Unadhani ni kwanini ghafla tu wanachama wa chadema wamepoteza imani na viongozi wao wakuu hasa wa kitaifa?

Unadhani ni kwanini ghafla tu wanachama wa chadema wamepoteza imani na viongozi wao wakuu hasa wa kitaifa?

si umeuliza wana chadema wamepoteza imani dhidi ya nini kwa viongozi wao wa kitaifa?

ndio nimekueleza hapo kwamba,
huenda hawana wanachama hao hawana imani tena ya kuongozwa na hao viongozi mafisadi na wanaotumia rasilimali za chama kwa manufaa ya familia zao :NoGodNo:
Screenshot_20260520-120655~2.png
 
Kwasababu sote ni mashahidi, kwakua ni jambo linaloonekana wazi wazi kabisa kwa kila mdau wa jf, kwamba, kuna hali ya ghafla ya kutoaminika
unadhani ni kwanini wanachama wa chadema wamepoteza imani na viongozi wao hasa wa kitaifa.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Tafuta mada nyingine,Hii nonsense and pointlessness!, Gentleman!
 
Kwasababu sote ni mashahidi, kwakua ni jambo linaloonekana wazi wazi kabisa kwa kila mdau wa jf, kwamba, kuna hali ya ghafla ya kutoaminika na kutokubalika kwa viongozi wa chadema taifa hivi sasa. Na kuna viongozi wa kitaifa ambao kutokana na matendo na mienendo yao isiyoeleweka ndani ya chama, basi mashaka na hofu dhidi yao kwa wanachadema yanawamepoteza imani na viongozi wao hasa wa kitaifa.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Bashe alichukua mabilioni akawapereka Dodoma kwenye mrsdi wa, kilimo BBT, leta mrejesho hapa, wale vijana wakawekwa kambi wakapewa ardhi, walime,tupe matokeo!
 
Bashe alichukua mabilioni akawapereka Dodoma kwenye mrsdi wa, kilimo BBT, leta mrejesho hapa, wale vijana wakawekwa kambi wakapewa ardhi, walime,tupe matokeo!
andikia uzi mahususi dhidi ya hiyo porojo yako bila kuhamisha mjadala mahususi mezani gentleman, na itapendeza zaid nadhani, right? :NoGodNo:
 
Kina Heche waruhusiwe kuitisha mikutano, wakikosa watu utakuwa sahihi.
 
ccm watakuwa wamemwaga Pesa huko hakuna namna au ccm umetoa ahadi ya vyeo Kwa baadhi ya watu kama walivyofanya awali maana hiyo ndio siasa yao Kwa sasa.
jikite kwenye hoja mahususi mezani mama naa, bila kujaribu kuhamisha mjadala kwa porojo useless jukwaani, okey? :NoGodNo:
 
Kwa taarifa yenu ni kwamba hata nyie mnajuta kuanzisha hiyo propaganda maana ndiyo CDM wameitumia kama kete ya kuchangisha 334M yao na ndio hiyo inapaa kwa kasi ya kipunga...
Gentleman,
huna haja ya kupanic wala kuweweseka dhidi ya hoja mahususi mezani na itapendeza zaidi.

nini kimefanya mkose imani na viongozi wenu wa chadema taifa?:1Head:
 
Bashe alichukua mabilioni akawapereka Dodoma kwenye mrsdi wa, kilimo BBT, leta mrejesho hapa, wale vijana wakawekwa kambi wakapewa ardhi, walime,tupe matokeo!
Na huu msimu wa mavuno,wamevuna kiasi Gani,alizeti,mahindi, maharage nk?
 
Chadema inawanyima usingizi,hawalali
Mom,
usingizi haujaribiwi:pedroP:

hatakama watu wanachadema wamekosa imani nao na wamegoma kuchangia milioni mia3,
but nadhani heche na wenzake usingizi wanapata bana:pedroP:
 
Kwani wanachama wa ccm wana imani na kiongozi wao mkuu????
Kwasababu sote ni mashahidi, kwakua ni jambo linaloonekana wazi wazi kabisa kwa kila mdau wa jf, kwamba, kuna hali ya ghafla ya kutoaminik
unadhani ni kwanini wanachama wa chadema wamepoteza imani na viongozi wao hasa wa kitaifa.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Kwani wanachama wa ccm wana imani na kiongozi wao mkuu????
Gentleman,
sasa hiyo si ungeiandikia uzi mahususi jukwaani, bila kukwepa hoja au kujaribu kuhamisha mjadala ulioko mezani? nadhani ingependeza zaidi :1Head:
 
Back
Top Bottom