Unadhani ni kwanini kujiondoa CCM na kujiunga upinzani ni hasara na mwanzo kujimaliza mwenyewe kisiasa?

Unadhani ni kwanini kujiondoa CCM na kujiunga upinzani ni hasara na mwanzo kujimaliza mwenyewe kisiasa?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Ni sababu zipi hasa, hufanya mwanasiasa anaetoka upinzani na kujiunga CCM kufaidika, kushamiri na kuneemeka kisiasa, kijamii na kiuchumi, tofauti na mwanasiasa anaetoka CCM na kujiunga upinzani ambao daima hudumaa zaidi kisiasa, kijamii na kiuchumi?

Unadhani kuna muujiza gani wa hali hizo za kisayansi miongoni mwa wanasiasa wanao tangatanga miongoni mwa vyama vya siasa mbalimbali, licha ya kua ni uhuru na haki ya kila mTanzania kuamua kufanya siasa kadiri apendevyo, lakini kwa kuzingatia sheria?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Ni sababu zipi hasa, hufanya mwanasiasa anaetoka upinzani na kujiunga CCM kufaidika, kushamiri na kuneemeka kisiasa, kijamii na kiuchumi, tofauti na mwanasiasa anaetoka CCM na kujiunga upinzani ambao daima hudumaa zaidi kisiasa, kijamii na kiuchumi?

Unadhani kuna muujiza gani wa hali hizo za kisayansi miongoni mwa wanasiasa wa kutangatanga miongoni mwa vyama vya siasa, licha ya kua ni uhuru na haki ya kila mTanzania kuamua kufanya siasa kadiri apendevyo, lakini kwa kuzingatia sheria?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
kwa sababu CCM mnatumia mabvu na kulipwa visasi kwa mgongo wa mitutu ndiyo maana watu wnaaogopa
 
Back
Top Bottom