Ni sababu zipi hasa, hufanya mwanasiasa anaetoka upinzani na kujiunga CCM kufaidika, kushamiri na kuneemeka kisiasa, kijamii na kiuchumi, tofauti na mwanasiasa anaetoka CCM na kujiunga upinzani ambao daima hudumaa zaidi kisiasa, kijamii na kiuchumi?
Unadhani kuna muujiza gani wa hali hizo za kisayansi miongoni mwa wanasiasa wa kutangatanga miongoni mwa vyama vya siasa, licha ya kua ni uhuru na haki ya kila mTanzania kuamua kufanya siasa kadiri apendevyo, lakini kwa kuzingatia sheria?π
Mungu Ibariki Tanzania