Unadhani ni kwanini ghafla tu wanachama wa chadema wamepoteza imani na viongozi wao wakuu hasa wa kitaifa?

Unadhani ni kwanini ghafla tu wanachama wa chadema wamepoteza imani na viongozi wao wakuu hasa wa kitaifa?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Kwasababu sote ni mashahidi, kwakua ni jambo linaloonekana wazi wazi kabisa kwa kila mdau wa jf, kwamba, kuna hali ya ghafla ya kutoaminika na kutokubalika kwa viongozi wa chadema taifa hivi sasa. Na kuna viongozi wa kitaifa ambao kutokana na matendo na mienendo yao isiyoeleweka ndani ya chama, basi mashaka na hofu dhidi yao kwa wanachadema yanaongezeka zaidi. Hawaheshimiwi tena, na wala hawapewi ushirikiano na viongozi wenzao, lakini pia na wanachama wao ndani ya chadema, kama ilivyokua awali.

Changamoto hasa inaweza kua ni nini my friends, ladies and gentlemen?

Je,
ni kwasababu ya tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi na rasilimali za chama kwa maslahi yao binafsi?

Au ni kwasababu hawana uwezo wa mipango na ubunifu wa kimaendeleo, na wameshindwa kabisa kutambua agenda mahususi, mbadala zenye maslahi mapana ya wananchi na zenye nguvu ya kuwaunganisha wananchi, na badala yake wamekua wakivizia matukio ya kisiasa kadiri yanavyojiri?

Je,
au ni baada ya wanachadema wengi waerevu, kuona chama chao chadema, ni kama vile kinatumika kama kituo cha vibaraka na viongozi wao wana tumika kama vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ambao wanazitamani rasilimali za taifa letu, na kwahivyo wanawatumia viongozi wa chadema kama vibaraka wao kwa lengo la kuvuruga amani, kuchochea ghasia ili hatimae vibaraka hao wapate madaraka baada ya kuvuruga amani, kusababisha, uharibifu na maafa?

Kwa maoni yako,
unadhani ni kwanini wanachama wa chadema wamepoteza imani na viongozi wao hasa wa kitaifa.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
ccm watakuwa wamemwaga Pesa huko hakuna namna au ccm umetoa ahadi ya vyeo Kwa baadhi ya watu kama walivyofanya awali maana hiyo ndio siasa yao Kwa sasa.
 
Kwa taarifa yenu ni kwamba hata nyie mnajuta kuanzisha hiyo propaganda maana ndiyo CDM wameitumia kama kete ya kuchangisha 334M yao na ndio hiyo inapaa kwa kasi ya kipunga...
 
Ebu usituchoshe... Sitisheni zuio la mikutano na maandamano. Mtapima na kupata majibu wenyewe; kama imani ipo ama laah!
Imani haipimwi kwa maoni!
Gentleman,
ukichoka unapumzika na kulala kabisa, kwasababu hutakua huna uwezo mzuri kwa lolote ispokua kukosea zaidi kueleza au kutenda jambo.

so,
just calm down na uache wenye bidii kusongambele :NoGodNo:
 
Jf muda mwingine takataka kama hizi mnazifutilia mbali. Uharo mtupu umeandika mkuu.
gentleman,
ikiwa wewe ni muerevu kweli,
kwanza huwezi kua na mihemko nonsense kama hiyo,

lakini pili,
muerevu daima hueleza mawazo yake mapya na kutoa fikra zake mbadala na pengine bora zaidi ya hoja mahususi mezani au komenti ya mdau mwingine jukwaani.

kujipiga kifua namna hiyo hali ya kua uko pointless, ni sawa na kujiexpose jinsi ulivyo empty head.

just relax na utoe maoni yako bila makasiriko useless jukwaani na itapendeza zaidi :NoGodNo:
 
Chadema inaongoza kwa engagement mitandaoni, iwe kwa ubaya au kwa uzuri

Iwe kupitia wanachama wa CCM kama mleta MADA au iwe kwa wanachama wa chadema wenyewe bado Iko juu kwenye Mitandao
 
Chadema inaongoza kwa engagement mitandaoni, iwe kwa ubaya au kwa uzuri

Iwe kupitia wanachama wa CCM kama mleta MADA au iwe kwa wanachama wa chadema wenyewe bado Iko juu kwenye Mitandao
hilo linaweza kua kweli kabisa gentleman,

but why ghafla viongozi wa ktaifa wa chadema hawaaminiki tena kwa wanachama wao kiasi kwamba hata kukusanya milioni 300 imekua mbinde mno?
changamoto inaweza kua ni nini hasa? :NoGodNo:
 
gentleman,
ikiwa wewe ni muerevu kweli,
kwanza huwezi kua na mihemko nonsense kama hiyo,

lakini pili,
muerevu daima hueleza mawazo yake mapya na kutoa fikra zake mbadala na pengine bora zaidi ya hoja mahususi mezani au komenti ya mdau mwingine jukwaani.

kujipiga kifua namna hiyo hali ya kua uko pointless, ni sawa na kujiexpose jinsi ulivyo empty head.

just relax na utoe maoni yako bila makasiriko useless jukwaani na itapendeza zaidi :NoGodNo:
Leta mada zenye mashiko, mada zako nyingi zimekaa kitoto sana mkuu. Badilika, kama ndio kula yako unaipata hivi. Una safari ndefu sana .
 
Leta mada zenye mashiko, mada zako nyingi zimekaa kitoto sana mkuu. Badilika, kama ndio kula yako unaipata hivi. Una safari ndefu sana .
Gentleman,
ikiwa wewe unazo hizo mada zenye mashiko,
be free na uziweke jukwaani wadau wasome, wajifunze, waongeze uelewa na ufahamu wao kuhusu hoja hizo.

na ikiwa mada imewekwa jukwaani na uko pointless,
huna haja ya makasiriko wala kujiexpose ulivyo empty head, pita kimya kimya bila kumbwelambwela na kujipiga kifua kwa majingambo useless jukwaani.

anyway,
back to the point,
kwanini ghafla wanachama wa chadema wamekosa imani na viongozi wao hasa wa kitaifa?

nini kimebadilika ghafla ndani ya chama hicho? :NoGodNo:
 
Imani ni nini?
 
Ndio nini umeandika mkuu?
si umeuliza wana chadema wamepoteza imani dhidi ya nini kwa viongozi wao wa kitaifa?

ndio nimekueleza hapo kwamba,
huenda hawana wanachama hao hawana imani tena ya kuongozwa na hao viongozi mafisadi na wanaotumia rasilimali za chama kwa manufaa ya familia zao :NoGodNo:
 
Kwasababu sote ni mashahidi, kwakua ni jambo linaloonekana wazi wazi kabisa kwa kila mdau wa jf, kwamba, kuna hali ya ghafla
unadhani ni kwanini wanachama wa chadema wamepoteza imani na viongozi wao hasa wa kitaifa.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Screenshot_20260415-144632~2.png
 
Back
Top Bottom