kimya kimya na familia zao wenyewe

Ipo hivi familia ikishauza mafuta kwenye visima vya ukoo vyao, wanamchagua mmoja wao na wanampa pesa yote na kwa mkataba wa kifamilia yaani asiifanyie ujinga hiyo pesa na huwa anachagua nchi yeyote ya Africa kuja kuuzalisha hiyo pesa

Ikitokea kafilisika wanamdunga sumu anakufa alaf anazikwa na watu wachache tu, kama familia inamkataa hivi
Unaskia kutoka kwa nani mkuu?
 
Hoja yako sijaielewa. Mimi naungabmkono vyama vya ushirika.

Ila vilikosa nguvu kwasababu ya rushwa na ukabila.

Vyama vya ushirika ni muhomu kwasababu vinaunganisha nguvu na mitaji
Tunarudi kwenye common interest, wakati hao wametoboa kwenye private interest. Faida na maslahi ya pamoja haiwez kumtajirisha mtu mmoja mmoja, hao jamaa hapo juu wametok kwenye mitazamo ya maslahi binafsi
 
Mkuu nikisema mtazamo wa kufikiri najiuliza tu maswali, ndani ya wiki hii kuna marais wawili wa nchi jirani wana ziara hapa kwetu Tanzania na wengi wetu hatujiulizi wamekuja kufanya nini? Hii inatosha kusema bado tumelala.
Ziara za marais ni kitu cha kawaida.
 
Hao Jamaa uliowaweka hapo juu karibu wote biashara wameanza miaka mingi Sana iliyopita yaani familia zao zimeanza kitambo Sana biashara toka miaka ya Nyerere na mwinyi, from very humble beginning,, ngoja nikupe Stori yetu.

Babu yangu Mimi alikuwa anafanya biashara na miongoni mwa ndugu wa Jamaa mmoja hapo juu, Sisi ukoo wetu Kila mtu alikuwa anaanza upya ila wao walikuwa wanapokezana na kubebana, wao walikuwa na mashine za kusaga nafaka na Sisi pia tulikuwa nazo miaka hiyo, wenzetu walikuwa wanasogea mbele, Kipindi kile mashine za kusaga zilikuwa ni kama viwanda vidogo huko wilayani maana unakuta mkoa mzima hazifiki ishirini so soko lilikuwepo kubwa, kilichotokea sisi tukaachwa na mashine zetu pale pale ,wenzetu wakatoka huko wakaanza kuwa na mills za nafaka sasa hatimaye maviwanda makubwa na wakahamia mijini,

Babu yangu biashara ilimshinda licha ya kuwa na wateja wengi maana hakuna wa kumrithi Kila mmoja anakimbilia ajira za serikali za Nyerere na mwinyi wanaogopa risks, wengine hawataki biashara, probably na Sisi tungekuwa hapo juu maana kuna familiar face hapo juu baba Yao alianza na Babu yangu pamoja kule kijijini, nikienda kijijini historia yetu Hadi Leo ipo but We were absolutely fuc*kin morons

Kuna wasomali nilipewa Stori zao nao ,walipokelewa na Babu yangu kabisa na akawapa hifadhi na maeneo ya mashamba kwaajili ya kuanza maisha maana walitoka Somalia huko hawana kitu hata nguo hawana, guess what!, wasomali wale descendants wao wako Dar, Tanga na Zanzibar Wana biashara kubwa za logistics, energies na majumba, they had nothing by then...

Yaani kuna kitu tuna miss. Sometimes unaweza kudhani kama tuna laana au IQ ndogo.
 
Tunarudi kwenye common interest, wakati hao wametoboa kwenye private interest. Faida na maslahi ya pamoja haiwez kumtajirisha mtu mmoja mmoja, hao jamaa hapo juu wametok kwenye mitazamo ya maslahi binafsi
Ndio maana mimi ni muumini wa ushirika.

Mtu mmoja huwezi kushindana.

Wahindi ni minorities, na ndio maana wanabebana
 
Hao Jamaa uliowaweka hapo juu karibu wote biashara wameanza miaka mingi Sana iliyopita yaani familia zao zimeanza kitambo Sana biashara toka miaka ya Nyerere na mwinyi, from very humble beginning,, ngoja nikupe Stori yetu.

Babu yangu Mimi alikuwa anafanya biashara na miongoni mwa ndugu wa Jamaa mmoja hapo juu, Sisi ukoo wetu Kila mtu alikuwa anaanza upya ila wao walikuwa wanapokezana na kubebana, wao walikuwa na mashine za kusaga nafaka na Sisi pia tulikuwa nazo miaka hiyo, wenzetu walikuwa wanasogea mbele, Kipindi kile mashine za kusaga zilikuwa ni kama viwanda vidogo huko wilayani maana unakuta mkoa mzima hazifiki ishirini so soko lilikuwepo kubwa, kilichotokea sisi tukaachwa na mashine zetu pale pale ,wenzetu wakatoka huko wakaanza kuwa na mills za nafaka sasa hatimaye maviwanda makubwa na wakahamia mijini,

Babu yangu biashara ilimshinda licha ya kuwa na wateja wengi maana hakuna wa kumrithi Kila mmoja anakimbilia ajira za serikali za Nyerere na mwinyi wanaogopa risks, wengine hawataki biashara, probably na Sisi tungekuwa hapo juu maana kuna familiar face hapo juu baba Yao alianza na Babu yangu pamoja kule kijijini, nikienda kijijini historia yetu Hadi Leo ipo but We were absolutely fuc*kin morons

Kuna wasomali nilipewa Stori zao nao ,walipokelewa na Babu yangu kabisa na akawapa hifadhi na maeneo ya mashamba kwaajili ya kuanza maisha maana walitoka Somalia huko hawana kitu hata nguo hawana, guess what!, wasomali wale descendants wao wako Dar, Tanga na Zanzibar Wana biashara kubwa za logistics, energies na majumba, they had nothing by then...

Yaani kuna kitu tuna miss. Sometimes unaweza kudhani kama tuna laana au IQ ndogo.
Kuna namna wazo la kutaka kuajira, kukimbia risky na kuishi maisha yenye uhakika wa kula limefelisha familia nyingi katika safar ya utajiri.

How safe was that? Biashara ilikuwa salama kias gan kwa wakt huo kufikia sehem flan kwa makundi yote ya watu? Wahindi na waajemi enzi hizo walikuwa tabaka la kati kama unafatilia vizur historia
 
Waliletwa na Rais mwinyi ktk mkakati wa miaka mingi wa islamization of Tanzania
Km ilivyo Nigeria
Km ilivyofanikiwa Sudan

Na utajikuta libunge linakenua meno tu linapipewa uwazir hawajui wenzao wapo kwenye project ya muda mrefu
 
Project hiyo inalenga kumnufaisha nani kwa dodoso uliloliskia?
 
Hao Jamaa uliowaweka hapo juu karibu wote biashara wameanza miaka mingi Sana iliyopita yaani familia zao zimeanza kitambo Sana biashara toka miaka ya Nyerere na mwinyi, from very humble beginning,, ngoja nikupe Stori yetu.

Babu yangu Mimi alikuwa anafanya biashara na miongoni mwa ndugu wa Jamaa mmoja hapo juu, Sisi ukoo wetu Kila mtu alikuwa anaanza upya ila wao walikuwa wanapokezana na kubebana, wao walikuwa na mashine za kusaga nafaka na Sisi pia tulikuwa nazo miaka hiyo, wenzetu walikuwa wanasogea mbele, Kipindi kile mashine za kusaga zilikuwa ni kama viwanda vidogo huko wilayani maana unakuta mkoa mzima hazifiki ishirini so soko lilikuwepo kubwa, kilichotokea sisi tukaachwa na mashine zetu pale pale ,wenzetu wakatoka huko wakaanza kuwa na mills za nafaka sasa hatimaye maviwanda makubwa na wakahamia mijini,

Babu yangu biashara ilimshinda licha ya kuwa na wateja wengi maana hakuna wa kumrithi Kila mmoja anakimbilia ajira za serikali za Nyerere na mwinyi wanaogopa risks, wengine hawataki biashara, probably na Sisi tungekuwa hapo juu maana kuna familiar face hapo juu baba Yao alianza na Babu yangu pamoja kule kijijini, nikienda kijijini historia yetu Hadi Leo ipo but We were absolutely fuc*kin morons

Kuna wasomali nilipewa Stori zao nao ,walipokelewa na Babu yangu kabisa na akawapa hifadhi na maeneo ya mashamba kwaajili ya kuanza maisha maana walitoka Somalia huko hawana kitu hata nguo hawana, guess what!, wasomali wale descendants wao wako Dar, Tanga na Zanzibar Wana biashara kubwa za logistics, energies na majumba, they had nothing by then...

Yaani kuna kitu tuna miss. Sometimes unaweza kudhani kama tuna laana au IQ ndogo.
Nafikiri labda pia kwa sababu hizi jamii za kutoka Asia na Wasomali wanajua hawana chao kwenye ajira za serikalini maana sio rahisi wao kuajiriwa huko hasa kwenye nafasi za juu ndio maana huwa wanakomaa zaidi na sekta binafsi.
 
Back
Top Bottom