😅😅😆Huyu unaemjibu hapa unamuonea.
Hajui hata Katiba ya CCM.
hana uongoz wowote . Anakiongoza kichwa chake ambacho na chenyewe kinamshinda😊😊😊😊.
Kijana wa Idara
😅😅😆Huyu unaemjibu hapa unamuonea.
Hajui hata Katiba ya CCM.
hana uongoz wowote . Anakiongoza kichwa chake ambacho na chenyewe kinamshinda😊😊😊😊.
Kijana wa Idara
Hahahaha,hawatunii akili lzm wakose usingiziChadema inawanyima usingizi,hawalali
nadani ni muhimu zaidi kwa wanachama wa vyama vya siasa kote nchini, kuungana, kua sharp na kushirikiana kwa umoja zaidi kwenye mambo ya msingi,It's because chauma na tadea wanafanya vizuri, na wamekuwa vyama vya upinzani vya ukweli
It's very possible wafuasi wengi wa chadema wakaenda chadeata

jikite kwenye hoja ya msingi mezani gentleman ambayo ni jibu la kila aina ya swali kuhusu hoja hiyo.Majibu yako ni haya haya bro.
Hauna jipya. Uko JF kupata Uzoefu wa Kisiasa. Pengne itakujenga huko mbeleni.
Ila sio kwa kiwango ambacho inatakiwa.
Maana haujibu hoja kwa hoja.
Unakwepa maswali ambayo daima utaulizwa tena kesho na kesho kutwa.
Na kwakuwa umeamua kuyakwepa bas hautaweza kuyatetea.
Kijana wa Idara.

ikite kwenye hoja ya msingi mezani gentleman ambayo ni jibu la kila aina ya swali kuhusu hoja hiyo.jikite kwenye hoja ya msingi mezani gentleman ambayo ni jibu la kila aina ya swali kuhusu hoja hiyo.
Na ikiwa utaeleza porojo, upotoshaji au uzushi usiohusiana na hoja mahususi mezani,
nadhani utanisamehe kwasababu naweza kukosa muda ya kubabaika nazo, na ndio maana nashauri mihemko mingine muwe tu mnaiandikia uzi mahususi jukwaani kuliko kuileta ndani ya uzi usiohusika na mihemko hiyo.
nadhani itapendeza zaidi?
ama unaonaje hiyo gentleman?![]()
ok.ikite kwenye hoja ya msingi mezani gentleman ambayo ni jibu la kila aina ya swali kuhusu hoja hiyo.
Na ikiwa utaeleza porojo, upotoshaji au uzushi usiohusiana na hoja mahususi mezani,
nadhani utanisamehe kwasababu naweza kukosa muda ya kubabaika nazo, na ndio maana nashauri mihemko mingine muwe tu mnaiandikia uzi mahususi

Sawa mdada nimekuelewaGentleman,
mimi ni Chawa na Sina akili.![]()
Akili zao ni fupiHahahaha,hawatunii akili lzm wakose usingizi
Wajipange,Tena ngoja niwaokoteshe 10k ,limebaki humu Airtel moneyAkili zao ni fupi
nadani ni muhimu zaidi kwa wanachama wa vyama vya siasa kote nchini, kuungana, kua sharp na kushirikiana kwa umoja zaidi kwenye mambo ya msingi,
na sio kua sharp na kushirikiana zaidi kwenye mambo nonsense ya ghasia, uharibifu na pengine maafa![]()