Unadhani ni kwanini Godbless Lema na wanaomuunga mkono tundu lisu wana hali ya kuchanganyikiwa na kuweweseka kuelekea uchaguzi wa chadema jan.21.2025?

Tatizo la Lema anazengea nafasi deputy secretary or Secretary General.

Mbowe hawezi kumpatia mhuni Lema kwasababu atazalisha migogoro HQ Mikocheni.

Mtu anayeweza kuishi na Lema kwa amani ni Mke wake na Watoto wake only.
 
Huyu Lema kasoma na mwalimu wangu wa risk management na cooperate finance Yani hawa jamaa ni Shari juu ya shari
Tatizo la Lema anazengea nafasi deputy secretary or Secretary General.

Mbowe hawezi kumpatia mhuni Lema kwasababu atazalisha migogoro HQ Mikocheni.

Mtu anayeweza kuishi na Lema kwa amani ni Mke wake na Watoto wake only.
 
"Nendene Mkalegezane wenyewe kwa wenyewe wakubwa kwa wakubwa ". Unajua hii kauli ilitoka kwa Nani ?
Kipindi Cha sekeseke kuwa mtu yule atoke wazi kuiemea ushoga.
 
Kwa kuwa Tlaaatlaah amesema hivyo.
 
Lema amechagua kumnadi Lissu. Na wewe mpigie debe Mbowe na kumpamba utakavyo kama anavyofanya humu. Na mwisho mkapige kura. Ila hutaruhusiwa kuingia ukumbini mamluki mwenye kadi ya CCM kama mimi haturuhusiwi.
 
ni makosa makubwa kibaraka amefanya kumfront lema kama msemaji wake
 
ni makosa makubwa kibaraka amefanya kumfront lema kama msemaji wake
Kibaraka ni yeyote. Wewe pia ni kibaraka wa mkubwa fulani, ndiyo sababu uko tayari kushinda JF kufa na kupona kuanzisha nyimbo, sifa, mapambio na kububujikwa na machozi. Yeye hajawahi kusifu, kushabikia na kumwabudu huyo mzungu. Lete ushahidi.
 
relax gentleman,
nadhani lema anapuuzwa kwasabab ya hisoria ya ujambazi wa malori, lisu kwasababu ya kuropoka na heche kwasababu ya kubeti sana
 
relax gentleman,
nadhani lema anapuuzwa kwasabab ya hisoria ya ujambazi wa malori, lisu kwasababu ya kuropoka na heche kwasababu ya kubeti sana
Hata wewe watu wanajua mpaka nyumba na mtaa wako unaoishi na madhaifu yako yote. Ila sifa chafu unazompa Lissu ni za kisiasa na sio tabia yake. Anaposema hajalipwa stahiki zake za ubunge, unasema anaropoka. Anaposema kuna watu wanagawa rushwa kwenye uchaguzi, unadai anaropoka. Mkweli kupitiliza ni hatari hata kwa maisha yake mwenyewe.
 
Yani wewe mwana ccm ndio unahangaika na lissu dah.
 
Tarehe 21 January 2025, siyo mbali
 
Kila dakika unakuja na uharo tu.
Kweli pesa za Abdul zinawehusha watu
 
Nakuheshimu gentleman 😊
Naitunza heshima YANGU Kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…