Unadhani nani anafaa kumrithi Kassim Majaliwa endapo akiachia nafasi yake?

Nafasi moja kati ya waziri mkuu inapaswa kufutwa kabisa, ni matumizi yasiyo ya lazima tu ya pesa za walipa kodi.
Tatizo la hii nchi waziri mkuu hana mamlaka kamili ya kuunda na kuendesha serikali, yupo kwenye kivuli cha rais.......katiba mpya ituletee waziri mkuu mwenye mamlaka kamili kiutendaji, siyo geresha.
 
UPM ni mdogo sana kwa Bashe! huyo vasco da gama wa kike mimacho mlegezo anatakiwa amkabithi kijana haraka sana! Bashe is a presidential material!
 
Bashe msomali awe waziri mkuu never hapna apewe ndejembi au mtaka

Naisi mtaaka atakujakuukwaa uwaziri mkuu mbeleni
 
HV hi kampuni ya intercom inamilikiwa na nani
 
Aachane na walamba asali ajikite kwa wale wa hayati JPM!, hizi akili za ushabiki wa watu binafsi badala ya kutazama uwezo na mchango wao.
 
Kwani Kasim anaenda wapi?

Mnataka kumrestisha in Peace?

MaCCM ni hatari sana.
 
Mtamharibia sasa. Siasa za Kiafrika ni changamoto sana. Ukifanya vizuri sisi wananchi wa kawaida tunakupenda, lakini wanasiasa wenzake watamchukia na kuanza kumfanyia fitina.
 
Kwahiyo Bashe anadhaminiwa na Taifa Gas😁

Wakati umefika sasa wa kumroga,ngoja niende kusini mitaa ya luangwa.
Wewe acha kutuchuria, huku kusini haturogani, mnarogana huko kwenu kaskazini, singida, rukwa, kigoma, nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…