Unadhani ungekuwa jinsia tofauti ungekuwa na tabia gani?

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,572
Reaction score
3,863
Sometimes to understand others peoples point of view, you have to internalize theirs and then judging them accordingly.
kwa mfao we mwanaume ungekua mwanamke, je?
  1. usingeomba hela?
  2. ungetulia na mwanaume mmoja?
  3. ungemvumilia mwanaume asiye na pesa kisha ana gubu?
  4. ungemsubiri mtu ambae amefungwa miaka 30 gerezani nk?
  5. ungemvumilia mwanaue anaecheat?
Na menginenyo mengi, watu wanazungumzia tu kuvaa viatu vya mtu mwengine lakini wachache wanajaribu hata kufishika mkononi. try to think if you were in position of someone you are judging, would you do otherwise? sasa mtu anahukumu trait ya Ke katika perspective ya Me,.

Mfano, wadada wenyewe wanasema "wewe aka ni handsome" ila midume inasema aah hakua mwanaume handsome. howww? try t think like her.
 
Hebu anza wewe kwanza tuone ungekuwa demu ungekuwa na tabia zipi!
 
Back
Top Bottom