Unadhani Mashahidi wanne ambao wameombwa kulindwa wasitajwe na Kibatala kesi ya Mbowe ni wakina nani?

Mabeyo alikuwa anakwambia hayo?
.
[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu Mabeyo si ndio mlikuwa manasema ni sukuma gang kwa kuwa ni mteuliwa wa jiwe?
Angekua sukuma gang asingezuia walafi wa madaraka wampindue mama.
 
Kenya imetuzidi mbali mno!
Najua utabisha kwa kuwa hampendagi takwimu. GDP yao na makusanyo yao ya kodi ni mara mbili ya Tanzania.
 
Si alishawataja kitambo kuwa ni pamoja na igp na sabaya!
 
Siasa ni AJIRA na BIASHARA kubwa. Imemtajirisha Mbowe, Ndesamburo, Heche, Msigwa,Lissu, Lema na kuwapa FURSA nyingi za bure bure.

Wakiacha siasa wewe utakuwa unawapa hizo MILIONI 300-400 kila mwezi bure bure??!
 
Fikiria Mwenyekiti wa Chama yupo Gerezani wafuasi wake wapo Mitandaoni wanashangilia magoli ya Ronaldo na Bruno

Hii Nchi CCM kutoka Madarakani ngumu sana!
 
Shida ni kwamba anaowapigania hamjielewi na wanafiq.
Nina amini kwa ukwasi alio nao mbowe na Family yake kwa ujmla hata kilo 1 ya sukari ingeliuzwa Laki 6 bado Ana uwezo wa ku- survive kwa miaka 50 bila kuteteleka kiuchumi.
Mwenyekiti wa Chama yupo Gerezani wafuasi wake wapo Mitandaoni wanashangilia magoli ya Ronaldo na Bruno

Hii Nchi CCM kutoka Madarakani ngumu sana!
 
Ndio maana mabeyo anashauri kesi ifutwe na haina tija ila wanampuuza sitashangaa Kama atachukua Nchi kabla ya 2025

Maana wakubwa ndani ya jeshi walitoa miezi 6 ya mabadiliko makubwa ila hakuna kitu Bora tuwe Kama Guinea tu.
Kwani anayem control mama Samia ni nani kwa sasa ?
 
Toa hoja za msingi.wakati wa mandela nchi yote ilikuwa against white people. Leo hii mkoloni ni mtu mweusi so tegemea kuwepo na pande mbili so kuacha eti kwasababu baadhi hawakusapoti ni upumbavu so long as unachopigania kina maslahi kwa umma.
 
Siasa ni AJIRA na BIASHARA kubwa. Imemtajirisha Mbowe, Ndesamburo, Heche, Msigwa,Lissu, Lema na kuwapa FURSA nyingi za bure bure.

Wakiacha siasa wewe utakuwa unawapa hizo MILIONI 300-400 kila mwezi bure bure??!
Siasa ni AJIRA na BIASHARA kubwa. Imemtajirisha Mbowe, Ndesamburo, Heche, Msigwa,Lissu, Lema na kuwapa FURSA nyingi za bure bure.

Wakiacha siasa wewe utakuwa unawapa hizo MILIONI 300-400 kila mwezi bure bure??!
😂😂Kwamba wametajirika kupitia siasa!!.
Ni kweli Lakin siasa kwao ni ziada tu katika ukwasi walionao hasa hasa familia ya mbowe.
Nb:, biashara ikiwa inalipa sawasawa ila mazingira sio supportive uwezi achana nayo na kufanya michongo mingine?.. Rut za kibiasharaza za mbowe Qatar Dubai etc ni kama anaenda ILALA.. AFANYE BIASHARA ZAKE AACHANE NA SIASA ZA BANANA COUNTRY
 
Toa hoja za msingi.wakati wa mandela nchi yote ilikuwa against white people. Leo hii mkoloni ni mtu mweusi so tegemea kuwepo na pande mbili so kuacha eti kwasababu baadhi hawakusapoti ni upumbavu so long as unachopigania kina maslahi kwa umma.
Ni nani aliwai pigania watu wasiomsapoti na akashinda?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…