Unadhani ni kwanini uchaguzi wa chadema wa mwaka huu ni baina ya wanaokusudia kuibomoa chadema dhidi ya wanaokusudia kuijenga na kuimarisha chadema?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Ni wazi kuelekea uchaguzi wa chadema ngazi ya Taifa, kuna wagombea wasio wazalendo, makuwadi wa mabenyenye ya magharibi, wanaokusudia kuigawanya, kuisabaratisha na kuipoteza kabisa chadema kwenye medani ya siasa kwa makusudi, kwasababu za tamaa zao, ubinafsi, uchu wa madaraka na vyeo, unafiki na utumwa wa fikra kutoka ng'ambo ya nchini.

Lakini pia,
kuna wagombea wazalendo, wenye nia na dhamira njema ya kuijenga na kuimarisha misingi ya kuanzishwa kwa chadema kwa kujitolea kwa hali na mali ili kuimarisha ndani ya chadema na demokrasia ya Tanzania kwa ujumla?

My friends ladies and gentlemen,
kama mdau wa jukwaa la siasa una maoni gani juu ya hali hii?

Nani hasa kati ya wanao wania uongozi wa chadema Taifa, amedhamiria kwa makusudi ya dhati kubomoa na kuisabaratisha chadema awe amepata au hajapata uongozi wa chadema Taifa?πŸ’

Mungu Ibarki Tanzania
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huna hoja chawa wewe.
Kila dakika unaleta post za kichoko tu
Relax gentleman,


ikiwa hoja imekikuzidi kiwango cha fikra na mawazo mapya unakaa kimya tu kuliko kudhihirisha makasiriko na muhemko binafsi na isiyo na tija kwa wadau πŸ’
 
Madalali wa abdul ndio wazalendo haya kachukue posho yako na wewe.
 
Hakuna mpasuko wa kuibomoa ni ndoto zako za asubuhi,ambazo ni mang'amng'amu tuu!ukweli hayupo.
 
Hakuna mpasuko wa kuibomoa ni ndoto zako za asubuhi,ambazo ni mang'amng'amu tuu!ukweli hayupo.
hao viongozi waandamizi wa hicho chama walikua wakisema hivyo hivyo, leo hii wanataka hata kuchomana visu 🀣

eti hakuna mpasuko 🀣
 
Kutofautiana mtizamo sio uadui au kushindwa kwa aliyepo na anaewania ,ndio maana ya demokrasia.kukubali na kutokubaliana kwa jambo si mpasuko hata vyombo kabatini hugongana!Haimaanishi havifai.Mpe salamu Mwashambwa alowe kwa machozi ya furaha CHADEMA ikinawiri,chini ya uongozi wa yeyote atakayepita,iwe Tundu iwe Mbogwe!
 
hakunaga haja ya makasiriko gentleman ikiwa hamna mawazo mapya wala fikra mbadala dhidi ya hoja mahususi mezani 🀣
Hakuna makasiriko tunakuchana na chainsaw, uchaguzi utapita,Maisha yataendelea.Karibu Dodoma kwenye mkutano wenu na kuchagua mmbadala wa A Kinana.
 
kwahiyo unawaeleza wadau wasiofahamu au unaojaribu kuwashawishi wadau wa heshima na waerevu kwamba chadema hakuna uadui wala uhasama baina ya wanaogombea nafasi za uongozi wa kitaifa chadema, na wala hakuna kabisaa mpasuko, right?


watakupuuza na kuhisi huenda wewe ni mganga wa kienyeji au mshirikina.

For your information,
kuna mgonbea uongozi chadema, whether atashinda au asishinde lengo lake linabaki pale pale, kubomoa na kuisabaratisha chadema πŸ’
 
Hakuna makasiriko tunakuchana na chainsaw, uchaguzi utapita,Maisha yataendelea.Karibu Dodoma kwenye mkutano wenu na kuchagua mmbadala wa A Kinana.
ni muhimu zaid kujikita kwenye hoja mahususi mezani gentleman, hakuna haja ya kumbwelambwela na mambo yasiyohusu hoja hiyo mahususi mezani πŸ’
 
Wewe kama mwana CCM, hii inakuhusu nini?.
 
Ni mbinu za CCM kutata kuiua CDM lakini watakufa wao, CDM hoyeeeee!
 
ni muhimu zaid kujikita kwenye hoja mahususi mezani gentleman, hakuna haja ya kumbwelambwela na mambo yasiyohusu hoja hiyo mahususi mezani πŸ’
Mambo ni Safi CHADEMA,amka usingizini tlaahtlaah,acha kuota uchaguzi utaenda Safi kabisa,kila Mgombea atapata anachostahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…