Unadhani ni kwanini uchaguzi wa chadema wa mwaka huu ni baina ya wanaokusudia kuibomoa chadema dhidi ya wanaokusudia kuijenga na kuimarisha chadema?

Unadhani ni kwanini uchaguzi wa chadema wa mwaka huu ni baina ya wanaokusudia kuibomoa chadema dhidi ya wanaokusudia kuijenga na kuimarisha chadema?

Wewe kama mwana CCM, hii inakuhusu nini?.
kama mchambuzi wa siasa za vyama, mtaalamu mbobevu muandamizi wa dipolomasia na mwanasiasa mzoefu,

nimeelezea vyema zaidi ndani ya hoja mahususi mezani kinachonihusu kama mtaalamu.

unadhani ni kwanini baadhi ya wagombea uongozi wa chadema Taifa wana dhamira ya kubomoa na kuisabaratisha chadema, whether watashindwa uchaguzi au watashinda uchaguzi huo rahisi sana?🐒
 
Kaka Yako Mwashambwa kaamka!
 
kwahiyo unawaeleza wadau wasiofahamu au unaojaribu kuwashawishi wadau wa heshima na waerevu kwamba chadema hakuna uadui wala uhasama baina ya wanaogombea nafasi za uongozi wa kitaifa chadema, na wala hakuna kabisaa mpasuko, right?

watakupuuza na kuhisi huenda wewe ni mganga wa kienyeji au mshirikina.

For your information,
kuna mgonbea uongozi chadema, whether atashinda au asishinde lengo lake linabaki pale pale, kubomoa na kuisabaratisha chadema 🐒
Hakuna mpasuko Wala kuibomoa CHADEMA ni uchaguzi kama unavyofanyika kwenye chama chenu SM.Wewe uko CCM kama kinapasuka si ndio ungekuwa Faida kwako na chama chako!Hii ni hofu ya Tundu akipita mtalowa kwa machozi ya huzuni na kaka Yako Mwashambwa!
 
Back
Top Bottom