Unadhani nani anafaa kumrithi Kassim Majaliwa endapo akiachia nafasi yake?

Wanajihisi kama vile wao ni wateule kutoka kwa Sir God lazima waongeze hii nchi,ila muarobaini wa hili tatizo ni KATIBA MPYA TUU
 
Huu ujinga CCM imeufuga
 
DR ASHA ROSE MIGIRO
 
Huu uhuru mnatuharibia nchi tu. Hao wote uliowataja hata kuwa mawaziri tu ni bahati. Huyo nchemba hapo alipo tu hatumtaki,ndio iwe mkuu?. Hapo ni Ndalichako tu anafaa kuwa waziri,lakini si waziri mkuu. Waziri mkuu iwe LUKUVI. Pia atupiwe Musa Asad kwenye uwaziri
 

Hapo kwenye list hakuna hata mmoja labda angalau hata lukuvi
 
Ndakichako? My foot
Ummy you are not serious
Ngwala? Awarushe mawaziri kichura
Mwigulu....uwaziri mdogo tu dogo ana petrol station na mabasi.
Uwaziri kidogo tu ana betting company.
Unajua Bei ya bus ? Au petrol steshen


PM NI MAKAMBA
 
Hon January makamba is the best
 
Watanzania kwa RAMLI CHONGANISHI mmebarikiwa Sana hivi hamna kazi za kufanya za Kuwapatia ubwabwa ?Majaliwa hajajiuzulu wala kuachiwa hiyo Nafasi ila Tayari mmeanza Uchawi wenu
 
hamna hata mmoja hapo .yaani ndalichako huo uwaziri wa elimu tu umemshinda
 
Kwa kugwa hakuna kitu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…