Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Mpwa ni sawa tu Na CCM wanavyoitaja CHADEMA kwenye mambo yao, haya mambo hayana formulaSasa kwa nini msemaji wenu aishi kuitamka YANGA kwenye mambo ya SIMBA?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpwa ni sawa tu Na CCM wanavyoitaja CHADEMA kwenye mambo yao, haya mambo hayana formulaSasa kwa nini msemaji wenu aishi kuitamka YANGA kwenye mambo ya SIMBA?
AahaaaaaKufanya vizuri kwa Yanga kwenye kombe la shirikisho halikuwapa somo bali wao waliamini kuwa Yanga ni timu ya kawaida ila timu zilizo shirikisho ni mbovu ndio maana Yanga katamba.
Hivyo faraja yao ilikuwa huku klabu bingwa, walitegemea kuwa Yanga asingefika popote pale. Ile Yanga kufungwa goli tatu wakafurahi sana na maneno ya kejeli kuwa huku ni kwa wababe hakuna Marumo huku.
Sasa Yanga amefuzu kabla hata ya wao midomo fc na mbaya zaidi timu zote zilikuwa kwenye kombe la shirikisho ndio zimetangulia kufuzu ila yeye midomo fc wanasubiri kujua hatma yao jumamosi
Robo fainal ya Caf Champions League ndiko kichaka pekee kilichokuwa kimebaki kama silaha yao ya mwisho ya kuwatambia utopolo.
Sasa ni kama wamejawa na hofu kuwa huwenda Yanga anaweza kwenda step zaidi ya iyo robo fainal ambayo wamekuwa wakitamba nayo.
Nadhani hii ndio sababu ya kupagawa kwao
Jibu gani hilo wewe!!! Kwanini mumepanic?
Washamba kwa sababu watu mpaka wanazimia na kupiga kelele sana as if kufika robo fainali ni issue kubwa sana.Mkuu heshima yako. Sasa kwa nini wakati huu SIMBA wanaropoka tu.
Unachukuriaje kauli ya Ahmed kwamba wamefuzu washambashamba? Kumbuka hii ni general kwa waliokwisha fuzu (Ahly, Mamelodi, Mazembe, YANGA na ASEC) je hii ni sawa?
Ni issue mkuu kwa sababu bila hivyo huwezi fika final na pengine kuchukua kikombe.Washamba kwa sababu watu mpaka wanazimia na kupiga kelele sana as if kufika robo fainali ni issue kubwa sana.
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Nani kakudanganya Yanga anafuzu mara ya kwanza???Aliyefuzu robo fainali zaidi ya mara 4 ataumiaje kwa sababu mwingine amefuzu kwa mara ya 1?kweli huko wenye akili ni wawili tu
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Kati ya Yanga na Simba nani kakusanya point nyingi CAF kwa muda mfupi ili tupime mafanikio??Mbumbu Fc kwahyo kila anayeshiriki ligi ya Mabigwa lazima awe bigwa wa ligi yake hujiulizi kwanin wew ulikua Bigwa wa ligi kuu msimu uliopita lakini hakucheza CAF champions leauge Na Simba alishika Nafasi ya pili alifanikiwa kucheza unaweza ukawa bigwa na Bado ukatolewa kwenye qualification match Mbumbu FC
Unauhakika msimu uliopita 22/23 YANGA hakucheza CAFCC?Mbumbu Fc kwahyo kila anayeshiriki ligi ya Mabigwa lazima awe bigwa wa ligi yake hujiulizi kwanin wew ulikua Bigwa wa ligi kuu msimu uliopita lakini hakucheza CAF champions leauge Na Simba alishika Nafasi ya pili alifanikiwa kucheza unaweza ukawa bigwa na Bado ukatolewa kwenye qualification match Mbumbu FC
ligi ya mabigwa ulicheza mechi za mtoano hukucheza mechi za makundi usichanganye kati ya CAF champions leauge na CAF conideration zuzu wewUnauhakika msimu uliopita 22/23 YANGA hakucheza CAFCC?
Mbona mmepanic sana
Kwa hiyo una maanisha zile mechi za preliminary round za CAFCL hazihesabiki kua team imeshiriki CAFCL?ligi ya mabigwa ulicheza mechi za mtoano hukucheza mechi za makundi usichanganye kati ya CAF champions leauge na CAF conideration zuzu wew
Ukitaka kujua kama wameumia tafuta uzi ule wa upangwaji wa makundi na ile mechi tuliyo cheza ugenini na CRB,kwa kifupi hawaku tegemea na hawaamini na Yanga bado kama ikitokea akapangwa na Asec watamkuta yupo nusu fainali.Ndugu zangu hivi nini kimepelekea viongozi wa SIMBA kuchanganyikiwa baada tu ya Dar Young Africans SC kuingia quarter final ya CAFCL 2024.
Musemaji wao anaropoka.
Page zao zinaropoka tu.
Siamini kama SIMBA haina watu professional wa mpira.
Au SIMBA anaogopa kwamba hata kama atafuzu basi atakutana na YANGA na atapigwa 5G tena?
Kwanza wapo kwenye haya mashindano kwa huruma tu za kanuni za CAF, hii ni kwa sababu wanashiriki michuano ya mabingwa Africa wakati wao sio mabingwa wa msimu uliopita.
Mwenye kujua tatizo lao aseme jamani
kule ni kushiriki au ni kusindikiza watu aya twambie toka umeaza kushiriki mechi za preliminary round umevuna point Ngapi mwezetu na timu lakoKwa hiyo una maanisha zile mechi za preliminary round za CAFCL hazihesabiki kua team imeshiriki CAFCL?
Ukute na wewe kuna watu wanaamini umehitimu darasa la saba A!!?[emoji16]
Mtani wewe hatari sanaMbona kawaida tu watu wengi hatupendi kupitwa mafanikio na rafiki,ndugu,jirani hata adui yetu au kuwa level sawa
Kwahiyo mkuu suala la simba kuumizwa na mafanikio ya yanga siyo jambo la ajabu ni freshi tu,
Hata mim mwenyew naumia sana kuona yanga anaanza kufikia record alizoziweka simba na kwa kanuni hiyo sipendi pia kuona majirani wanafanikiwa sasa sijui ni roho mbaya au vipi..
kwanin wew ulikua Bigwa wa ligi kuu msimu uliopita lakini hakucheza CAF champions leauge Na Simba alishika Nafasi ya pili alifanikiwa kucheza
kule ni kushiriki au ni kusindikiza watu aya twambie toka umeaza kushiriki mechi za preliminary round umevuna point Ngapi mwezetu na timu lako
Ashasahau kuwa point alizovuna yeye toka 2018 sisi tumevuna ndani ya misimu miwili.
Hapa ulisema YANGA hakushiriki CAFCL
Hapa unasema tulishiriki.
Mkuu mbona unatuangusha la 7A?
Mumeumia mpaka hamjiwezi