Unadhani ni nani anafaa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania baada ya Kassim Majaliwa kumaliza muda wake?

Tangu mwenda zake haondoke huyu jamaa kapwaya kiutendaji sana Tena sana!! Kwa maoni yangu anamuhujumu Samia, hakubaliani nae kabisa. Mama shituka Kuna genge Serikalini linakuhujumu likiongzwa na PM, katibu wake akiwa Angelina Mabula! Mratibu mkuu ni Mkamba jr
 
duh... mkuu hizi ni tuhuma nzito mno, JF itahitaji ushahidi kabla ya kuanza kuzifanyika kazi. kumbuka hili jukwa ni kongwe na lina watu wanaojitambua.
 
Ukitutajia kundi la wana CCM wezi waliokubuhu tutakutajia mwizi konki ambaye ndio atakuwa PM wetu.
 
Kilaza
 
1. Prince Nape AU
2. Prince January AU
3. Prince Ridh 1 AU
4. Dr. Mwigulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…