Unadhani ni kwanini kufuzu kwa Yanga SC kumewaumiza sana SIMBA SC kiasi kwamba wanaropoka kila mara kupitia vyombo vya habari

Aahaaaaa

Imewauma sana
 
Hapo lazima waumie aisee
 
Mkuu heshima yako. Sasa kwa nini wakati huu SIMBA wanaropoka tu.

Unachukuriaje kauli ya Ahmed kwamba wamefuzu washambashamba? Kumbuka hii ni general kwa waliokwisha fuzu (Ahly, Mamelodi, Mazembe, YANGA na ASEC) je hii ni sawa?
Washamba kwa sababu watu mpaka wanazimia na kupiga kelele sana as if kufika robo fainali ni issue kubwa sana.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Washamba kwa sababu watu mpaka wanazimia na kupiga kelele sana as if kufika robo fainali ni issue kubwa sana.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Ni issue mkuu kwa sababu bila hivyo huwezi fika final na pengine kuchukua kikombe.
passioner255 wewe si wakucheka masaibu ya maradhi ya mtu. Unanishangaza mkuu

Yanga tunatamani tufike final na kuchukua kombe
 
Mbumbu Fc kwahyo kila anayeshiriki ligi ya Mabigwa lazima awe bigwa wa ligi yake hujiulizi kwanin wew ulikua Bigwa wa ligi kuu msimu uliopita lakini hakucheza CAF champions leauge Na Simba alishika Nafasi ya pili alifanikiwa kucheza unaweza ukawa bigwa na Bado ukatolewa kwenye qualification match Mbumbu FC
 
Kati ya Yanga na Simba nani kakusanya point nyingi CAF kwa muda mfupi ili tupime mafanikio??
 
Unauhakika msimu uliopita 22/23 YANGA hakucheza CAFCC?
Mbona mmepanic sana
 
Mbona kawaida tu watu wengi hatupendi kupitwa mafanikio na rafiki,ndugu,jirani hata adui yetu au kuwa level sawa
Kwahiyo mkuu suala la simba kuumizwa na mafanikio ya yanga siyo jambo la ajabu ni freshi tu,
Hata mim mwenyew naumia sana kuona yanga anaanza kufikia record alizoziweka simba na kwa kanuni hiyo sipendi pia kuona majirani wanafanikiwa sasa sijui ni roho mbaya au vipi..
 
ligi ya mabigwa ulicheza mechi za mtoano hukucheza mechi za makundi usichanganye kati ya CAF champions leauge na CAF conideration zuzu wew
Kwa hiyo una maanisha zile mechi za preliminary round za CAFCL hazihesabiki kua team imeshiriki CAFCL?
Ukute na wewe kuna watu wanaamini umehitimu darasa la saba A!!?😁
 
Ukitaka kujua kama wameumia tafuta uzi ule wa upangwaji wa makundi na ile mechi tuliyo cheza ugenini na CRB,kwa kifupi hawaku tegemea na hawaamini na Yanga bado kama ikitokea akapangwa na Asec watamkuta yupo nusu fainali.
 
Kwa hiyo una maanisha zile mechi za preliminary round za CAFCL hazihesabiki kua team imeshiriki CAFCL?
Ukute na wewe kuna watu wanaamini umehitimu darasa la saba A!!?[emoji16]
kule ni kushiriki au ni kusindikiza watu aya twambie toka umeaza kushiriki mechi za preliminary round umevuna point Ngapi mwezetu na timu lako
 
Mtani wewe hatari sana
 
kwanin wew ulikua Bigwa wa ligi kuu msimu uliopita lakini hakucheza CAF champions leauge Na Simba alishika Nafasi ya pili alifanikiwa kucheza

Hapa ulisema YANGA hakushiriki CAFCL
kule ni kushiriki au ni kusindikiza watu aya twambie toka umeaza kushiriki mechi za preliminary round umevuna point Ngapi mwezetu na timu lako

Hapa unasema tulishiriki.
Mkuu mbona unatuangusha la 7A?

Mumeumia mpaka hamjiwezi
 

Hapa ulisema YANGA hakushiriki CAFCL

Hapa unasema tulishiriki.
Mkuu mbona unatuangusha la 7A?

Mumeumia mpaka hamjiwezi
Ashasahau kuwa point alizovuna yeye toka 2018 sisi tumevuna ndani ya misimu miwili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…