Pre GE2025 Unadhani kwanini vijana wengi wanasiasa, hususan wa CHADEMA, hukosa ujasiri kujitambulisha field kuliko kwenye mitandao ya kijamii?

Pre GE2025 Unadhani kwanini vijana wengi wanasiasa, hususan wa CHADEMA, hukosa ujasiri kujitambulisha field kuliko kwenye mitandao ya kijamii?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Je,
huwa wanajua na wanafahamu kabisa kwamba hawaaminiki, hawaelewekagi wala hawakubaliki mbele ya wananchi?

Nini kifanyike kuondoa unyonge huo wa wanachama wa chadema hasa wakiwa mitaani bila viongozi wao?

Na kipi hupelekea vijana hao kupata mihemko na makasiriko ya kiwango cha kurusha ngumi na kuishia kuporomosha matusi ikiwa una maoni au mtazamo tofauti na hoja wanazoibua?🐒

Mungu Ibariki Tanzania

Soma pia:
 
NONSENSE! Ni kwa nini wewe humu hujiiti jina lako kamili unalojulikana uraiani? Unaogopa nini?
 
NONSENSE! Ni kwa nini wewe humu hujiiti jina lako kamili unalojulikana uraiani? Unaogopa nini?
wapi hawanijui kwamba mimi ni Tlaatlaah gentleman?

vyuo vikuu vyote ndani na nje ya nchi navyofundisha wananijua hivyo, wadau wa JF wananijua hivyo, wanainchi na waTanzania wote wananijua hivyo.

kwanini vijana wa chadema haowaoni fahari kuhubiri agenda za chama chao field?
na kwanini hua na muhemko na kuporomosha matusi kiasi kile wakiwa challenged kidogo tu?

huwa ni bangi au?🐒
 
Hata Wao wenyewe siku ya uchaguzi huipigia kura CCM.wewe hata leo nenda shule yoyote ile waulize walimu kuwa Mwanachama wa CHADEMA anyooshe Mkono. Utashangaa kuona hakuna atakaye nyoosha mkono. Ila ukiuliza wanachama wa CCM utaona woote wamenyoosha mikono na kupiga vigelegele kwa wanawake,huku wanaume wakipiga mirunzi kwa furaha na tabasamu
 
Back
Top Bottom