Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Hongera kuwa sirias na uchungu wa watoto kuliko kuwa bize kusaka chapaa 24/7 na kuwaachia malezi ya Watoto housemaids wasio na uchungu hata chembe ya Mtoto/Watoto.Tangu niwe mama, nimekuwa na hisia sana juu ya huzuni za watoto(ata kama sio mtoto wangu) nikiona mtoto anafanyiwa vitendo vibaya nalia mno, mpka tumbo linabana. Uchungu nilio nao kwa watoto umevuka mipaka.
Hii ni kweli,Mtu mmoja aliniambia ukipata Mtoto/Watoto Maisha yako yanakuwa na Hofu mara kwa mara ukiwaza kama Ukifa mapema Maisha ya Wanao yatakuaje
Mada yako nzuri sana dadaWaswahili wanasema Mtu akipata Mtoto kuna namna hujikuta akibadilika na kugundua baadhi ya Mambo ambayo hapo awali hakuwahi kuyajua wala kuambiwa na waliomtangulia kwenye Malezi
Mtu mmoja aliniambia ukipata Mtoto/Watoto Maisha yako yanakuwa na Hofu mara kwa mara ukiwaza kama Ukifa mapema Maisha ya Wanao yatakuaje
Namna yako ya kufikiri mambo pia hubadilika na unajikuta Maamuzi mengi unayoyafanya lazima uwafikirie Watoto wako kwanza
Kwako ni jambo gani umeligundua baada ya Kupata Mtoto??
Wamama wa kiafrika mna fix sananalia mno, mpka tumbo linabana.
Uko sawa Mkuu?Hongera kuwa sirias na uchungu wa watoto kuliko kuwa bize kusaka chapaa 24/7 na kuwaachia malezi ya Watoto housemaids wasio na uchungu hata chembe ya Mtoto/Watoto.
Shukrani sanaMada yako nzuri sana dada
Serious?? Kwamba sisi tunaopambana kutafuta chapaa hatuko serious na watoto? Try to think twice, unavyomuachia housemaid mtoto doesn't mean humtaki ila your just out chasing what will make your child proudHongera kuwa sirias na uchungu wa watoto kuliko kuwa bize kusaka chapaa 24/7 na kuwaachia malezi ya Watoto housemaids wasio na uchungu hata chembe ya Mtoto/Watoto.
Nisijue kama mtoto ni yatima asiye na mama, hata kama baba yake yupo utanikuta nikimuona najikuta moyo unaniuma machozi nalia kama nimepigwa.Wamama wa kiafrika mna fix sana
Umemstukia ehUko sawa Mkuu?
🤣🤣🤣 Unaweza kukuta hata kuzaa kumbe sio uchunguWamama wa kiafrika mna fix sana
Inategemea, baadhi uchungu wa kawaida kama uchungu uliopata ulivyotahiriwa.🤣🤣🤣 Unaweza kukuta hata kuzaa kumbe sio uchungu