mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
Kwa kutwaa uhuru serikali ya Julius ilipewa mamlaka ya kuitawala nchi kupitia chama kimoja cha TANU. Julius hakunyang'anya kitu waingereza, ila alileta hiyo sera ya ujamaa(distributism) baada ya kuona watanzania weusi wakileta fujo...Unakumbuka kama utaifishaji ulifanyika katika sera za ujamaa? Kama nchi ilivyopata uhuru 1961 serikali ilitwaa nn kutoka kwao na nn waliwaachia?. Mana mm ninavyoelewa uhuru uliwapokonya wazungu kila kitu lakini kuna baadh ya mali zilimilikiwa na wahindi ikiwemo mashamba, mashule ambayo yalichukuliwa kipindi cha sera ya ujamaa
Wahindi walikuwa middle class tu, hawakumiliki vikubwa.