Unadhani ni nani anafaa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania baada ya Kassim Majaliwa kumaliza muda wake?

Ummy mwalimu sionagi uwezo wake, kuongea tu ndo anaweza sana. Ile wizara bado inamhitaji Faustin Ndungulile, sema yule Faustine sijui ana shida gani kila Rais anamtoa
Ndungulile bogus kabisa
 
Yule jamaa alikuwa RC Dodoma akahamishwa kwenda kuwa RC Nyanda za juu kusini kati ya Iringa au Njombe.
 
Kwa ile kauli ya marope Kule geita kwenye uchaguzi ndani ya chama!

Nabashiri

1. Marope mwenye upara!

2. Msomali anaeogopa KUFUNGA mipaka ili wasomali wenzake wasife njaa!!

MKUU, kwani vipi!? Jamaa kesha andika barua ya kujiuzulu!?
Kama msomali mwenzake katolewa jalalani Hadi kileleni lolote lawezekana.
 
Albert Bashite. Huyu mwamba nampa kura zote. Ni zaidi ya jiwe
 

Mtapata tabu sana
 
Apewe chawa kibajaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…