Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lini tena kaandika Pumba!!Jamaa yangu unaandikaga pumba sana sjui kwanini?hivi kwanini lkn?
Hapa lazima wapige kimya!!Simba lazima waumie kwasababu walikua wanasema kua Yanga hawezi kutoboa CAFCL kwasababu kule hakuna Malumo gallants wala Rivers united.
Ila cha Kushangaza Yule Asec ambaye mwaka jana alitoka hatua ya robo fainali CAFCC ndiye ameongoza kundi lao ambaye yupo yeye na shoga yake Wydad.
Ndio maana Manara alisemga hamna AKILI, pumbav.Ndugu zangu hivi nini kimepelekea viongozi wa SIMBA kuchanganyikiwa baada tu ya Dar Young Africans SC kuingia quarter final ya CAFCL 2024.
Musemaji wao anaropoka.
Page zao zinaropoka tu.
Siamini kama SIMBA haina watu professional wa mpira.
Au SIMBA anaogopa kwamba hata kama atafuzu basi atakutana na YANGA na atapigwa 5G tena?
Kwanza wapo kwenye haya mashindano kwa huruma tu za kanuni za CAF, hii ni kwa sababu wanashiriki michuano ya mabingwa Africa wakati wao sio mabingwa wa msimu uliopita.
Mwenye kujua tatizo lao aseme jamani
Yanga ndiyo wameumia sana Simba kuingia robo fainali hadi mwanachama kazimia uwanjani, hapo anasindikizwa na gongowazi wenzakeNdugu zangu hivi nini kimepelekea viongozi wa SIMBA kuchanganyikiwa baada tu ya Dar Young Africans SC kuingia quarter final ya CAFCL 2024.
Musemaji wao anaropoka.
Page zao zinaropoka tu.
Siamini kama SIMBA haina watu professional wa mpira.
Au SIMBA anaogopa kwamba hata kama atafuzu basi atakutana na YANGA na atapigwa 5G tena?
Kwanza wapo kwenye haya mashindano kwa huruma tu za kanuni za CAF, hii ni kwa sababu wanashiriki michuano ya mabingwa Africa wakati wao sio mabingwa wa msimu uliopita.
Mwenye kujua tatizo lao aseme jamani
Yanga ndiyo wameumia sana Simba kufuzu kucheza robo fainali hadi washabiki wao kuzimia baada ya Simba kuwasulubu wale wageni wao pendwa walio wakirimu na kuwapa mbinu za kuifunga Simba. Hapa shabiki wa yanga akisindikizwa na gongowazi wenzakeNdugu zangu hivi nini kimepelekea viongozi wa SIMBA kuchanganyikiwa baada tu ya Dar Young Africans SC kuingia quarter final ya CAFCL 2024.
Musemaji wao anaropoka.
Page zao zinaropoka tu.
Siamini kama SIMBA haina watu professional wa mpira.
Au SIMBA anaogopa kwamba hata kama atafuzu basi atakutana na YANGA na atapigwa 5G tena?
Kwanza wapo kwenye haya mashindano kwa huruma tu za kanuni za CAF, hii ni kwa sababu wanashiriki michuano ya mabingwa Africa wakati wao sio mabingwa wa msimu uliopita.
Mwenye kujua tatizo lao aseme jamani
Dah!! Umetisha sana.Ndio maana Manara alisemga hamna AKILI, pumbav.