Unadhani kwanini Tanzania hii, safu ya matajiri imetawaliwa na waajemi?

Unadhani kwanini Tanzania hii, safu ya matajiri imetawaliwa na waajemi?

Wakuu kwema? Nimepata mada fulani nzuri sana kupima uelewa, mawazo na mitazamo tofauti tofauti ya watu kuhusu nchi yetu. Matajiri wengi nchii hii ni watu wenye asilia Asia. Nini mtazamo wako kuhusu hili!? Watanzania tunakwama wapi?View attachment 3583111
Kwa sababu mtu mweusi hajawahi fundishwa kutafuta pesa ila fitina,wivu,ulalamishi,porojo na ujinga wa dini.
 
  • Sababu za kihistoria.
  • Wanasiasa waswahili wapenda rushwa wanawazesha
  • Wanajiongeza kibiashara. Nyie mafisadi yenu meusi kama kina Samia, Mkunda, Abdul, Lugumi, Kikwete yanaiba na kununua Mabugatti na kupora vyeo vya kisiasa. Hayawezi kuendesha hata kiwanda cha Biscuit.

Cheki Lugumi anaiba ananunua magari, ****.za kinyarwanda, anayawekea kiyoyozi na kununua majumba.

Ili kuwa na lifestyle hiyo inabidi aibe kila mwaka.
- Wana mitaji mikubwa
Unawatuhumu hao watu kuwa wanaiba,je unaweza kuelezea wanaibaje,na utoe ushahidi wa wizi wao
 
Waiter zungusha Round mbili za beer halafu niitie mtu wa Jiko la Kitimoto, Nishushe vitu kwanza ndio nichangie hii mada
 
Utajiri unaanza na mindset ya mtu,nidhamu ya fedha,juhudi,discipline,malengo ya muda mfupi na malengo ya muda mrefu na mengineyo,

Leo hii ukimpa tajiri milioni 100 na masikini milioni 100 ili wote waanze upya,
Basi yule tajiri atarudi kua tajiri tena,na masikini atarudi kua masikini tena kama asipobadilika.
Hii nayo ni point kubwa. Malezi, mtu mweusi anaelea mtoto hampi skills za kurun mali au biashara, anamuacha mtoto apitie magumu kama aliyopitia akiamini ndio yatampa akili. Wakati wenzetu wanampa mtoto elimu kwa vitendo

Kwanini matajari weusi wakiondoka utajiri nao unafifia au kwisha kabisa. ? Watoto hawajaandaliwa
 
Kwenye hiyo list walioanza toka scratch ni wangapi? Najua Bakhresa tu.

Mtu kama Mo Dewji ni generation ya mbele ya familia ya kibiashara.
Wabongo kwa tamaduni zetu, marehemu anakufa na chake. Mtoto anatimuliwa nyumbani akatafute zake. Hata kama baba anajiweza, hampi mtaji wala connections. Uchoyo wa ajabu.
Wenzetu hawafukuzani nyumbani hovyo. Wanafanua biashara za familia toka udogoni na mali zinarithishwa ndani ya familia.

Kushindana na mtu kama Mo, ni kama timu ya Daraja la nne kushindana na timu ya ligi kuu.
Mbombo Nkafu kabisa.
 
Watu wote wako hivyo au watu wa pwani? Mbona wafanyabiashara wa kariakoo watakuprove wrong?. Biashara nyingi kariakoo zinaendeshwa kifamilia now, do your research
 
Wabongo ndiyo tunajifunza biashara leo, jamani. Babu zao hawa jamaa walifanya mpaka biashara za kuuza Babu zetu utumwani na kabla ya hapo walikuja hapa Tanganyika na Zanzibar kufanya biashara. Hivyo, hawa jamaa wana uzoefu wa Karne na karne za biashara.
 
Kwenye hiyo list walioanza toka scratch ni wangapi? Najua Bakhresa tu.

Mtu kama Mo Dewji ni generation ya mbele ya familia ya kibiashara.
Wabongo kwa tamaduni zetu, marehemu anakufa na chake. Mtoto anatimuliwa nyumbani akatafute zake. Hata kama baba anajiweza, hampi mtaji wala connections. Uchoyo wa ajabu.
Wenzetu hawafukuzani nyumbani hovyo. Wanafanua biashara za familia toka udogoni na mali zinarithishwa ndani ya familia.

Kushindana na mtu kama Mo, ni kama timu ya Daraja la nne kushindana na timu ya ligi kuu.
Mbombo Nkafu kabisa.
Njia pekee ya utajiri mkubwa kwa minajili hiyo ni urithi. Walichokifanya hao jamaa ni kuendeleza mirathi kufika hapo. Una update yoyote ya familia zilizoachwa na utajir wa wazazi kama kina Mufuruku? Tuashum mkapa nae tajiri na Mengi muelekeo wao
 
Wakuu kwema? Nimepata mada fulani nzuri sana kupima uelewa, mawazo na mitazamo tofauti tofauti ya watu kuhusu nchi yetu. Matajiri wengi nchii hii ni watu wenye asilia Asia. Nini mtazamo wako kuhusu hili!? Watanzania tunakwama wapi?View attachment 3583111
1. Muajemi hapo ni Rostam, wa Ajemi ni watu wa Ukanda wa Iran si kila MTU wa Asia ni Muajemi.

2. Picha ya Bakhresa wameandika Rostam Aziz.

3. Mengi na Ali mufuruki walikua kwenye hii list Mali zao zimeenda wapi?

Long story short watu wengi matajiri Tanzania ni watu wanaotoka familia za kitajiri toka hata wazungu hawajakuja Tanzania, Sultan wa Zanzibar alileta matajiri wengi toka Gujarati India, Iran na maeneo mbalimbali Duniani, hawa watu walikua na mitaji na ndio waliojenga dar unayoiona Leo, mtafute mhindi yoyote ambaye familia yake ina miaka 100 ama zaidi atakuambia kwao Gujarati. Hawa jamaa walikua na pesa chafu, Even sultan mwenyewe hakuwafikia kwa ukwasi, walipewa roles mbalimbali za kibiashara.

Hata Nchi ilivyopata Uhuru Nyerere akiendelea kuwakumbatia, kuwapa Nafasi mbalimbali serikalini na Opportunities mbalimbali kuendeleza Nchi,
 
Back
Top Bottom