PD_Magumba
JF-Expert Member
- Apr 2, 2021
- 722
- 2,225
Ila walifika robo fainali..Ndugu zangu hivi nini kimepelekea viongozi wa SIMBA kuchanganyikiwa baada tu ya Dar Young Africans SC kuingia quarter final ya CAFCL 2024...
Ni kweli. Sasa kwa nini wamepagawa sana baada tu ya YANGA kufuzu?Ila walifika robo fainali..
Sasa kwa nini msemaji wenu aishi kuitamka YANGA kwenye mambo ya SIMBA?Nani kasema tumeumia? Punguzeni kujishuku, Simba sio Mgeni WA Kufika robo fainali. HAKUNA jipya, unless labda mseme ndio Ile methali "maskini akipata......."
Wamepagawa sana. Hawa tuwaombee wafuzu na pia tukutane nao robo tuwapige tano tenaKufanya vizuri kwa Yanga kwenye kombe la shirikisho halikuwapa somo bali wao waliamini kuwa Yanga ni timu ya kawaida ila timu zilizo shirikisho ni mbovu ndio maana Yanga katamba....
Aliyefuzu robo fainali zaidi ya mara 4 ataumiaje kwa sababu mwingine amefuzu kwa mara ya 1?kweli huko wenye akili ni wawili tuNdugu zangu hivi nini kimepelekea viongozi wa SIMBA kuchanganyikiwa baada tu ya Dar Young Africans SC kuingia quarter final ya CAFCL 2024...
Mkuu heshima yako. Sasa kwa nini wakati huu SIMBA wanaropoka tu.Aliyefuzu robo fainali zaidi ya mara 4 ataumiaje kwa sababu mwingine amefuzu kwa mara ya 1?kweli huko wenye akili ni wawili tu
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Mkuu hata wewe umeumia? Acheni hizo.Mshamshukuru Mo lakini..?
Kabla ya Yote hapo mlipofika kwanza kbs Muanze na Shukurani Kwa Mo..!
Afu ndo mpige hicho kiswali chetu cha nani Kaumia nyie kufika hapo
Kumbe!!UTOTO WA SIMBA NA YANGA.
ASANTE MUNGU KWA KUNIPA AKILI YA KUJIEPUSHA NA HAYA.
Hapa tulimshukuru nani?Mshamshukuru Mo lakini..?
Kabla ya Yote hapo mlipofika kwanza kbs Muanze na Shukurani Kwa Mo..!
Afu ndo mpige hicho kiswali chetu cha nani Kaumia nyie kufika hapo
Mbona Utopolo hamna Fadhila kiasi hiki...?Hapa tulimshukuru nani?