Unadhani kwanini Tanzania hii, safu ya matajiri imetawaliwa na waajemi?

Unadhani kwanini Tanzania hii, safu ya matajiri imetawaliwa na waajemi?

Kihistoria unataka kufanan na mawazo ya huyu mtoa hoja?

Jibu ni historia, si uzembe.
Wakati wa ukoloni, sheria zilizuia Waafrika kupata mikopo, kumiliki biashara kubwa, na kushiriki katika biashara kuu — wakati Wahindi na Waarabu walipewa nafasi hiyo kwa miaka 75. Baadaye Ujamaa wa Nyerere uliharibu wafanyabiashara wachache wa Kiafrika waliokuwepo. Na ubinafsishaji wa miaka 1990 ulitoa viwanda vya serikali kwa bei nafuu — lakini ni nani aliyekuwa na pesa za kununua? Wahindi na Waarabu waliokuwa wamehifadhi mtaji wao.
Orodha hii si bahati mbaya. Ni matokeo ya mfumo uliojengwa kwa makusudi. Swali la kweli si “kwa nini hawako?” — bali “sisi tunaanza lini?”
Wahindi pia wengi walikuwa tayari wamekuwa trained na skills.

Wakoloni hawakutaka ku-train waafrika.

Wakoloni walichofanya ni kui-import wahindi kutoka Gujarat na kuwaleta Afrika Mashariki kujenga reli, na baada ya uhuru kuwatelekeza hapa na ndio maana mpaka leo wako hapa na wengine waliofukuzwa na Iddi Amin wakakimbilia Canada na Uingereza ila bado watu wapo huku.

Pia, Waafrika wengi shughuli zao za kiuchumi ni uvuvi, kilimo kidogo, ufugaji na siyo biashara kubwa za maduka na viwanda. Na hizi sekta za kilimo, ufugaji na uvuvi bado ni za kimasikini hasa baada ya vyama vya ushirika kugeuka kuwa vya kikabila na kujaa ufisadi.
 
What happened there? Maana wamejaa kwenye ngaz ya juu kabisa. Zama za laizez fare 1990s mpaka leo ni miaka 30 sasa. Sekta binafsi ikaanza kuwa na nguvu n vita ya private interest vs common one ikaanza kushika hatamu.

Swali je! Kwa nn hao watu wamibuka kinara kuliko watanzania asilia? Nini kilitokea na kinachoendelea mpaka leo?
Nilipata jibu la swali lako nilipopata fursa ya kutoka nje ya nchi na kusikia wengine wanavyoizungumzia TZ kwamba "Tanzania is a sleeping giant" Hii ilinifanya kubadili mtazamo kabisa namna ya kufikiri.
 
Kila mtu anataka kuwa CEO wa baishara yake, kuna ubays wowote zaidi ya kuanza moja kwa kila mwenye mgawo?.

Mana baba anakufa anaacha watoto saba. Kila mtoto katika wale saba ataacha watoto watatu yani 21 hapo over time. Watoto 21 wale wakiacha watoto wawili wawili kila mmoja 42. Generation ya 3 kwenda ya nne tu mradi ule hauna uwezo tena wa kuhimili purukushani kati ya mapato na matumizi ya wote
Hao hawana uwezo wa sio kuwa CEO hata kumiliki biashara yoyote hizo pesa hao watoto nawajua .

Watoto wa kibantu hawana nidhamu yoyote
 
Wahindi poa wengi walikuw ana skills.

Wakoloni hawakutakaku-train waafrika.

Wakoloni walichofanya ni kui-import waindi kutoka Gujaraj na kuwaleta Aftika Mashariki kujega reli, na ndio maana moaka leo.wako hapa na wenime waliofukuzwa na Iddi Amin wakakimbilia Canada na Uingereza ila bado watu wap huku.

Poa, Waafrika wengi shughuki.zao za kiuchumi ni uvuvi, kilimo kidogo, ufigaji na siyo biashara kubwa za maduka na viwanda, h. Na hizi sekta za kilimo, ufugaji na uvuvi bado ni za kimasikini hasa baada ya vyama vya ushirika kugeuka kuwa vya kikabila na kujaa ufisadi.
Mpaka Leo bado mnawalaumu wakoloni .

Wakati ktk hiyo picha Kuna watu kama MO kazaliwa mwaka 1975

Tujaribu kuangalia tunakwama wapi wabantu wakoloni wameondoka tangu 1961 ila bado tunalaumu wakoloni.
 
Watu wameanza kutengeneza pesa tangu enzi za Uhuru wewe unasema habari za kutengeneza pesa haraka? Hapo kwenye list unafikiri ni wangapi wameanza shughuli zao baada ya 1990?
Kuna Watanzania pia walianza kufanya biashara tangu enzi za uhuru mfano familia ya kina Mbowe ila hawajawa mabilionea top.
Pia hizo zote zinaweza kuwa sababu kwa pamoja, two things can be true at once
 
Kuna Watanzania pia walianza kufanya biashara tangu enzi za uhuru mfano familia ya kina Mbowe ila hawajawa mabilionea top.
Pia hizo zote zinaweza kuwa sababu kwa pamoja, two things can be true at once
Jibu langu lilikuwa kuhusu fedha za haraka haraka. Hao walioorodheshwa hapo ndio nikasema wameanza muda mrefu.
 
Kama Ile tarehe 23 mshahara mdogo ikitoka watu hawalali ndani je MTU kama huyu anaweza akawa tajiri achilia mbali kuwa financial freedom .

Ubongo wa binadamu Huwa unatabia ya kutafuta sababu nyepesi kuwa wahajemi wanaiba je wanaibaje ibaje je hao wanasiasa wanaoiba na kuwekeza kwa wahajemi mbona mwisho wao hatuoni utajiri ukisafiri kutoka generation Moja mpaka nyingine.
Kuna namna na haja ya kungalia pia mchango wa sera a mabadiliko ya kimazingira kwenye kuendlea kuwepo kwa utajiri huo?. Mana mm naamini kilichowatajirishwa watu miaka ya 2006 leo hakipo vilevile. Kwa kile kile watu wana struggle kusavaivu tu sio kupiga hatua kadhaa mbele
 
Matajiri ni Wanasiasa wabantu wenzenu ila tu wanawatumia hao kuficha utajiri wao. Haina maana hao ni masikini La Hasha...ila wameshikilia utajiri mwingi wa Viongozi weusi wezi, wasio wazalendo.
So is an elephant in the room? 😆
 
Asili yetu ya kiafrica ndo tatizo, wenzetu hao huwa wana tabia kwanza ya kurithishana mali,kutoka kizazi kimoja kwenda kingine bila migogoro ya kifamilia alafu huwa wanawapa au kusoma kuhusiana na biashara au kazi wanazotaka kufanya njoo kwetu kwanza Africa 😀mzazi ana mawe mtoto anaambiwa tafuta vyako mm nilipambana, umeona tofauti hiyo.
 
Nilipata jibu la swali lako nilipopata fursa ya kutoka nje ya nchi na kusikia wengine wanavyoizungumzia TZ kwamba "Tanzania is a sleeping giant" Hii ilinifanya kubadili mtazamo kabisa namna ya kufikiri.
Wengi wanaosema hovyo ni wahuni tu.

TZ siyo sleeping giant, ila nadhani haitaki kukurupuka.

Ukifika Afrika Kusini, Kenya ndio utajua kwanini ni sahihi TZ kuwa ilivyo
 
kuna issue ya Succession plan,mtoto anaandaliwa kuja kuendeleza biashara za familia,so anakua huku akiwa amejengwa kifikra tayari,hiyo ndio njia ya kutengeneza wealth generation wanayoitumia ''Waajemi''
Kwako mkuu icebreaker tunafunga mjadala kwamba hao watu wote wameendeleza utajiri wakikutana na mazingira sahihi kabisa ya wao kukua
 
Kuna namna na haja ya kungalia pia mchango wa sera a mabadiliko ya kimazingira kwenye kuendlea kuwepo kwa utajiri huo?. Mana mm naamini kilichowatajirishwa watu miaka ya 2006 leo hakipo vilevile. Kwa kile kile watu wana struggle kusavaivu tu sio kupiga hatua kadhaa mbele
Shortly wabantu na waajemi wamepishana mambo mengi sana kuanzia kufikiri na kuyaendea mambo.
 
Wahindi poa wengi walikuwa tarayari wamekuwa trained na skills.

Wakoloni hawakutakaku-train waafrika.

Wakoloni walichofanya ni kui-import wahindi kutoka Gujarat na kuwaleta Afrika Mashariki kujenga reli, na baada ya uhuru kuwatelekeza hapa na ndio maana mpaka leo wako hapa na wengine waliofukuzwa na Iddi Amin wakakimbilia Canada na Uingereza ila bado watu wapo huku.

Pia, Waafrika wengi shughuli zao za kiuchumi ni uvuvi, kilimo kidogo, ufugaji na siyo biashara kubwa za maduka na viwanda. Na hizi sekta za kilimo, ufugaji na uvuvi bado ni za kimasikini hasa baada ya vyama vya ushirika kugeuka kuwa vya kikabila na kujaa ufisadi.
Vyama vya ushirika si tokelo la Nyerere la idea za kijamaa? Alichoangalia sana pale ni majority ambao ni peasant na workers class. Enzi za ukoloni Wahindi walikuwa tabaka la pili wale, katika vyanzo vyako vya maarifa ilikuaje hawa watu wakadominate biashara na kutajirika nazo katika nyakat tofauti

Leo hii hata ukiangazia, vyama vya ushirika vinashindwa kuitetea bei ya mbele ya midle man. Mhindi anapanga bei anaondoka na mzigo kwa mkopo. Vyama vya ushirika vilisaidia nn zama hizo katika kumuinua mtu mweusi
 
Hao jamaa nasikia kwao huko wanapewa mtaji wachague nchi za Africa kuja kuuzalisha na kuuzidisha na wakishindwa wananyongwa kimya kimya na familia zao wenyewe

Ipo hivi familia ikishauza mafuta kwenye visima vya ukoo vyao, wanamchagua mmoja wao na wanampa pesa yote na kwa mkataba wa kifamilia yaani asiifanyie ujinga hiyo pesa na huwa anachagua nchi yeyote ya Africa kuja kuuzalisha hiyo pesa

Ikitokea kafilisika wanamdunga sumu anakufa alaf anazikwa na watu wachache tu, kama familia inamkataa hivi
 
Nilipata jibu la swali lako nilipopata fursa ya kutoka nje ya nchi na kusikia wengine wanavyoizungumzia TZ kwamba "Tanzania is a sleeping giant" Hii ilinifanya kubadili mtazamo kabisa namna ya kufikiri.
Tukumbuke layers mkuu, una hoja nzuri. Unaweza kuweka matazamio mapya ya mada hii.

Layers yani tanzania kama nchi, hapo utakuta rasilimali na uongoz na mengine mengi. Alafu kuna community class hapo utakuta by race, by ethnic, by regional nk. Na utakuta ngazi ya mtu na mtu.

Tanzania kama nchi, now tupo kwemye makundi ya watanzania kwa kigezo cha rangi zao. Hata kama nchi ina rasilimli na uongozi, sera mipango. Kwa nn leo hii maendeleo yake yametoa giant wa kihajemi ambao ni finacial muscled kuliko watu wa makundi mengine hasa wazawa? Na rasilimali zote tanzania zipo na kila mtu anaziona?
 
Wengi wanaosema hovyo ni wahuni tu.

TZ siyo sleeping giant, ila nadhani haitaki kukurupuka.

Ukifika Afrika Kusini, Kenya ndio utajua kwanini ni sahihi TZ kuwa ilivyo
Kenya matajri wakubwa wengi ni wazawa wenye asili ya kenya?
 
Back
Top Bottom