balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Kuna muda walisema ana mume MombasaNa yeye mtaro uko waz...nahama jiji walah [emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna muda walisema ana mume MombasaNa yeye mtaro uko waz...nahama jiji walah [emoji16]
Yeye mwenyewe alikuwa na PhD fakeKama kufukuza vyeti fake ni dhuluma basi ni dhulma nzuri kuwahi kitokea Dunia hii.
Mishahara hewa!
Uzembe
Ufisadi
Mikutano ya ovyo ovyo kama inayoendelea kwa sasa!
Hapakuwa na uchaguzi 2020 bwashee,Mpaka tunapoongea na kuandika!
Nchi nzima ya Tanzania!
Hakuna Chama, wala taasisi wala wanasiasa uchwara kama nyinyi,kwamba mmewahi kuonyesha ushahidi ni wapi na kwa namna gani Magufuli aliiba kura!
Mlipigwa chini na wananchi,na mkiendelea na ujinga....
Mtakataliwa tena na tena!
Majizi ya 1.5 T nyie,hamna Cha kuongezaCAG Yule wa Project Zitto ??
Au yupi?
Utouh hakuwa ba muda wa upumbavu wa udinini na Makundi,aliondoka kwa heshima na anaishi kwa heshima!
Nyinyi wapuuzi wa visasi ndio mnateseka na kaburi.
Alimkejeli wapi?Ndo aache kumkejeli mtu aliye Kaburini, aliyehusika na wizi uliompa manufaa ya kuliokota dodo.
Yeye Mwenyewe alikuwa hafai ndio maana katoswa huko alikoUkiona Umetoswa na Magufuli ujue hufai,yule mzee hakutaka chembe ya mabaradhuli hata kidogo,Rais Samia kajionea mwenyewe,ampe UDC,unamtosha
Kama kuchukua 1.5 hazina na kuzitekeleza kujenga madaraja au kujenga Barabara bila kufuata taratibu za kisheria ni sawa na kuiba,Majizi ya 1.5 T nyie,hamna Cha kuongeza
Kwa nini wasiseme zimejenga madaraja? Yapi hayo ambayo yalijengwa bila kuwa na Bajeti? Zile mlizokuwa mnaendeshea magenge ya wauaji mlizotoa wap?Kama kuchukua 1.5 hazina na kuzitekeleza kujenga madaraja au kujenga Barabara bila kufuata taratibu za kisheria ni sawa na kuiba,
basi Kweli ziliibwa.
Me Sina chama bwashee,Kwa nini wasiseme zimejenga madaraja? Yapi hayo ambayo yalijengwa bila kuwa na Bajeti? Zile mlizokuwa mnaendeshea magenge ya wauaji mlizotoa wap?
Rubbish,ntasoma baadaeMe Sina chama bwashee,
Mimi ni mwananchi nisiye na chama chochote ila nafuatilia siasa za Nchi yangu,
Wananchi tusio na vyama tupo zaidi ya 70% ya population.
Magu Kwa miradi iliyohitaji pesa ya haraka, hakuwa akifuata taratibu hizo za kifedha,
Makusanyo ya 20,000 ya matching guys Nchi nzima Kwa mfano yaliingia mfuko Gani?
Jinsia yake inatia shaka na kuaibisha chamaJe,.....
1. Hatoshei Kiushawishi?
2. Mnafiki?
3. Mpika Majungu?
4. Muongo?
5. Hana Mvuto / Mvutoless?
6. Si Mpayukaji?
7. Usoni Mama na Rohoni January?
Kazi yangu Kubwa ( Kuu ) leo GENTAMYCINE ni Kutulia na Kusoma Kiumakini mno Comments zenu na naamini hamtoniangusha.
Hata mimi naamini hajatosa .... Waarabu wa Pemba hao.Kwanza aliemteua alitumia vigezo gani kwenye uteuzi, na alipewa hadidu gani za rejea, mteuzi anajua zaidi, na huyu shaka hajapoteza anaenda kupewa ubunge muda si mrefu.
Shaka ni mchanga sana, the dark side of his, hasa kumudu siasa za majukwaa huku bara haendani kabisa.
Ongea kama umepitia shule,acha kundekeza chuki na majungu.Angekuwa na wafuasi kibao ngeiba uchaguzi wa 2020? Nani ambae hana wafuasi? Ndo hamna Cha kufanya Wala sio kukaa kimya..
Mwisho mtu ambae madarasa y Watoto yalimshinda ni WA nini Sasa huyo?
Mpalange?Za ndani kabisa dogo inasemekana mzinzi Sana Yule, rushwa ya ngono ilitawala Sana, anakula na analiwa pia
Shaka ni friend of bashuru ( FUBA)SHAKA AMSHAURI RAIS MAGUFULI KUACHANA NA CHADEMA,AENDELEE NA MIKAKATI YAKE YA MAENDELEO!.
Mwandishi Wetu, Dodoma
Friday,Sep,2016.
UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umesema hakuna haja ya mazungumzo, majadiliano wala mijadala inayostahili kufanyika kati ya Serikali ya CCM na Chadema na amemuomba Rais Dk John Magufuli kuendelea na mikakati yake ya kisera ili kuimarisha uchumi.
Pia umoja huo umeeleza kuwa dunia inajua, ulimwengu unaaelewa na Chadema wanafahamu kuwa Tanzania hakuna mgogoro wa kisasa zaidi ya serikali kupigania mabadiliko, nchi kuwa ya viwanda na kutokomeza maadui umasikini, ujinga na maradhi.
Msimamo huo umetolewa jana na Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM, Shaka Hamdu Shaka, katika mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika ukumbi wa White House Makao Makuu ya CCM Mkoani hapa.
Shaka alisema UVCCM ilijua, ilielewa na kutambua mapema Chadema na viongozi wake walikuwa wakifanya maigizo katika siasa, hawakuwa na ubavu wala jeuri ya kuandamana kwa madai aliyoyaita ni ya kipuuzi ambayo hayana msingi kwa mustakabali wa nchi na maendeleo yake.
Alisema viongozi na wafuasi wa Chadema walishindwa kuandamana Septemba Mosi, hawataweza na wala hawatajaribu kufanya hivyo Oktoba Mosi kwa sababu wanachotaka kukifanya ni utoto wa kisiasa baada ya kushindwa kubuni mkakati wa kukiendesha chama chao ili kiaminike na kukubalika
Tunazo habari wabunge wa Chadema wamechachamaa na kumbana Mbowe kwa hoja wakitaka kurudi bungeni ili kushiriki vikao kwa kuwa hawaeleweki kwa wapiga kura wao majimboni lakini pia wanakabaliwa na 'waya mkali', hawaoni kwa nini wasishiriki vikao vya Bunge huku baadhi ya viongozi wa juu wa chama hicho wakiwa na utajiri na wengine wafanyabiashara,"alisema Shaka.
"Cha ajabu hata na wale wazee tuliokuwa tukiwaheshimu bila soni wanashiriki kuudanganya ulimwengu wakitoa madai ati kuna mgogoro wa kisiasa unaohitaji suluhu, yafanyike mazungumzo na majadiliano,"alisema Shaka.
Alisema UVCCM imeshangazwa na madai ya Chadema na kusema kwamba chama hicho na viongozi wake wamekuwa wakikutana na viongozi wa madhehebu ya dini na mashirika ya kiraia, kisheria yaliyowataka ati wasiteshe maandamano kwa muda hadi Oktoba Mosi mwaka huu.
"Tumekuwa tukijiuliza bila kupata majawabu ya kina pale Mbowe na Chadema wanaposema wameshauriwa na viongozi wa madhhebu ya dini na taasisi zingine. Je hapo awali pia walishirikiana na viongozi hao kupanga na kuitisha maandamano yenye lengo la kumdhihaki Rais na kumwita dikteta?" alihoji Kiongozi huyo wa Vijana.
Hata hivyo, alisema si jambo linaloingia akilini na mtu alazimike kuyamini maneno ya Chadema kama kweli viongozi wa dini na taasisi zilizotajwa, walihusika na kushiriki mpango wa uitishaji maandamano ya vurugu na sasa wahusike tena kuwakataza Chadema wasifanye maandamano.
"UVCCM, wananchi wema, wapenda amani na utulivu, viongozi wa mashirika ya kiraia na madhehebu ya dini, hatuwezi kusimama hadharani kuitbitishia dunia kama Tanzania kuna mgogoro wa kisiasa unaohitaji yafanyike mazungumzo, majadiliano hadi kufikia mapatano," alieleza Shaka.
Alisema ulimwengu mzima unafahamu, mashirika na jumuia za kimataifa nazo zinaelewa kwamba katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka jana, wananchi walitekeleza wajibu wao wa kikatiba na kupitia demokrasia ya uchaguzi walimchagua kwa kura Rais Dk. Magufuli kuwa Rais wao na matokeo ya uchaguzi huo yalitangazwa na chombo chenye dhamana ya kisheria na kikatiba ambacho ni Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Shaka, alisisitiza kuwa wananchi wote, mashrika ya Kimataifa na ulimwengu unaelewa Dk. Magufuli baada ya kuchaguliwa, serikali yake bila kupoteza wakati imekuwa ikihimiza kwa nguvu zote mpango wa uwajibikaji, utendaji wenye ufanisi, nidhamu, huku serikali yake ikipiga vita ufisadi, ubadhirifu wa mali za umma pia ikikusanya kodi na kuongeza mapato ya taifa.
"Chadema na UKUTA wao wanachotaka ni siasa za mitaani na maandamano haramu. Wanataka kukithiri kwa malumbano na mabishano yasiyo na maana badala ya wakulima, wafanyakazi, wavuvi na wafugaji wafanye kazi kwa bidii, kujituma ili wazalishe mali na kujienga uchumi na kimaendeleo alisema,"alisema Shaka .
Shaka alieleza kuwa haipendezi na haiwapi hadhi au heshima mbele ya jamii watu wanaojiita viongozi wa kisiasa wa Chadema kuwa na uhodari wa kutunga uongo, wakauamini, kuueneza na kuutetea kwa misuli ya unafiki na upotoshaji.
"UVCCM tunawaasa viongozi wa Chadema waache mara moja siasa za utoto na tabia ya kuwatia hofu wananchi, wasiwafanye waishi kwa wasiwasi kwa siasa zao uchwara ambazo zimekosa afya na wala haiwapi heko au heshima mbele ya dunia,"alisema Shaka.
View attachment 2483407![]()
SHAKA AMSHAURI RAIS MAGUFULI KUACHANA NA CHADEMA, AENDELEE NA MIKAKATI YAKE YA MAENDELEO
ccmchama.blogspot.com
My take!
Shaka huyu huyu ndie alimgeuka Magufuli baada ya kufa!
Akawa amehamia ofisi mpya na chini ya Rais Mpya!
Akageuka na kuwa muumini mpya ndani ya CCM.
Unafiki ukaendelea kwa 110%..
Huenda Sasa Msoga Gang wamekumbuka baadhi ya wana CCM na kuanza kuwaondoa wale sampuli ya Shaka.
Kwa hofu ya kumsaliti mama Tozo na Msoga Gang at all.....
Kwa kumtoa ke na kumuweka ke maana inasadikika aletolewa ni dume kama binti.Mama anatengeneza mfumo jike .
Siku zote huwa mnashiriki uchaguzi ila sio kuchagua viongozi na ndio maana kila baada ya uchaguzi kunakuwa na kelele za kuibiwa kura, tofauti ya 2020 hakukuwa na kufanya balance tu kama inavyokuwa mara zote.Hapakuwa na uchaguzi 2020 bwashee,
UKWELI Usemwe Kwa maslah ya Taifa.
Ndio yalimshinda kwani hukuona Watoto wanaanza shule kama mafungu ya nyanya , Watoto wamesongamana na wanakaa chini ?Ongea kama umepitia shule,acha kundekeza chuki na majungu.
Huna hata aibu unarudirudia eti madarasa yalimshinda!