yaani unaonyesha kabisa huo ni ushabiki maandazi lakini ukweli unauonahivi tanzania ya miaka ya 61 na ya sasa viko sawa? wakati wewe unaenda shule bila viatu ni sawa na watoto wako sasa wanaenda kwa school bus? msikufuru acheni huo ushabiki tumepiga hatua kubwa sana sema nchi gani ambayo imetuzidi kiasi cha kutisha east africaKama tulipata Uhuru 1961..mbona nchi masikini Sana au viongozi hawana akili๐๐๐๐
Nimekulia masaki na primary Obay hayo maisha nayaona kwenye documentary๐๐๐yaani unaonyesha kabisa huo ni ushabiki maandazi lakini ukweli unauonahivi tanzania ya miaka ya 61 na ya sasa viko sawa? wakati wewe unaenda shule bila viatu ni sawa na watoto wako sasa wanaenda kwa school bus? msikufuru acheni huo ushabiki tumepiga hatua kubwa sana sema nchi gani ambayo imetuzidi kiasi cha kutisha east africa
Na wanamsifu nyerere bila kujua angekua mbinafsii angeendelea na mishe zake tuuu,maana alikua na kazi na elimu nzuri tuuu.Punguza chuki mzee kwani Nyerere aliacha vipi kazi yake ya ualimu au nae alikuwa mwizi wa chaki?
Pia zinakuwa kwa makusudi pungufu, sasa kwa nakusudi kwa faida yake au kuelemisha wana JF.tatizo lako wewe dada nshomile unaletaga habari sensitive, lkn unapotea hata hutoi response ukiulizwa
sawa wewe ni familia bora kumbe tumeendelea vya kutosha kama unamaisha mazuri ya ostabay na hayo mengine ya kwenda shule bila viatu unayaona kwenye hadisi lakini sasa hayapo au yamepungua sana basi unakubaliana na mimi kuwa tuko mbali sana tumepiga hatua acha wivuNimekulia masaki na primary Obay hayo maisha nayaona kwenye documentary๐๐๐
Kwa hiyo hii kesi itapelekea mapinduzi ya kijeshiNdio maana mabeyo anashauri kesi ifutwe na haina tija ila wanampuuza sitashangaa Kama atachukua Nchi kabla ya 2025
Maana alitoa miezi 6 ya mabadiliko makubwa ila hakuna kitu Bora tuwe Kama Guinea tu.
Kula njama siyo? Mahakama ina kazi kubwa Sana kubaini kosa la kula njama kwenye pichaPia zinakuwa kwa makusudi pungufu, sasa kwa nakusudi kwa faida yake au kuelemisha wana JF.
Naambiwa nambiwa na mtuu wa ndani wa Mahakaani ya kuwa, kuna dairies, mawasiliano ya sauti ya simu, CCC TV camera recordings, stll pictures na etc.
Tupe utamu utusaidie na sio utunyime ufahamu ulio nao na kufanya mengine yatapo ongewa yaonekane kaamaa ya kutunga..
Uliza chifu wenu minido vipi kovidi zimebuma utajua nini maana ya magufuli legacylIN
Lini uliteuliwa kuwa msemaji/mropokaji wa wa-Tanzania? Semea nafsi yako. Isitoshe huyo shetani wako hakumbukwi kwa lolote la maana.
Nilikusoma mara tatu, na nikamwona rafiki yangu Erythro pale na yeye akishangilia uliyoandika hapa!Ili nalo litapita, ila MBOWE na wapinzani wengine waachane na siasa wafanye shughuli zingine ama warudi ccm.
Sioni anachokoswa ama anachotafuta mbowe katika maisha yake hadi ajivike UKUHANI wa Akina mussa kuwaokoa Wanaisrael kutoka kwa farao. Nchi hii si rafiki kwa mtu aliyeko nje ya Ccm.
Katiba ilikuwa rahisi kupatikana chini ya magufuli kuliko kiongozi yoyote tena katiba ya kweli siyo ya kinafiki ila ukiwa na saikoloji ndogo ni vigumu kunielewa magu alitambua sana ubovu wa hii katiba ila alitumia ubovu wake kama alivyosema nyerere kuwa akipatikana kiongozi mzuri hii katiba itamfaa ila akipatikana kiongozi fisadi watz tutajuta, ubaya wa magu unatokana na kukuta nchi imechafukwa kwa mafisadi wauza unga nk ndiyo maana tunamuona magufuli kuwa ni dictator ila angekuta nchi ipo kama wakati wa nyerere watu tungegundua kuwa magu alikuwa kiongozi mzuri sanaKweli kabisa, ila ujue insu ya Katiba ni jambo lenye ugumu karibu TAWALA zote isipokuwa Mkwere ustaarabu wa siasa Safi ulitaka kumponza akaanzisha mchakato wa Katiba mpya, wenye Chama Chao wakamuwaikwa kumuonya matokeo yake Warioba akapigwa makofi na mwijukuu wake.
Furthermore ccm wanahofia bure Katiba mpya, hata Katiba mpya ikiwepo bado wataendelea kuwepo madarakani tu.
Hali imebadilika mahakamani baada ya Kibatala kuomba Mashahidi wanne wasitajwe mahakamani kwa Usalama wao. Hali hii imepelekea Mawakili wa Jamhuri kuomba kesi iarishwe au la sivyo isikilizwe bila kuwepo watu mahakamani.
Je, Mashahidi hao ni waking Nani? Lakini kwa upande mwingine Jamhuri imetoa vielelezo ambapo vielelezo vyote vinatokana na kazi za awali za watuhumiwa wa Kwanza Hadi watatu na hukuna kilipuzi kwenye vielelezo hivyo. Vingi ya vielelezo ni sare za kaxi za Jeshi .
Wewe sababu yako hasa ya kumchukia Mbowe ni nini?SASA KAZI INAANZA MBOWE ANAKULA MIAKA MPAKA KIBATALA HATAKI MASHAHIDI WAJULIKANE NI KINA NANI? MBOWE KWISHA KAZI
hawawezi acha siasa labda ccm wajiunge na chademaIli nalo litapita, ila MBOWE na wapinzani wengine waachane na siasa wafanye shughuli zingine ama warudi ccm.
Sioni anachokoswa ama anachotafuta mbowe katika maisha yake hadi ajivike UKUHANI wa Akina mussa kuwaokoa Wanaisrael kutoka kwa farao. Nchi hii si rafiki kwa mtu aliyeko nje ya Ccm.
Pole sana mjane! Mumeo amekwisha oza limebaki fuvu!Tangu wampige vita magufuli hakuna mtanzania mwenye akili timamu anaweza kuwasikiliza chadema tena,ukizingatia watz wengi tuna mashaka na kifo cha magufuli kuwa siyo cha mapenzi ya mungu ila kuna mikono ya waharifu.kwa sasa chadema na viongozi wake wapo hatarini kuliko wakati wa magufuli wasipo jitambua kuwa uma wa watz haupo nyuma yao wataumizwa sana na kutoweshwa ,acha tucheki ili muvi la gaidi mbowe
Uhuru ambao mbunge wa jamhuri ya muungano anapigwa risasi,na watuhumiwa hawakamtwi!madai yake anatafuta uhuru wa tz yaani hata hajui kama nchi ilishaga pata uhuru toka mwaka 1961
Kama aliiba Benki kuu kwa nini hawakumchukulia hatua??!! Walimwogopa!?Hana uwezo huo- ukiacha ugaidi yeye ni mwizi pia. Muulize aliachaje kazi banki kuu ya Tanzania
Hilo la kushangilia kukamatwa kwa Sabaya ni shtaka jipya?Ulikuwa wapi wakati akishangilia?Gaidi alishangilia sana kukamatwa Sabaya.
Nimekulia masaki na primary Obay hayo maisha nayaona kwenye documentary๐๐๐
Kwamba chini ya utawala wa magufuli katiba mpya ilikuwa inawezekana? upo serous kweli?Katiba ilikuwa rahisi kupatikana chini ya magufuli kuliko kiongozi yoyote tena katiba ya kweli siyo ya kinafiki ila ukiwa na saikoloji ndogo ni vigumu kunielewa magu alitambua sana ubovu wa hii katiba ila alitumia ubovu wake kama alivyosema nyerere kuwa akipatikana kiongozi mzuri hii katiba itamfaa ila akipatikana kiongozi fisadi watz tutajuta, ubaya wa magu unatokana na kukuta nchi imechafukwa kwa mafisadi wauza unga nk ndiyo maana tunamuona magufuli kuwa ni dictator ila angekuta nchi ipo kama wakati wa nyerere watu tungegundua kuwa magu alikuwa kiongozi mzuri sana