Unadhani ni nani anafaa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania baada ya Kassim Majaliwa kumaliza muda wake?

mzalendo John Mnyika anaweza kufanya vizuri akiwa PM. Huyu jamaa asipofuta nyayo za akina ZZK atakuja kuwa hazina kubwa kwa taifa hili.
Itunzeni hii na Mimi leo nimetabiri.
 
Aliyepo anatolewa na nani kwa kosa gani?

Kwa hiyo siku hizi hao watu wa CCM ndio wanakutuma kuwasemea ni nani wanamtaka na kwa sababu zipi?

Inavyoonesha huyo waziri mkuu ni kaa lenu la moto hamtulii badala ya kushughulika na mwenye mamlaka ya ku 'hire and 'fire' mnahangaika na mtendaji asiye na maamuzi kwa kulingana na mfumo.

Kwa nini hamsemi makamu wa rais ambaye ndio msimamizi wake wakati raisi akiwa nje ya nchi?

Kama ni masuala ya majanga anayewajibika kuidhinisha fedha kununua vifaa na kutoa mafunzo stahiki ni yeye au mkuu wa nchi?

Kwa nini mnamsakama sana? Una maslahi gani ya kisiasa? Umelipwa bei gani inayotaka kukutoa hadi roho ukimsema waziri mkuu?

Mwanasiasa kama wewe ni sawa na shetani mnywa damu kwa ajili ya kutoa kafara kwa matumaini ya kuwea kuingia ngomeni!!!

Wewe utakuwa na mwisho mbaya sana..............................haya sasa aondolewe pendekeza mwenyewe na ni awe waziri mkuu.

Uchaguzi wa mwaka 2020 hauutambui lakini unakazana waziri mkuu abadilishwe hilo fukuto ulilopandikizwa litakutokea puani
 
PM Kwa Katiba hii Si issue Kwa sasa.

Freeman Aikael MBOWE ndiye PM wa Tanganyika ajaye ndani ya Serikali 3.

Rasimu alosimamia Judge WARIOBA irudi mezani mjadala uanzie hapo hatimaye tupate KATIBA mpya.

Ameeeen.
 
Nilimsikia Mbowe akisema atakuwa waziri mkuu ndani ya masaaa 72 wakati ulee wa uchaguzi.
 
Huyu aliyefanya uokoaji 👇
 
Mkuu hakuna Waziri Mkuu wa Milele , mimi utaniloga bure tu .
 
PM Kwa Katiba hii Si issue Kwa sasa.

Freeman Aikael MBOWE ndiye PM/Rais wa Tanganyika ajaye ndani ya Serikali 3.

Rasimu alosimamia Judge WARIOBA irudi mezani mjadala uanzie hapo hatimaye tupate KATIBA mpya.

Ameeeen.
Mkuu

Unadhani Serikali tatu itakubalika!?

Maana T.A asema zibaki MBILI,Sasa watakubalie ziwe tatu!?

TUSUBIRI
 

Sele man jafo
 
Kassimu mnampeleka wapi? Naona mna hamu ya machafuko nji hii
 
Tunza comment hii kwa matumizi yajayo.

PM Ajae ni Innocent Bashungwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…