Unadhani una mbio sana? Tazama Facts kuhusu wanyama wa porini!

Unadhani una mbio sana? Tazama Facts kuhusu wanyama wa porini!

TANAPA

Govt Institution
Joined
Jul 6, 2026
Posts
16
Reaction score
43
Unadhani una mbio sana?

Kuna wanyama ukikutana nao hifadhini, mwonekano wao unaweza kukudanganya kabisa, wanaonekana wazito, watulivu na wa mwendo wa pole… lakini ukijua uwezo wao wa kukimbia, unaweza kuanza kuheshimu umbali salama zaidi na kukumbuka kwamba si salama kutoka nje ya gari bila idhini maalumu 👀

Swipe mpaka mwisho, baada ya kujua siri hiyo utuambie ni mnyama yupi unahisi unaweza kumzidi mbio? 😂👇

Sheria za usalama ukiwa hifadhini unazijua? Tushirikishe kwenye comments!
IMG_0987.JPG
IMG_0980.JPG
IMG_0982.JPG
IMG_0983.JPG
IMG_0984.JPG
IMG_0985.JPG
IMG_0986.JPG


#TANAPAFactZone #SafetyRules #WildlifeFacts #Conservation
 
Kwa kipindi kirefu sana nimemfatilia sana Simon muhusika katika kipindi cha snake in the city National Geographic Wild huwa anasema yeye ni professional snake catcher, na mara nyingi anakamata nyoka wa aina mbalimbali.

Anapoitwa kwenda kukamata black mamba huwa anakuwa makini kupita kiasi na anamuelezea ikitokea kakung'ata, sasa huku kwetu wengi wetu huyu nyoka sidhani kama watu wanauwezo huo endapo unakutana nae nini yakupasa kufanya kwasababu ni wazi kwa kasi yake ngumu kumtoroka.
 
Back
Top Bottom