Unadhani ni kwanini makundi mbalimbali ya kijamii hawana habari na chadema

Wanaokulipa inabidi wa review contract yako kuona kama unastahili kulupwa unacholipwa.... una flop sana!

Be creative bro!
 
Wanaokulipa inabidi wa review contract yako kuona kama unastahili kulupwa unacholipwa.... una flop sana!

Be creative bro!
kueleza ukweli hakuhitaji malipo ndugu mropokaji
 
inasamabaratika vibaya sana gentleman
 
jikite kwenye hoja bila kuropoka gentleman
Timu mbowe wanateseka sana. Mimi walinishangaza waliposema malengo ya watu yanaharibika. Kumbe wapo kwenye chama kwa malengo binafsi badala ya malengo ya chama. Ule ni udhaifu mkubwa sana na kama tungekuwa na jamii inayojitambua hakuna mahali waaaminika.
 
lakini uongozi mpya wa chadema unadai adui wao mkubwa niG55 ambao eti ni timu mbowe?
sasa kweli chama kitaaminika kwa wananchi kweli kwa ubaguzi huo?
 
Gentleman,
itakua ni unafiki wa kiwango cha juu sana kwa mwanasiasa kutokua na malengo binafsi ukiachilia mbali malelngo ya chama cha siasa alichopo ambayo huwa ni ya jumla.

ni mwanasia lofa ndio hua hana malengo binafsi
 
Sawa gentleman.
 
Hiyo ni miradi ya kuwafumba macho wajinga, na asilima kubwa ni misaada kutoka nje, kama kweli CCM mnakubalika kwa sera zenu, kwa nini mnaogopa reforms kwenye tume ya uchaguzi? Ruhusuni reforms zifanyike, waacheni wanachi waamue wanataka kuongozwa na nani, kinachowafanya kutumia nguvu kubwa kiasi hicho kubaki madarakani ni nini, mnaua watu, mnatumia pesa za wananchi kuhonga watu ili waichafue Chadema, lets play it fair , Then tutaona CCM inakubalika kiasi gani.
 
si hivyo tu gentleman,
but ili kuweka record vizuri tu,
ni kwamba ccm inakubalika na kuaminika zaidi kwa wananchi kwasasa kuliko wakati mwingine wowote
Hongereni sana CCM, endeleeni kuteka na kuua kila anaewakosoa, umoja wa Ulaya hawawezi kutuingilia, sisi ni nchi huru.
 
Hongereni sana CCM, endeleeni kuteka na kuua kila anaewakosoa, umoja wa Ulaya hawawezi kutuingilia, sisi ni nchi huru.
jikite kwenye hoja mahususi mezani gentleman bila kuhamisha mjadala huu muhimu kwa mustakabali wa kudumaa kwa chadema
 
Thread 'Aibu yao CCM: Pamoja na figisu zote Chadema yazidi kukubaliwa na Wananchi kiwango cha kutisha' Pre GE2025 - Aibu yao CCM: Pamoja na figisu zote Chadema yazidi kukubaliwa na Wananchi kiwango cha kutisha
 
haijafahamika kama bado kama yupo hai ama la baada ya mapigano ya wao kwa wao.

Ikiripotiwa kutoka ndani ya kikao cha kumwaga damu chadema, kutoka ikungi singida, mimi ni mtaalamu wa siasa za vyama humu nchini, kamanda apewe maji ya baridi, janjawidi hawana utani kabisa
pole kamanda
 
Attachments

  • v1.mp4
    4.3 MB
Chadema inaungwa mkono na wananchi nadhani unaona mwitikio wa wananchi ,hawa chawa wenu ambao wanaamini CHADEMA lazima awepo mbowe na mkono wa CCM
 
Kwa akili yako huo ukimya unaousema ni kuikubali ccm?
 
Kwa akili yako huo ukimya unaousema ni kuikubali ccm?
mpaka lini jamii ya wanoiunga mkono chadema watakaa kimya?

naona makundi mballimbali wanaiunga mkono CCM na Dr Samia Suluhu Hassan tu kila uchwao?πŸ’
 
Chadema inaungwa mkono na wananchi nadhani unaona mwitikio wa wananchi ,hawa chawa wenu ambao wanaamini CHADEMA lazima awepo mbowe na mkono wa CCM
muitikio wa wanachama wa chadema kujiengua na kujiunga na vyama vingine vya siasa, right gentleman?

au ndio ile kujaza maji kwenye gunia πŸ’
 
udhambi wa kuiba kura umeanza awamu hii tu manaake hatukuwi kusikia mahubiri ya aina hii au wahubiri walikua hawapo sijui
Kibaka mmoja akifanikiwa kuiba na kutoka salama haina maana kitendo hicho alichokifanya ni halali kwa vibaka wengine waliopo na wajao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…