Sote ni mashahidi kwamba
makundi mballimbali ya kizalendo nchini yanaibuka na kuunga mkono azma na dhamira njema ya Dr Samia Suluhu Hassan kugombea uraisi wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025 na kuendelea kuongoza nchi yetu kwa weledi zaidi.
Ni lini sasa,
makundi mbalimbali ya kijamii kama vile wenye mihemko, vibaka waporomosha mitusi, matapeli pesa wa kisiasa, waropokaji waliopoteza uelekeo na agenda n.k, ni lini watajitokeza walau kuishauri chadema au kuzuia na kushawishi wanachama zaidi wa chadema wasijiengue kwenye chama chao kinachoyumba na kujiunga kwenye vyama vingine vya siasa nchini?
Maana anae piga mayowe na bwekabweka kwasasa amebaki heche pekeyake hadi huruma π
Mungu Ibariki Tanzania
kwa mfano ya waropokaji wa chadema au wenye mihemko na waporomosha matusi n.kπMakundi yapi tena??,huyo mkleri mliempiga na kitu butu aligoma kujiunga na nyie??..ration ya Makundi Kama wasanii na waandishi machawa tunajua namna fweza zinavopenya
Matamanio yako na wanaccm wenzako yameshakwama. Kosa kubwa mlilofanya ccm ni kuicha cdm imee mioyoni mwa watanzania wengi hasa vijana. Kwa sasa mtahonga sana, mtawaumiza cdm sana, na hao viongozi wenye tamaa ya madaraka mtawarubuni lakini cdm haifi. Yaani mnapaka upepo rangi.Sote ni mashahidi kwamba
makundi mballimbali ya kizalendo nchini yanaibuka na kuunga mkono azma na dhamira njema ya Dr Samia Suluhu Hassan kugombea uraisi wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025 na kuendelea kuongoza nchi yetu kwa weledi zaidi.
Ni lini sasa,
makundi mbalimbali ya kijamii kama vile wenye mihemko, vibaka waporomosha mitusi, matapeli pesa wa kisiasa, waropokaji waliopoteza uelekeo na agenda n.k, ni lini watajitokeza walau kuishauri chadema au kuzuia na kushawishi wanachama zaidi wa chadema wasijiengue kwenye chama chao kinachoyumba na kujiunga kwenye vyama vingine vya siasa nchini?
Maana anae piga mayowe na bwekabweka kwasasa amebaki heche pekeyake hadi huruma π
Mungu Ibariki Tanzania
Waziri wa CCM kuacha mkewe na kuishi kinyumba na mwanaume mwenzake ni sawa? Serikali ya hovyo kabisa hiiGentleman,
kuzini na wake za waamini wako ni baraka, na kupiga mimba vibinti vya watu na kutelekeza watoto mtaani ni neema right?π
hata wewe mwenyewe ki undani unataman Chadema ishike madaraka.. ni vile tu unatumia tumbo kufikiriSote ni mashahidi kwamba
makundi mballimbali ya kizalendo nchini yanaibuka na kuunga mkono azma na dhamira njema ya Dr Samia Suluhu Hassan kugombea uraisi wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025 na kuendelea kuongoza nchi yetu kwa weledi zaidi.
Ni lini sasa,
makundi mbalimbali ya kijamii kama vile wenye mihemko, vibaka waporomosha mitusi, matapeli pesa wa kisiasa, waropokaji waliopoteza uelekeo na agenda n.k, ni lini watajitokeza walau kuishauri chadema au kuzuia na kushawishi wanachama zaidi wa chadema wasijiengue kwenye chama chao kinachoyumba na kujiunga kwenye vyama vingine vya siasa nchini?
Maana anae piga mayowe na bwekabweka kwasasa amebaki heche pekeyake hadi huruma π
Mungu Ibariki Tanzania
π·relax gentleman utakaa sawa tu π
Gentleman,Ni kwa sababu ya pesa. Matumizi makubwa ya nguvu ya jeshi la polisi utekaji nk. Yako makundi mengi ya kijamii yanayoisapori agenda ya kutaka haki na mabadiliko inayohubiriwa na chadema lakini wengi wanashambuliwa.
Nzi wa kijani umetoka kwenye tundu la chookwa mfano ya waropokaji wa chadema au wenye mihemko na waporomosha matusi n.kπ