Unadhani kwanini Tanzania hii, safu ya matajiri imetawaliwa na waajemi?

Kama hufahamu waarabu wengi kabla na baada ya Uhuru ni wakulima na wanaishi vijijini zaidi kuliko Mjini, nenda Tanga utakuta waarabu magoma, Maramba, moa, vuo, manza, Duga, Pangani, kigombe, mauya huko etc kote Huko hakuna fursa ambayo local hawezi Fanya,

It's more of lifestyle kushinda opportunities.
Hakuna Mwarabu, Muajemi au Mhindi anayefanya Kilimo cha wakulima wadogo, Waarabu wana namna za kufanya mambo yao tofauti na sisi Waafrika mfano akikuta mahali wakina mama wanauza vitumbua na soko la vitumbua ni kubwa sana la maana yeye ataenda kujipanga na wenzake wafungue bakery kabisa halafu wawaajiri hao wakina mama wa mtaani hapo kwenye bakery.

Pia tusisahahu Waasia wengi waliokimbilia kufanya biashara au kilimo kikubwa huko vijijini wengi walienda kuweka makazi karibu na mbuga za wanyama zenye tembo😁
 
Kwa hio Mengi na Mufuruki huoni kwamba wanakupa jibu unalotafuta? Huoni kwamba ukisoma Historia zao zitakuonesha kwanini walikua matajiri? Na anguko Lao linaonesha kwanini watu wengi familia zao haziwi matajiri?

Kipindi cha Nyerere kuanzia Jina la Tanzania lenyewe Hadi policy mbalimbali walitunga hao wahindi wa Gujarati, kulikua na Mawaziri kama Al Noor Kassum, msaidizi na Mshauri wa Nyerere kama Adieu Annar etc.
View attachment 3583227
Mostly walikua kwenye Community ya Ismailia ambao kiongozi wao alikua Aga khan, hawa walikubali Sera ya ujamaa na Mali zao nyingi ndio National housing unayoiona Leo.

Wahindi wengine ambao hawakublend na Nyerere na Sera ya Ujamaa walikimbia.
Umekunywa maji ya bendera ya Waasia kuwapigia propaganda Waasia hapa jukwaani na huwa unakuwa na chumvi nyingi sana kwenye maandiko yako.

Nyerere alikuwa na serikali mchanganyiko ya kila aina enzi za mwanzo za utawala wake kuanzia Waswahili, Wazungu, Waarabu mpaka Wahindi, alikuwa hadi ana katibu msaidizi wake binafsi mzungu anaitwa Joan Wicken.

Halafu Sera na sheria nyingi za Tanzania ukiacha za ujamaa ziliritithiwa kutoka kwa wakoloni wazungu Waingereza, hazikutungwa na Wahindi wa kutoka Gujarati.

Utaifishaji mali uliofanywa na Nyerere ilikuwa ni kwa makundi yote sio Wahindi wa Ismailia tu na hawakujitolea mali kwa serikali bali zilichukuliwa kwa amri na nguvu ya serikali. Ilikuwa hivyo kwa mali za Wakatoliki, Lutheran na vyama vya ushirika pia.
 
Sultan hakuleta wahindi. Wahindi waliletwa na Wakoloni Waingereza East afrika kujenga reli, kwasababu wakoloni hawakutaka kufundisha waafrika.
Uko Sahihi, Wahindi wengi walikuja Africa enzi za ukoloni kwa ajili ya kujenga reli.
 
Hakuna Mwarabu, Muajemi au Mhindi anayefanya Kilimo cha wakulima wadogo, Waarabu wana namna za kufanya mambo yao tofauti na sisi Waafrika mfano akikuta mahali wakina mama wanauza vitumbua na soko la vitumbua ni kubwa sana la maana yeye ataenda kujipanga na wenzake wafungue bakery kabisa halafu wawaajiri hao wakina mama wa mtaani hapo kwenye bakery.

Pia tusisahahu Waasia wengi waliokimbilia kufanya biashara au kilimo kikubwa huko vijijini wengi walienda kuweka makazi karibu na mbuga za wanyama zenye tembo😁
Unataka kusemaje mkuu? Na upo maeneo gani mm nije tumaizane ili habari hizi zisiende mbali
 
Umekunywa maji ya bendera ya Waasia kuwapigia propaganda Waasia hapa jukwaani na huwa unakuwa na chumvi nyingi sana kwenye maandiko yako.

Nyerere alikuwa na serikali mchanganyiko ya kila aina enzi za mwanzo za utawala wake kuanzia Waswahili, Wazungu, Waarabu mpaka Wahindi, alikuwa hadi ana katibu msaidizi wake binafsi mzungu anaitwa Joan Wicken.

Halafu Sera na sheria nyingi za Tanzania ukiacha za ujamaa ziliritithiwa kutoka kwa wakoloni wazungu Waingereza, hazikutungwa na Wahindi wa kutoka Gujarati.

Utaifishaji mali uliofanywa na Nyerere ilikuwa ni kwa makundi yote sio Wahindi wa Ismailia tu na hawakujitolea mali kwa serikali bali zilichukuliwa kwa amri na nguvu ya serikali. Ilikuwa hivyo kwa mali za Wakatoliki, Lutheran na vyama vya ushirika pia.
Sasa Aga khan aliwarudishia ani posta ile jubilee na ukwasi wao wa leo?
 
Hakuna Mwarabu, Muajemi au Mhindi anayefanya Kilimo cha wakulima wadogo, Waarabu wana namna za kufanya mambo yao tofauti na sisi Waafrika mfano akikuta mahali wakina mama wanauza vitumbua na soko la vitumbua ni kubwa sana la maana yeye ataenda kujipanga na wenzake wafungue bakery kabisa halafu wawaajiri hao wakina mama wa mtaani hapo kwenye bakery.

Pia tusisahahu Waasia wengi waliokimbilia kufanya biashara au kilimo kikubwa huko vijijini wengi walienda kuweka makazi karibu na mbuga za wanyama zenye tembo😁
Touch grass bro usishinde Tu JF, waarabu ni watu wa vijijini Nchi hii kuliko mijini, tembea Tanga, pangani, muheza huko utawakuta vijijini na Biashara/Kilimo wanachofanya kinaingiza pesa kuliko Asilimia kubwa ya walio Mjini, na nakwambia hivi sababu nafahamiana na hao watu personal ni Historia ninayoiishi.

MOja ya Sababu kwanini waarabu na Swahili elites hawakuwa na conflict of interest ni kwamba waarabu walikua ni wakulima, pwani ya Africa Mashariki watu walikua hawalimi, ni uvuvi na biashara, waarabu walivyokuja wanaleta Karafuu, Nazi, mdalasini, Pilipili manga, miwa etc mazao ambayo yalistawi kwenye uoto wa pwani. Swahili elites wakawa bado Wana control pwani Yao kwa kukusanya Kodi and the likes win to win situation, Hadi alivyokuja mkoloni na kuwapokonya keki Yao ndio vita vikaanza.

Mpaka Leo waarabu si watu wa mjini, wengi humu hata basic concept ya kumtofautisha Mwarabu, mhindi, Mbulushi, Muajemi etc hawana ndio maana akikutana na watu weupe wengi mjini anajua automatic ni waarabu.
 
Waajemi, waarabu na wahindi ni mabingwa wa "succession plan" katika mali na utajiri wao. Huyu Mo Dewji mali kaipokea toka kwa baba zake, na baba zake waliopokea toka kwa baba zao.

Ukiacha teknolojia na uvumbuzi, succession plan and inheritance lineage ndio effective way ya kuzalisha matajiri popote pale duniani.
 
Unataka kusemaje mkuu? Na upo maeneo gani mm nije tumaizane ili habari hizi zisiende mbali
Niko nanunua pamba, dengu na choroko maeneo ya pembezoni mwa mbuga ya Serengeti mkuu.
Nina wajomba zangu nao wako wanafanya biashara zao maeneo ya karibu na mbuga ya Ruaha😁.
 
Aga Khan siyo WAHINDU.

WAAHINDI wengi walioletwa na WAINGEREZA ni GUJARAT, na ni WAHINDU.

View attachment 3583380View attachment 3583381
Sijui hata kama hio screenshot yako umeielewa, inaprove point yangu badala yako.

1. Inasema waingereza walileta mapanjabi na Sikh huku, ni Sawa sikatai, je hao ndio matajiri wetu? Hapana matajiri wetu si masingasinga ni waisilamu wa Shia toka Gujarati.

2. Si kila anetoka India ni mhindu, Elites wa India at that time walikua ni Mughal hao walikua ni waisilamu kama hufahamu, Aga Khan Alitoka Gujarati India kuja Tanzania, kabla ya kwenda India alikua na Asili ya Iran (Shah ni Wairan)

3. Hatuongelei middle class kama screenshot yako inavyoonesha Tunaongelea matajiri kina Mo, Zakaria, Rostam etc hawa wazazi wao walikuja kujenga reli? Kama walikuja kujenga reli toa ushahidi otherwise hujathibitisha chochote hapo kama nilivyoweka Mimi ushahidi wagujarati walikuja before muingereza weka na wewe wako.
 
Touch grass bro usishinde Tu JF, waarabu ni watu wa vijijini Nchi hii kuliko mijini, tembea Tanga, pangani, muheza huko utawakuta vijijini na Biashara/Kilimo wanachofanya kinaingiza pesa kuliko Asilimia kubwa ya walio Mjini, na nakwambia hivi sababu nafahamiana na hao watu personal ni Historia ninayoiishi.

MOja ya Sababu kwanini waarabu na Swahili elites hawakuwa na conflict of interest ni kwamba waarabu walikua ni wakulima, pwani ya Africa Mashariki watu walikua hawalimi, ni uvuvi na biashara, waarabu walivyokuja wanaleta Karafuu, Nazi, mdalasini, Pilipili manga, miwa etc mazao ambayo yalistawi kwenye uoto wa pwani. Swahili elites wakawa bado Wana control pwani Yao kwa kukusanya Kodi and the likes win to win situation, Hadi alivyokuja mkoloni na kuwapokonya keki Yao ndio vita vikaanza.

Mpaka Leo waarabu si watu wa mjini, wengi humu hata basic concept ya kumtofautisha Mwarabu, mhindi, Mbulushi, Muajemi etc hawana ndio maana akikutana na watu weupe wengi mjini anajua automatic ni waarabu.
Samahani mkuu kusema umekunywa maji ya bendera ya Waasia, nilishasahau kwamba ulishasema wewe ni Mwarabu.
 
Samahani mkuu kusema umekunywa maji ya bendera ya Waasia, nilishasahau kwamba ukishasema wewe ni Mwarabu.
Maisha yangu yote Mimi ni data driven, siongei vitu bila ushahidi Historia yangu nimesoma na Historia ya Nchi nimesoma si Tu Darasani Bali vyanzo mbalimbali. Kama Una la kuchangia ama kuonesha ninachoongea sio sahihi karibu weka links na source mbalimbali, sababu kitu hukipendi haimaanishi hakikuwepo.
 
Sijui hata kama hio screenshot yako umeielewa, inaprove point yangu badala yako.

1. Inasema waingereza walileta mapanjabi na Sikh huku, ni Sawa sikatai, je hao ndio matajiri wetu? Hapana matajiri wetu si masingasinga ni waisilamu wa Shia toka Gujarati.

2. Si kila anetoka India ni mhindu, Elites wa India at that time walikua ni Mughal hao walikua ni waisilamu kama hufahamu, Aga Khan Alitoka Gujarati India kuja Tanzania, kabla ya kwenda India alikua na Asili ya Iran (Shah ni Wairan)

3. Hatuongelei middle class kama screenshot yako inavyoonesha Tunaongelea matajiri kina Mo, Zakaria, Rostam etc hawa wazazi wao walikuja kujenga reli? Kama walikuja kujenga reli toa ushahidi otherwise hujathibitisha chochote hapo kama nilivyoweka Mimi ushahidi wagujarati walikuja before muingereza weka na wewe wako.
Sikiliza kuanzia dakika ya 9
 
Bilionea Harbinder Singh Sethi wa IPLT na ESCROW alitokea wapi?
 
Naeza kupata maelezo zaidi ya hawa wa Gujarat?
Miaka hio India ndio walikamata Uchumi wa Dunia, walipishana wao na China, so walikua vizuri kwenye suala la mitaji.
1_AD_to_2003_AD_Historical_Trends_in_global_distribution_of_GDP_China_India_Western_Europe_USA...png

Hapo Gujarat wakati huo na Hadi Leo ndio moyo wa India, mabilionea 108 Kati ya 190 wa India ni wagujarati na wafanyabiashara wakubwa walitoka hapo kuna sehemu Inaitwa "Kutch" watu wa huko wakawa Nicknamed "Kutch moneybag". Hata wahindi wa Tanzania hao Ismailia wanaongea kihindi kwa lahaja ya "kachi" ambayo inatoka huko.

Hao jamaa walisambaa Dunia nzima kuanzia Indonesia na Malaysia Asia ya Mbali, Hadi kwa Waarabu Sehemu kama Dubai kwa kiwango kikubwa wamehusika wao kujenga, nenda UK na USA wamehusika kikubwa biashara za huko Hadi huku kwetu.

Huku kwetu kabla sultan hajakuja alipinduliwa kule Oman, akakimbilia India ya zamani ambapo alitegeneza "koneksheni nao" alivyorudi Oman na baadhi wakawa part ya Elites wa Oman, hata Alivyokuja Zanzibar alikuja nao, kama nilivyoweka huko juu waziri Mkuu wa Zanzibar alikua ni Mhindi aliitwa Sir Topan, Hawa jamaa ndio walikua financer wa miradi ya Sultan, wao walitoa hela na mipango, kuleta technology, Sera za nchi etc. wengi wasiojua hawa jamaa pia ndio heart ya Ukoloni wa muingereza walikua na hela na wao ndio walimuwezesha muingereza kutawala maeneo mengi.

So walipokua huku walijenga Znz, wakaja wakaijenga Dar Shule kama Jangwani, Tambaza, part ya muhimbili na nyumba ambazo Leo ni za NHC etc huwezi kamwe Eti uletwe na muingereza kujenga Reli then uporomoshe Maghorofa, Hospitali, Shule na miradi ambayo hata waingereza wenyewe wakoloni hawana uwezo wa kujenga.
 
Bilionea Harbinder Singh Sethi wa IPLT na ESCROW alitokea wapi?
Sio bilionea na Hana hadhi ya kukaa na hao juu,

Pia ni Mtanzania huyu? Si mwekezaji Tu kaja juzi juzi? Hii quote yake.

³I followed all the procedures….I did not come to Tanzania to make money….I want to help Tanzania to get enough electricity that is vital in economic development,² he told a section of journalists in Dar es Salaam.
 
Ila mkuu watu wa asili ya Asia mnatubamiza sana. Kuanzia ESCROW, Richmond, EPA, rada ya BAE mpaka Simba ni nyie tu😁
 
Sasa mbona aliichangia hadi CCM kwenye gala dinner Mlimani City?!
 
Siku ukiweza kutofautisha wageni na hao wa Asia ambao wapo kwetu miaka na miaka Akili itafunguka. Kuna utofauti mkubwa mno baina ya MO na MTU kama Sethi,
 
Sasa mbona aliichangia hadi CCM kwenye gala dinner Mlimani City?!
Huyo jamaa kila MTU anasema chake, Ukienda Kenya ni Mkenya, ukija Tanzania ni Mtanzania, sasa hivi South Africa anaitwa "Torch bearer wa Sikh wa south Africa", MTU gani Hana Historia ya ukweli hata moja? Ukimsoma kidogo Tu unaona ni mpiga dili Hana credibility za hawa tunaowazungumzia hapa.
 
Back
Top Bottom