Kamba,
wahindi wa Tanzania hawa matajiri wameletwa na Sultan, at that time waziri Mkuu wa Sultan (Honorary) aliitwa Sir Tharia Topan alikua ni mhindi Ismailia toka Gujarati. Akaja Aga khan na sultan aliponunua Mzizima na kubadili kuwa Dar es salaam akawaweka wengi Tu Dar sababu walikua na Hela za kufanya investments, there is a reason ikulu ya Tanzania ambayo ilikua ni ya Sultan imezungukwa na makazi ya Ismailia dar kuanzia Hospital Yao ya Aga khan mpaka nyumba zao za kuishi kule karibu na Feri mpaka kuja Salender bridge.
Ushahidi mwengine usio na Shaka soma Historia zao wenyewe hao matajiri.
Mo dewji toka Gujarati familia yake imekuja miaka ya 1800 (Tumekuwa koloni la Uingereza baada ya vita vikuu vya Dunia 1914), 1862 ndio Dar ilianzishwa.
Source Chahali
Mohammed "Mo" Gulamabbas Dewji (aliyezaliwa 8 Mei 1975) ni mfanyabiashara bilionea kutoka Tanzania na mwanasiasa wa zamani.
www.baruayachahali.com
unaweza soma Historia kwa ujumla hapa
en.wikipedia.org
Hao unaosema wamekuja kujenga reli ni hohehahe kama Sisi Tu, wengi hawana influence na utajiri kama hao wa Gujarati.