Samia mbona hasemi?Alikwapua Til.1.5 ,,ccm mnajitahidi kuficha huu wizi ila jinai haiozi, Mwendazake hayupo ila nyie wanufika mpo
Aseme kwani yeye ni Cuf? Subiria Chadema watakiwa vizuri saizi..Samia mbona hasemi?
Makamba asingeacha ikae kimya wakati ndie muuwa legacy namba moja?
Je!
Ushahidi?
Au mtasema Magufuli aluzikwa nao kaburini,
Niache uongo lini ukiwahi sikia serikali ikisema ni uongo? CAG aliyefukuzwa alisema,CAG mstafu Utouh alisema Sasa mnataka ukweli gani wakati mnajitahidi kuficha?Acha uongo wewe.
Hii nchi ilikuwa salama mno chini ya JPM kuliko wakati wowote ule.
Sasa hivi mnauza tu wanyama,
CAG alisema ameiba?Niache uongo lini ukiwahi sikia serikali ikisema ni uongo? CAG aliyefukuzwa alisema,CAG mstafu Utouh alisema Sasa mnataka ukweli gani wakati mnajitahidi kuficha?
Na wewe uza wanyama
Acha blaa blaa wewe fisi,yule dhulumati alikuwa jizi naona mnajitetea sanaCAG alisema ameiba?
Unajua kosa la CAG kutoongezwa mda?. Kwanza ujue hakufukuzwa, hakuongezwa mda, maana issue ilikuwa miaka mitano mitani.
CAG yule hakuwa profesional tu, CAG gani anatembea dunia nzima kuisemea mabaya serikali yake wakati yeye ndo anatakiwa kusaidia seriakali kudhibiti mambo mabaya kuanzia halmashauri hadi serikali kuu?
Ita majina yote huku kitaa tunajua?Acha blaa blaa wewe fisi,yule dhulumati alikuwa jizi naona mnajitetea sana
Mnajua nini? Ujinga kama huu hapa umekoma saizi 👇Ita majina huku kitaa tunajua?
Wewe unapolamba asali kaa kwa kujua kwamba huku mtaani asilimia kubwa sana hawakuungi mkono.
Sasa hivi hamna kazi mnafanya, ni kulamba asali tu. Na hilo tunajua.Mnajua nini? Ujinga kama huu hapa umekoma saizi 👇
Nikikumbuka enzi zile ndege ilinunuliwa moja halafu nchi nzima inahamia uwanjani kuilaki na kuiombea, nacheka sana
Kwa kweli nchi hii imepita ujima sima katika miaka miatano iliyopita nadhani hata nchi za Afrika walikuwa wanatuona hamnazo kabisa. Hebe we fikiria kidenge kimoja kinanuliwa tena mtumba halafu nchi nzima na mbaya zaidi hata viongozi wa dini wanapenda kuishagaa. Jamani, hivi huyu mtu angekuwa...www.jamiiforums.com
Mnaparurana maccm wenyewe kwa wenyeweMpaka tunapoongea na kuandika!
Nchi nzima ya Tanzania!
Hakuna Chama, wala taasisi wala wanasiasa uchwara kama nyinyi,kwamba mmewahi kuonyesha ushahidi ni wapi na kwa namna gani Magufuli aliiba kura!
Mlipigwa chini na wananchi,na mkiendelea na ujinga....
Mtakataliwa tena na tena!
She's...a...radical...ferminist.......Mama anatengeneza mfumo jike .
Ana tuhuma za rushwa JPM alimpiga chini ukatibu wa mkoa wa morogoro kwa kula mlungula na pia kuna faili limepokelewa toka Mombasa jamaa anataka nkewe
Ukiona Umetoswa na Magufuli ujue hufai,yule mzee hakutaka chembe ya mabaradhuli hata kidogo,Rais Samia kajionea mwenyewe,ampe UDC,unamtoshaJe,.....
1. Hatoshei Kiushawishi?
2. Mnafiki?
3. Mpika Majungu?
4. Muongo?
5. Hana Mvuto / Mvutoless?
6. Si Mpayukaji?
7. Usoni Mama na Rohoni January?
Kazi yangu Kubwa ( Kuu ) leo GENTAMYCINE ni Kutulia na Kusoma Kiumakini mno Comments zenu na naamini hamtoniangusha.
Kwamba sa100 amshukuru Magu Kwa kuiba uchaguzi 2020?Angekuwa na wafuasi kibao ngeiba uchaguzi wa 2020? Nani ambae hana wafuasi? Ndo hamna Cha kufanya Wala sio kukaa kimya..
Mwisho mtu ambae madarasa y Watoto yalimshinda ni WA nini Sasa huyo?
NdioKwamba sa100 amshukuru Magu Kwa kuiba uchaguzi 2020?
Au sijakuelewa ndugu CHAWA wa ....
Ndo aache kumkejeli mtu aliye Kaburini, aliyehusika na wizi uliompa manufaa ya kuliokota dodo.Ndio
CAG Yule wa Project Zitto ??Aseme kwani yeye ni Cuf? Subiria Chadema watakiwa vizuri saizi..
CAG mstafu Utouh alishasema au wewe ukiwahi sikia serikali imekanusha?
Kwani huyo aliyetoka na aliyeingia wana tofauti wa "mfumo jike"!!???Mama anatengeneza mfumo jike .
Kama kufukuza vyeti fake ni dhuluma basi ni dhulma nzuri kuwahi kitokea Dunia hii.Acha blaa blaa wewe fisi,yule dhulumati alikuwa jizi naona mnajitetea sana