Unadhani ni kwanini ghafla tu wanachama wa chadema wamepoteza imani na viongozi wao wakuu hasa wa kitaifa?

Unadhani ni kwanini ghafla tu wanachama wa chadema wamepoteza imani na viongozi wao wakuu hasa wa kitaifa?

It's because chauma na tadea wanafanya vizuri, na wamekuwa vyama vya upinzani vya ukweli

It's very possible wafuasi wengi wa chadema wakaenda chadeata
nadani ni muhimu zaidi kwa wanachama wa vyama vya siasa kote nchini, kuungana, kua sharp na kushirikiana kwa umoja zaidi kwenye mambo ya msingi,
na sio kua sharp na kushirikiana zaidi kwenye mambo nonsense ya ghasia, uharibifu na pengine maafa :NoGodNo:
 
Majibu yako ni haya haya bro.
Hauna jipya. Uko JF kupata Uzoefu wa Kisiasa. Pengne itakujenga huko mbeleni.
Ila sio kwa kiwango ambacho inatakiwa.

Maana haujibu hoja kwa hoja.
Unakwepa maswali ambayo daima utaulizwa tena kesho na kesho kutwa.
Na kwakuwa umeamua kuyakwepa bas hautaweza kuyatetea.

Kijana wa Idara.
jikite kwenye hoja ya msingi mezani gentleman ambayo ni jibu la kila aina ya swali kuhusu hoja hiyo.

Na ikiwa utaeleza porojo, upotoshaji au uzushi usiohusiana na hoja mahususi mezani,
nadhani utanisamehe kwasababu naweza kukosa muda ya kubabaika nazo, na ndio maana nashauri mihemko mingine muwe tu mnaiandikia uzi mahususi jukwaani kuliko kuileta ndani ya uzi usiohusika na mihemko hiyo.

nadhani itapendeza zaidi?
ama unaonaje hiyo gentleman? :pedroP:
 
ikite kwenye hoja ya msingi mezani gentleman ambayo ni jibu la kila aina ya swali kuhusu hoja hiyo.

Na ikiwa utaeleza porojo, upotoshaji au uzushi usiohusiana na hoja mahususi mezani,
nadhani utanisamehe kwasababu naweza kukosa muda ya kubabaika nazo, na ndio maana nashauri mihemko mingine muwe tu mnaiandikia uzi mahususi
 
ok. :1Head:
 
nadani ni muhimu zaidi kwa wanachama wa vyama vya siasa kote nchini, kuungana, kua sharp na kushirikiana kwa umoja zaidi kwenye mambo ya msingi,
na sio kua sharp na kushirikiana zaidi kwenye mambo nonsense ya ghasia, uharibifu na pengine maafa :NoGodNo:

Watu wengi ambao wanataka kufanya ghasia sio wanasiasa

Ni watu ambao wanajua haki yao, wanajua inchi yao na wanajua siasa haiwapeleki popote kwenye mafanikio

Wanaumizwa kuona watawala wanatumia mamilioni kwenye mambo ambayo sio ya msingi wakati mambo ya msingi yakifika wanaomba michango kwa wadau
 
We shogavunawashwa sana ila sisi hatutumii hayo mauchafu yako nenda kwa waarabu wa dp world wakakukune huko nyuma
 
UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI
 
Kwako moto unawaka badala uuzime unakimbilia kuzima moto nyumba ya jirani.

Hapo tu ccm hamna Imani na bi msumi ila basi tu hamna la kufanya

Achana na mambo ya CHADEMA waachie wanachadema wewe base na hicho chama chako chakavu kilichoishiwa sera
 
Back
Top Bottom